AccomplishedEntrepreneur JF-Expert Member Joined Feb 25, 2020 Posts 507 Reaction score 878 Sep 10, 2024 #41 Optimists said: Shida ni moja HR Wengi hawatambui CPA kwenye recategorization, wanataka bachelor ya uhasibu kwanza ndio maana nikauliza, kusoma sio shida saana maana msuli nauweza vizuri tu. Click to expand... Point. Hata UTUMISHI (PSRS) wakitangaza post za uhasibu, sidhani kama mwenye CPA bila degree ya uhasibu wanamkubali
Optimists said: Shida ni moja HR Wengi hawatambui CPA kwenye recategorization, wanataka bachelor ya uhasibu kwanza ndio maana nikauliza, kusoma sio shida saana maana msuli nauweza vizuri tu. Click to expand... Point. Hata UTUMISHI (PSRS) wakitangaza post za uhasibu, sidhani kama mwenye CPA bila degree ya uhasibu wanamkubali
M Mr. Tutor JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 853 Reaction score 2,595 Nov 14, 2024 #42 M.Rutabo said: Ukiwa muhasibu mshahara wako utakuwa unakutana kwenye akaunti. Au ndo unafika unapangwa kuwa muhasibu wa mapato au Afya shida utakuwa umekimbia. Click to expand... Akiwa muhasibu wa afya hakosi laki 6 kila mwezi viposho kutoka Zahanati na vituo vya afya. Kutamu balaa
M.Rutabo said: Ukiwa muhasibu mshahara wako utakuwa unakutana kwenye akaunti. Au ndo unafika unapangwa kuwa muhasibu wa mapato au Afya shida utakuwa umekimbia. Click to expand... Akiwa muhasibu wa afya hakosi laki 6 kila mwezi viposho kutoka Zahanati na vituo vya afya. Kutamu balaa