kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
ndio maana yake, Mungu alikua peke yake hivyo vyote shetani na sisi wanadamu, tulimkuta Mungu yupo tayari kitambo.Mungu ndio chanzo cha vyoteKwahiyo uwepo wa shetani ni kusudi la Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana yake, Mungu alikua peke yake hivyo vyote shetani na sisi wanadamu, tulimkuta Mungu yupo tayari kitambo.Mungu ndio chanzo cha vyoteKwahiyo uwepo wa shetani ni kusudi la Mungu?
amejenga nyumba na kuwapa watoto uhuru wa kuishi, utashi na uhuru wa kuchagua mema na mabaya, sasa hapo kazi ni kwa watoto kuchagua mema au mabaya.Baba anayeweza kujenga nyumba ambayo udokozi wa sukari hauwezekani wala kufikirika, anaacha kujenga nyumba hiyo, anajenga nyumba ambayo udokozi wa sukari unawezekana na watoto wake wadokozi anawakata mikono, ili wengine waone udokozi ni mbaya wasidokoe.
Sasa kwa nini huyu baba asingejenga nyumba ambayo udokozi wa sukari hauwezekani?
Mfano huu unakuwa na maana zaidi ukizingatia eti huyo baba ananuwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
kwa kua alishatupa muongozo wa kuishi huku duniani na taratibu zote,ila sisi tunafanya kichwa ngumu, tutapata taabu saaaanaKama ni hivyo mbona ana tuhukumu?
Hahaha...unatia huruma sana, endelea kusoma sana vitabu ukuze upeo.Ukisema "kila kitu kimetokezwa na Muumba" una maana Muumba naye ametokezwa na Muumba?
Kuna kitu kwenye afya kinaitwa IMCI (Intergrated Management Of Childhood Illnesses)Kwahiyo unataka kusema mtoto akizaliwa leo akaishi siku 3 akafa! Kifo cha huyo mtoto siyo mpango wa Mungu?
Huo ni uthibitisho au mtazamo wako wa kwanini unafikiri hakuna Mungu?Hayupo kwa sababu angekuwepo kusingekuwa na mjadala kwamba yupo.
Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, inapingwa na ukweli wa uhalisi tunaouona duniani kwamba maisha yana ubaya mwingi, magonjwa, vita, kifo etc.
Angekuwepo ubaya wowote usingewezekana.
Pamoja Mkuu...Umenena vyema mkuu. Na hapo kwenye red naona maisha ya mwanadamu yantegea zaidi mazingira kuliko kitu chochote.
NI MAONI YANGU TU.
Do You Believe in the existence of a supernatural being?!Hayupo kwa sababu angekuwepo kusingekuwa na mjadala kwamba yupo.
Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, inapingwa na ukweli wa uhalisi tunaouona duniani kwamba maisha yana ubaya mwingi, magonjwa, vita, kifo etc.
Angekuwepo ubaya wowote usingewezekana.
Nawewe dhibitisha kama hayupo!Kwanza kabisa. Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi tu?
Yupo kwasababu wewe upo!na utakufa na naukifa huwezi kurudi tenaKwanza kabisa. Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi tu?
Hapo ajabu ipo wapi ikiwa anaweza kuikata na kuirudisha tena?Baba anayeweza kujenga nyumba ambayo udokozi wa sukari hauwezekani wala kufikirika, anaacha kujenga nyumba hiyo, anajenga nyumba ambayo udokozi wa sukari unawezekana na watoto wake wadokozi anawakata mikono, ili wengine waone udokozi ni mbaya wasidokoe.
Sasa kwa nini huyu baba asingejenga nyumba ambayo udokozi wa sukari hauwezekani?
Mfano huu unakuwa na maana zaidi ukizingatia eti huyo baba ananuwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwahiyo ilikuwa ni lazima Adam ale lile tunda alilo likataza Mungu?ndio maana yake, Mungu alikua peke yake hivyo vyote shetani na sisi wanadamu, tulimkuta Mungu yupo tayari kitambo.Mungu ndio chanzo cha vyote
Mkuu kitu kisichokuwepo hakihitaji kuthibitishwa kwamba hakipo.Nawewe dhibitisha kama hayupo!
Unaelewa kwamba dhana nzima ya kitu kulazimika kutokea kwa kuanzishwa na kingine, dhana ambayounaitumia kuonesha huyo muumba ndiye muanzisha vyote, ni potofu?Hahaha...unatia huruma sana, endelea kusoma sana vitabu ukuze upeo.
Yani kama vitu vyote vimetokeza kwake huyo muumba,wewe utasemaje tena kuwa kuna kilicho kabla yake huyo muumba ambacho ndiyo chanzo cha muumba?
Mbona haimake sense kabisa! vitu vyengine haviitaji hata uwe mtu mzima ili uweze kuvielewa.
Ni uthibitisho, ndiyo maana huwezi kuupinga umebakikuuliza uliza viswali vinavyoogopa hoja ya msingi kwamba Mungu wenu dhana yake ina contradiction na hivyo hawezi kuwepo.Huo ni uthibitisho au mtazamo wako wa kwanini unafikiri hakuna Mungu?
we jamaa wa unafurahisha sana.
Zaidi,hakiwezi kuthibitishikakwamba hakipo.Mkuu kitu kisichokuwepo hakihitaji kuthibitishwa kwamba hakipo.
Kwani tayari hakipo.
What is "supernatural" to you?Do You Believe in the existence of a supernatural being?!
Sema huna jibu, aliye kufanya wewe uwepo ninani? Tunajua magari sim radio nk ni kazi ya mwanadam je, huyo mwanadamu katoka wapi?Mkuu kitu kisichokuwepo hakihitaji kuthibitishwa kwamba hakipo.
Kwani tayari hakipo.