Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Imani unaruhusiwa kuamini chochote.Wewe huna hoja,mijadala hii itaendelea kuwepo tu maadamu kitu chenyewe ni kitu ambacho kinahitaji imani ya mtu kukikubali. Yani jambo la imani halafu wewe unasema et kila mtu angemjua bila utata!!!
Wewe unaongea vitu ambavyo havina hata mantiki.
Sijabishia imani.Nitatetea haki yako ya kuamini, hata kama sikubaliani na imani yako.
Hapa naongelea fact.
Katika fact, Mungu huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Kwa sababu hayupo.