Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Binafsi niliwahi kuwa na wanawake.(mademu)wengi tu

Wengi waowalikuwa wanalalamika sana pindi tunaposhiriki Zinaa, Walikuwa wanasema Ninawaumiza kwa kuwapelekea moto mkali sana.

Wanawake hawaeleweki kaka.
Ukipeleka moto wanalalama usipo wakojolesha WANALIWA.

WASIKUUMIZE KICHWA
Ha ha ha huu ndo ukweli na kauli mbiu yao ya nimechoka [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiba nitapambana kwa mume, sio kwa mpenzi...unaweza pambana na ukaachwa vile vile, apambane mwenyewe.
Naweza kumsaidia kwa kumtia moyo lakini hakutakuwa na guarantee kuwa sitamove on kwa mwingine.
Akipona haraka, basi itakuwa vzr zaidi
😂😂😂😂😂😂 kiufupi ni kuwa kuishi bila tambo la mchanyato ni ngumu sana kwako...
 
Kama kanioa na shida imeanza baadae sana baada ya ndoa na kupata watoto sawa nitadumu nae....
Km hajanioa wa nini..nahitaj kuzaa etc
Wanini??
Unadhn mwanaume akikuta dem wa hvyo atakubali kumuoa...bora nusu shari kuliko shari kamili
Hii imekaa mkao kweli. No free lunch in Africa 😂😂😂
 
Tena Mwanaume wa hivyo ukimsitiri utakula mema ya nchi [emoji108]

Kwanza risks nyingi zinakuwa hazipo.

Hawezi kuchepuka na kupoteza fedha na rasilimali za familia.

Hawezi pata magonjwa.

Yaani inakuwa salama.

Wewe mwenyewe mwanamke utafanya maarifa yako mengine ilimradi ufanye kwa usiri mkubwa na staha.
Mwanamke hajaumbiwa staha ikiwa hapati mambo flani lazma ataanza attitudes hadi utajuta kumfahamu.
 
Back
Top Bottom