Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Ha ha ha huu ndo ukweli na kauli mbiu yao ya nimechoka [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hajanioa haiwezekani, ataachwa tu hakuna namna. Kama ni mume na amepata hilo tatizo ndani ya ndoa atavumiliwa...ila atagongewa akae akijua hilo.
Ukweli mchungu sana πŸ˜‚
 
Tiba nitapambana kwa mume, sio kwa mpenzi...unaweza pambana na ukaachwa vile vile, apambane mwenyewe.
Naweza kumsaidia kwa kumtia moyo lakini hakutakuwa na guarantee kuwa sitamove on kwa mwingine.
Akipona haraka, basi itakuwa vzr zaidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kiufupi ni kuwa kuishi bila tambo la mchanyato ni ngumu sana kwako...
 
Kama kanioa na shida imeanza baadae sana baada ya ndoa na kupata watoto sawa nitadumu nae....
Km hajanioa wa nini..nahitaj kuzaa etc
Wanini??
Unadhn mwanaume akikuta dem wa hvyo atakubali kumuoa...bora nusu shari kuliko shari kamili
Hii imekaa mkao kweli. No free lunch in Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanamke hajaumbiwa staha ikiwa hapati mambo flani lazma ataanza attitudes hadi utajuta kumfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…