Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ulikuwa unakaa na pad muda gani? Hilo ndilo laweza kuwa tatizo.Mimi nimetumia HC sijaona tatizo lolote , nyuma nilikuwa natumia pad za free style na alwayz yani nilikuwa siponi fungus mara miwasho mara harufu mbaya nikaachana navyo baada ya kutumia hc niko murua na sihami
Sent using Jamii Forums mobile app