ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,750
- 1,864
Dhamira ya kiumbe ndio inahukumu kiumbe,ukiona unafanya jambo na dhamira yako haishitaki basi ni halali yakoSasa mbona mtu akitenda dhambi Mungu anamhukumu?
Kwakua dhamira ndio yenye kutofautisha kati ya binadamu na mtu.
Mungu hana jema wala Baya vyote kwake ni sawa tu,Kwa kuwa asili yavyo ni yeye mwenyewe
Na la kuongezea ni kuwa inabidi kujifunza kutofautisha kati ya Muumba na Miungu na ndio changamoto kubwa kwenye maandiko mnayotumia