AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 507
- 878
Point. Hata UTUMISHI (PSRS) wakitangaza post za uhasibu, sidhani kama mwenye CPA bila degree ya uhasibu wanamkubaliShida ni moja HR Wengi hawatambui CPA kwenye recategorization, wanataka bachelor ya uhasibu kwanza ndio maana nikauliza, kusoma sio shida saana maana msuli nauweza vizuri tu.