Dhamira ya kiumbe ndio inahukumu kiumbe,ukiona unafanya jambo na dhamira yako haishitaki basi ni halali yakoSasa mbona mtu akitenda dhambi Mungu anamhukumu?
Mkuu unasema Mungu hana baya wa jema! Upo sahihi kweli? Kama hana baya wala jema mbona ana tuua?Dhamira ya kiumbe ndio inahukumu kiumbe,ukiona unafanya jambo na dhamira yako haishitaki basi ni halali yako
Kwakua dhamira ndio yenye kutofautisha kati ya binadamu na mtu.
Mungu hana jema wala Baya vyote kwake ni sawa tu,Kwa kuwa asili yavyo ni yeye mwenyewe
Na la kuongezea ni kuwa inabidi kujifunza kutofautisha kati ya Muumba na Miungu na ndio changamoto kubwa kwenye maandiko mnayotumia
Mungu yupo kwa sababu wewe upoUnaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Hujathibitisha. Umeandika tu. Thibitisha.Mungu yupo kwa sababu wewe upo
Ni dhibitishe vipi wakati kithibitisho unacho mwenyewe, kwamba wewe upo na kuna wakati hukwepo na utakuja wakati huta kwepo.Hujathibitisha. Umeandika tu. Thibitisha.
Kuwepo kwangu kunathibitishaje Mungu yupo?Ni dhibitishe vipi wakati kithibitisho unacho mwenyewe, kwamba wewe upo na kuna wakati hukwepo na utakuja wakati huta kwepo.
kama ndio hivyo hasa tunahangaika nini?kwahiyo kuna watu wameumbwa wawe maskini na wengine wawe matajiri?
Asili yako ni wapi?Kuwepo kwangu kunathibitishaje Mungu yupo?
Usilazimishe. Thibitisha.
Hapo ndiyo pagumu!kama ndio hivyo hasa tunahangaika nini?
Sijui.Naitafuta. Lakini haiwezi kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote.Asili yako ni wapi?
Dokezo langu bado hujalifanyia kaziMkuu unasema Mungu hana baya wa jema! Upo sahihi kweli? Kama hana baya wala jema mbona ana tuua?
Walioleta dini walituweza.Hapo ndiyo pagumu!
Maneno yako yanafikilisha lakini sio kwamba nakunga mkono.Sijui.Naitafuta. Lakini haiwezi kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote.
Ingekuwa ni hivyo, kungekuwa hakuna kufa, ugonjwa, kula wala kunya.
Na kila mtu angemjua huyo Mungu kwa namna ambayo huu mjadala usingewezekana.
Kuwezekana mjadala huu ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Ushaona?Maneno yako yanafikilisha lakini sio kwamba nakunga mkono.
KAMA ANGEKUWEPO BASI PASINGEKUWA NA MIJADALA YAKUHOJI UWEPO WAKE.
Ikiwa hakuna Mungu umejuaje kama kuna kufa? Umewahi kufa?Sijui.Naitafuta. Lakini haiwezi kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote.
Ingekuwa ni hivyo, kungekuwa hakuna kufa, ugonjwa, kula wala kunya.
Na kila mtu angemjua huyo Mungu kwa namna ambayo huu mjadala usingewezekana.
Kuwezekana mjadala huu ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Ila mkuu wenyewe wameshasema kuwa hachunguziki na wala hana mwanzo wala mwisho.Ushaona?
Eti Mungu gani anajifichaficha kwa utata utata kama anadaiwa kodi na TRA?
Nimeona watu wanakufa, wanazikwa.Ikiwa hakuna Mungu umejuaje kama kuna kufa? Umewahi kufa?
Hachunguziki na hana mwanzo wala mwisho. Kweli. Kwa sababu hayupo.Ila mkuu wenyewe wameshasema kuwa hachunguziki na wala hana mwanzo wala mwisho.