Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote ambaye kaumba ulimwengu huu ambao unamabaya mengi hayupo.Nawewe dhibitisha kama hayupo!
Kwa sababu dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe. Angekuwepo, dunia isingekuwa na magonjwa, njaa, kifo, kunya etc.
Zaidi, angekuwepo, kila mtu angemjua bila utata, huu mjadala usingekuwepo.
Kuwepo kwa mjadala huu ni ishara kwamba hayupo, katungwa na watu tu.