Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

Sijui.Naitafuta. Lakini haiwezi kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote.

Ingekuwa ni hivyo, kungekuwa hakuna kufa, ugonjwa, kula wala kunya.

Na kila mtu angemjua huyo Mungu kwa namna ambayo huu mjadala usingewezekana.

Kuwezekana mjadala huu ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Nakama asili yako tu inakusumbua! Mungu kwako nimzigo mzito.
 
This is a logical non sequitur.

Unaelewa?

Mimi nakwambia sijui square root ya 2 ni nini. Lakini najua ni ndogo kuliko 2. Hivyo haiwezi kuwa 10.

Wewe unaniambia square root ya 2 ni 10.

Halafu unaniambia "kama hujui square root ya 2 ni nini, kuelewa kwamba square root ya 2 ni 10 ni mzigo mzito".

Unaonesha jinsi usivyoweza kufikiri kimantiki.

Mungu wako hayupo. Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.

Contradiction katika dhana ya kuwepo Mungu wako ni sawa na contradiction ya kusema square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, halafu kusema square root ya 2 ni 10.

Unasema square root ya 2 ni 10.

Unaelewa hilo?
 
Dokezo langu bado hujalifanyia kazi

Nataka uwe na uwelewa wa kutofautisha kati ya Muumba(creator) na Miungu (Gods)

Muumba hana jema wala Baya vyote kwake kwa asili ni sawa

Ila Miungu ipo ndani ya ulimwengu nayo inaishi na kutegemea resources za maisha

Na ndio hao viranja wa maisha wenu mnaowafananisha na Muumba wakati wao ni Miungu na wana hisia kama ninyi ila katika ubora fulani tu wa maumbile
Mkuu hao miungu wameumbwa na nani?
 
Hakuna
Hachunguziki na hana mwanzo wala mwisho. Kweli. Kwa sababu hayupo.

Sasa kisichopo kitachunguzikaje wakati hakipo?

Kitakuwa na mwanzo wapi au mwisho wapi ilhali hakipo?
kitu kinachokosa mwanzo na mwisho.
 
Hakuna

kitu kinachokosa mwanzo na mwisho.
Kwa tafsiri hii. Hakuna Mungu.

Kisichopo hakina mwanzo wala mwisho. Kwa sababu hakipo.

Kitaanzia wapi na kuishia wapi wakati hakipo?

Kama Mungu hana mwanzo wala mwisho, basi Mungu hayupo. Ni wazo tu.
 
Mkuu hao miungu wameumbwa na nani?
Kila kitu kimetokezwa na Muumba na kipo tayari kuwajibika

Kulingana na dimansion/frequence of reality husika kwa wakati

Na nishati/roho zipo katika mwendo zikijizoeza maisha tofauti katika dimansion moja kwenda nyingine

Na kusharabu nguvu ipatikanayo eneo husika ili kuwa viza na nguvu ya kuweza kuhimili kuishi pahala pengine

Hivyo jibu fupi na jepesi ni hiyo miungu inatokana na sisi wenyewe Tunapofikia ukomavu
 
Ukisema "kila kitu kimetokezwa na Muumba" una maana Muumba naye ametokezwa na Muumba?
 
Nimeona watu wanakufa, wanazikwa.

Kisayansi kuna second law of thermodynamics inayosema katika closed systems vitu vyote hukongoroka

Wewe hukubali kwamba kuna kufa?
Hao wanasayansi hawawezi kuzui mtu asife?
 
This is a logical non sequitur.

Unaelewa?

Mimi nakwambia sijui square root ya 2 ni nini. Lakini najua ni ndogo kuliko 2. Hivyo haiwezi kuwa 10.

Wewe unaniambia square root ya 2 ni 10.

Halafu unaniambia "kama hujui square root ya 2 ni nini, kuelewa kwamba square root ya 2 ni 10 ni mzigo mzito".

Unaonesha jinsi usivyoweza kufikiri kimantiki.

Mungu wako hayupo. Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.

Contradiction katika dhana ya kuwepo Mungu wako ni sawa na contradiction ya kusema square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, halafu kusema square root ya 2 ni 10.

Unasema square root ya 2 ni 10.

Unaelewa hilo?
Lete udhibitisho kwamba Mungu hayupo
 
Lete udhibitisho kwamba Mungu hayupo
Hayupo kwa sababu angekuwepo kusingekuwa na mjadala kwamba yupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, inapingwa na ukweli wa uhalisi tunaouona duniani kwamba maisha yana ubaya mwingi, magonjwa, vita, kifo etc.

Angekuwepo ubaya wowote usingewezekana.
 
Imani Yangu Ni Kwamba Mungu ametengeneza kanuni (Principles) Hapa Dunia,...

Kama unaposema (Water is made up of two hydrogen atoms and one oxygen atom) kwa ndo upate maji lazima hii kanuni ifuatwe

Hivi kuna principles nyingi zipo,..
_kama hujui kuendesha gari sio ngumu ww kupata ajali
_ngono zembe na mtu aliyeathirika inaweza kusababisha ww pia kuathirika
_kula vyakula ovyo na lifestyle mbaya inaweza kusababisha magonjwa mengi

Basi Maisha yetu yanafuata hizi kanuni kwamba kama upo hai leo jua ww ni zao la mwanamke na mwanaume,...

Mungu haendi nje ya izi kanuni,...''what others see as work of miracles are just principles of physics and mathematics" huu ni msemo wa mwana sayansi NIKOLA TESLA

Basi ata ukiwafufua wazee wa zamani wakaona the technological advancement wanaweza sema ni miujiza kumbe ni kanuni za hesabu na fisikia tu...

Nafikiri 'Ni Mpango Wa Mungu' ni statement rahisi yakusema 'Sijui kuelezea kilichotokea'

'Mungu amempenda zaidi' ni statement nyingine ya kusema aliyekufa amechukulia na mipango ya Mungu na kwa mara nyingi kifo ni sababu ya uvujanji kanuni hizi (Old age, diseases, accidents and so forth)

'Lets ask ourselves hard questions like why life span in US is at 70 and here at home is at 45'
 
Hayupo kwa sababu angekueepo kusingekuwa na mjadala kwamba yupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kueepo kwake, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote, inapingwa na ukweli wa uhalisi tunaouona duniani kwamba maidha yana ubaya mwingi, magonjwa, vita, kifo etc.

Angekuwepo ubaya wowote usingewezekana.
Hufikiri hayo mabaya uliyo yataja yapo kwa sababu yeye yupo na ili uogope hayo mabaya yasije kukupata na salama yako itakuwa kwake muumba mbingu na nchi.
 
Basi ata ukiwafufua wazee wa zamani wakaona the technological advancement wanaweza sema ni miujiza kumbe ni kanuni za hesabu na fisikia tu...

Nafikiri 'Ni Mpango Wa Mungu' ni statement rahisi yakusema 'Sijui kuelezea kilichotokea'

'Mungu amempenda zaidi' ni statement nyingine ya kusema aliyekufa amechukulia na mipango ya Mungu na kwa mara nyingi kifo ni sababu ya uvujanji kanuni hizi (Old age, diseases, accidents and so forth)

'Lets ask ourselves hard questions like why life span in US is at 70 and here at home is at 45'
Umenena vyema mkuu. Na hapo kwenye red naona maisha ya mwanadamu yantegea zaidi mazingira kuliko kitu chochote.
NI MAONI YANGU TU.
 
Hufikiri hayo mabaya uliyo yataja yapo kwa sababu yeye yupo na ili uogope hayo mabaya yasije kukupata na salama yako itakuwa kwake muumba mbingu na nchi.
Mungu huyo alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na wala hauhitaji mabaya ili watu wasiwe na haja ya kuogopa mabaya, kwa sababu mabaya hayapo na wala hayawezi kufikirika kabisa?

Alishindwa kuumba ulimwengu huo?
 
Imani Yangu Ni Kwamba Mungu ametengeneza kanuni (Principles) Hapa Dunia,...

Kama unaposema (Water is made up of two hydrogen atoms and one oxygen atom) kwa ndo upate maji lazima hii kanuni ifuatwe

Hivi kuna principles nyingi zipo,..
_kama hujui kuendesha gari sio ngumu ww kupata ajali
_ngono zembe na mtu aliyeathirika inaweza kusababisha ww pia kuathirika
_kula vyakula ovyo na lifestyle mbaya inaweza kusababisha magonjwa mengi

Basi Maisha yetu yanafuata hizi kanuni kwamba kama upo hai leo jua ww ni zao la mwanamke na mwanaume,...

Mungu haendi nje ya izi kanuni,...''what others see as work of miracles are just principles of physics and mathematics" huu ni msemo wa mwana sayansi NIKOLA TESLA

Basi ata ukiwafufua wazee wa zamani wakaona the technological advancement wanaweza sema ni miujiza kumbe ni kanuni za hesabu na fisikia tu...

Nafikiri 'Ni Mpango Wa Mungu' ni statement rahisi yakusema 'Sijui kuelezea kilichotokea'

'Mungu amempenda zaidi' ni statement nyingine ya kusema aliyekufa amechukulia na mipango ya Mungu na kwa mara nyingi kifo ni sababu ya uvujanji kanuni hizi (Old age, diseases, accidents and so forth)

'Lets ask ourselves hard questions like why life span in US is at 70 and here at home is at 45'
Kwahiyo unataka kusema mtoto akizaliwa leo akaishi siku 3 akafa! Kifo cha huyo mtoto siyo mpango wa Mungu?
 
Baba anayeweza kujenga nyumba ambayo udokozi wa sukari hauwezekani wala kufikirika, anaacha kujenga nyumba hiyo, anajenga nyumba ambayo udokozi wa sukari unawezekana na watoto wake wadokozi anawakata mikono, ili wengine waone udokozi ni mbaya wasidokoe.

Sasa kwa nini huyu baba asingejenga nyumba ambayo udokozi wa sukari hauwezekani?

Mfano huu unakuwa na maana zaidi ukizingatia eti huyo baba ananuwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
 
Back
Top Bottom