Je inawezekana kusoma CPA na kufanyiwa recategorization bila kua na degree ya uhasibu?

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
379
Reaction score
1,082
Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
 
Anza kusoma Attec 1 then Attech 2 From there cjui ndo unaingia foundation ili uanze kusomea CPA ila ata ukiwa na atteci 1 halmashauri wanakufanyia kawaida Recategorazation kama kuna huaba wa wahasibu kitu ambacho halmashauri ni obvious.
 
muajiriwa wa levo gani ya elimu, ukianza ATEC utabadilishiwa Muundo (recategorization), ukianzia foundation -intermidiate/degree ukiwa na HR muelewa pia utabadilishiwa muundo hata kama hujafika CPA.
Tatizo ni kwamba HR wengi hawaelewi intermidiate stage (module C&D) zamani kuwa ndiyo degree in Accounting.
Kibongobongo nakushauri piga degree OPEN UNIVERSITY...kisha zama CPA
 
Nina degree ya ualimu masomo ya physcis na mathematics.. nilitaka kusoma uhasibu open ndio nikaingiziwa ilo wazo la kusoma CPA, maana CPA halmashauri wanaanza na E, kwahiyo sitarudishwa nyuma sana.
 
Anza kusoma Attec 1 then Attech 2 From there cjui ndo unaingia foundation ili uanze kusomea CPA ila ata ukiwa na atteci 1 halmashauri wanakufanyia kawaida Recategorazation kama kuna huaba wa wahasibu kitu ambacho halmashauri ni obvious.
Na hiyo attec 1 na 2, ukifanyiwa recategoeization naanza na tgs hipi?
 
Nina degree ya ualimu masomo ya physcis na mathematics.. nilitaka kusoma uhasibu open ndio nikaingiziwa ilo wazo la kusoma CPA, maana CPA halmashauri wanaanza na E, kwahiyo sitarudishwa nyuma sana.
Kama una degree ya mambo mengine, Anza kusoma na kufanya mitihani ya NBAA direct. Huna sababu ya kuanza kutafuta degree ya uhasibu then uje ufanye tena mitihani ya NBAA. Though inabidi ujipange sana na hasa kama huna background ya mambo ya finance
 
Sawa hapo nimekuelewa, shida ya HR wengi hawajui, wanasema level ya utaalamu ni degree na diploma, mfano kuna rafiki yangu alisoma taxation hajafanyiwa recategorization, lakini yupo halmshauri akifanya kazi ya uhasibu,naweza kusoma hiyo CPA nikarudi halmashauri wakataka tena niwe na bachelor ya account ndio maana nikauliza kwa wanaojua wanipe muongozo.
 
Nina degree ya ualimu masomo ya physcis na mathematics.. nilitaka kusoma uhasibu open ndio nikaingiziwa ilo wazo la kusoma CPA, maana CPA halmashauri wanaanza na E, kwahiyo sitarudishwa nyuma sana.
usiingalie E, angalia kuwa HR kibao hawajui kuwa ukiwa na CPA meant tayari una degree ya uhasibu ndani yake.Kuna watu nawajua wana CPA na recategorization hawafanyiwi kisha wanaambiwa degree ya Uhasibu hawana (naongea in practical sense kama huamini kamuulizee DHRo wako)
2. Kuipata CPA sio rahisi kiivyo inahitaji dedications
3. Ukiwa mhasibu Halmashauri huitaji E ili uishi, kama matumizi yako sio ya anasa na ukiwa na heshima kwa wakuu wako na bidii utakuwa unakula posho posho zilizohalali hutaitaji mshahara ili uishi
4. Mhasibu Halmashauri anapata pesa kuliko Medical doctor (collectve kibunda)
 
Sawa hapo nimekuelewa, shida ya HR wengi hawajui, wanasema level ya utaalamu ni degree na diploma, mfano kuna rafiki yangu alisoma taxation hajafanyiwa recategorization, lakini yupo halmshauri akifanya kazi ya uhasibu,naweza kusoma hiyo CPA nikarudi halmashauri wakataka tena niwe na bachelor ya account ndio maana nikauliza kwa wanaojua wanipe muongozo.
Sijui siku hizi mambo yakoje but hadi miaka ya 90 CPA walikua wanaanza na P1 to P4, P4 ilikua ndio full CPA na P3 masomo yake yalikua ndio yale yale ya chuo kikuu mwaka wa mwisho kwa waliokua wanasoma BBA in Accounting and hence wanafunzi hasa wa zilizokuaga Advance diploma kama IFM, Mzumbe, DSA (sasa TIA ) walikua wanapiga both, mitihani ya darasani kwao na paper la NBAA. Wapo HR waelewa pia cause CPA ndio cheti cha juu cha uhasibu Tanzania. Kama upo kazini, nakushauri fanya paper za board but again will depend na mkoa uliopo, mitihani ya board ya wahasibu kama upo vijijini au mikoa hi mipya then kutoboa ni ngumu, Uta sup sana, kama upo Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya you can make it, nje ya mikoa hiyo, please join OUT kwa degree level cause hawa wana matawi almost mikoa yote Tanzania na walimu huaga wanakuja
 
usiingalie E, angalia kuwa HR kibao hawajui kuwa ukiwa na CPA meant tayari una degree ya uhasibu ndani yake.Kuna watu nawajua wana CPA na recategorization hawafanyiwi kisha wanaambiwa degree ya Uhasibu hawana (naongea in practical sense kama huamini kamuulizee DHRo wako)
2. Kuipata CPA sio rahisi kiivyo inahitaji dedications
3. Ukiwa mhasibu Halmashauri huitaji E ili uishi, kama matumizi yako sio ya anasa na ukiwa na heshima kwa wakuu wako na bidii utakuwa unakula posho posho zilizohalali hutaitaji mshahara ili uishi
4. Mhasibu Halmashauri anapata pesa kuliko Medical doctor (collectve kibunda)
Degree bila CPA hutambuliki kama mhasibu, ni mhasibu msaidizi au karani.
 
Attachments

Sawa hapo nimekuelewa, shida ya HR wengi hawajui, wanasema level ya utaalamu ni degree na diploma, mfano kuna rafiki yangu alisoma taxation hajafanyiwa recategorization, lakini yupo halmshauri akifanya kazi ya uhasibu,naweza kusoma hiyo CPA nikarudi halmashauri wakataka tena niwe na bachelor ya account ndio maana nikauliza kwa wanaojua wanipe muongozo.
Muelimishe HR.

It is an offence to employ
or continue to employ and/or call any person who is not a Certified Public Accountant in Public Practice as
an auditor or any person who is not a Certified Public Accountant or a Graduate Accountant as an Accountant
as per S.29 & S.30 of the Accountants and Auditors (Registration) Act, CAP 286 R.E 2002
 
hao HR au DHRO akili mgando hawaelewi, hata walioko Mkoani hawaelewi
Kuna jamaa aliapata kazi toka sekretariati ya AJIRA akiwa na Intermediate stage ambayo ni degree in Accounting nakwambia alikataliwa, issue ikafika mkoa akakataliwa, ikarudi Dodoma ndio ikawa solved.

Hili jambo pia linawakuta wanausoma Procurement na kupata award za Board zao pasipo kuwa na degree za chuo
 
Tanganyika yetu.
 
Tunatunga sheria tusizozifata. Anyway, hata huku private hata hiyo degree au cpa hatujali, tunaajiri kwa exposure na iq level yako katika uhalisia si makaratasi.
Kwa mfano wanaosoma manunuzi na kupata qualifications za BOARD zao pasipo kuwa na degree za vyuo nao hukumbana na kasheshe hili hili. Can you imagine mtu ana CPA anakataliwa sio mhasibu na hafanyiwi recategorization kuwa mhasibu ila wenye Diploma na Cerificate huutwa wahasibu...yaan mtu ana CPA na anaonekana hana degree ya UHASIBU mambo ya ajabu kweli kweli mifumo ya TZ migumu jaman
 
Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
Ili ufanye CPA Kuna qualifications & requirements zake mzee..

Mimi licha ya kua daktari nimefanya postgraduate studies ya Finance hivyo na qualify kufanya mitiani ya CPA
Mkuu kichwa kichwa hutoboi CPA 😇
 
Back
Top Bottom