Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Kweli Mimi kuna demu nimemtema kwasababu hanipi uchi na hajui mwanaume hawezi kukaa wiki biila kuichataka mbususu.
Hata mimi ningeachana naye, mtu mnamaliza wiki hadi mwezi hataki kuvua chuppy anipee kitumbua nikichakate wa nini ke kama huyo? Piga chini fasta vinginevyo awe na sababu zenye mashiko kama ugonjwa na kadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahahamu haiwezekani rafiki
Wewe nakujua... Japo uko na lijamaa lako linakugegedua vizuri lakini bado unachepuka na mimi

Hili nalo ukalifanyie kazi

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Wewe nakujua... Japo uko na lijamaa lako linakugegedua vizuri lakini bado unachepuka na mimi

Hili nalo ukalifanyie kazi

Au nasema uongo ndugu zangu
Hata nyama ya kuku ni tamu sana lakini ukiila kila siku inachosha.
Kuongezea chachandu kunogesha hakuna ubaya
 
Hata nyama ya kuku ni tamu sana lakini ukiila kila siku inachosha.
Kuongezea chachandu kunogesha hakuna ubaya
Ndio maana ya umuhimu wa mechi za kirafiki....

Hili nalo mkalitazame
 
Hata mimi ningeachana naye, mtu mnamaliza wiki hadi mwezi hataki kuvua chuppy anipee kitumbua nikichakate wa nini ke kama huyo? Piga chini fasta vinginevyo awe na sababu zenye mashiko kama ugonjwa na kadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilimuacha hakunipa mwaka mzima na hapo hapo alikuwa ana niomba pesa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kabisa, mi naamini mapenzi sio sex tu! Kama mambo mengine yako sawa hakuna tatizo.
 
Sasa huna nguvu za kiume hayo mahusiano yatakuwa yanahusiana na nini
 
Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.

Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Nilishakuaga na mtu huyo nilimpenda ila mwisho wa siku nikampotezea maana siwez olewa na mtu wa ivo Kila siku anakutekenya afu anakuacha ni ngumu Sana.
Sikujuaga alikua anaumwa nn
 
Back
Top Bottom