Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Inakuwaje jaman wew mwanamke upo kwa menstrual bleeding then unaenda swimming pool tena ni public swimming pool?!
Its not fair indeed!

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
It's very true.. Mimi nikitumia days zinakua chache na hata utokaji wa damu flow inakua ndogo ukilinganisha ninapotumia pedi aina nyingine. kuna muda unataka kubadili pedi unakuta kitu holla...

halafu zina ubaridi fulani ile ukiivaa unasikia ubaridi wa haja huko chini
Hii hata mimi inanikuta nikitumia HQ mpaka najiuliza hizo dam zinaganda huko huko ndan kwa ndan...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje jaman wew mwanamke upo kwa menstrual bleeding then unaenda swimming pool tena ni public swimming pool?!
Its not fair indeed!

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app

Haturuhusiwi??[emoji15]

Rubiikimimi[emoji85]
 
Haturuhusiwi??[emoji15]

Rubiikimimi[emoji85]
Sina uhakika kama wamiliki wa swimming pools wana zuio hilo lakin kwa kutumia tu akili ya kawaida(common sense),si jambo la afya hasa kujali afya za wengine
Pia hata wew binafsi ujue ipo siku utapata aibu kubwa

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ebu nambie huo ushamba wangu upo wap [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app

Jaribu kugoogle "tampons women pads"
 
Badilisha title yako.
Kitu kinachokupa madhara wewe sio lazima kiwape madhara wengine ili muwe sawa kwa kuwaminisha kwamba zina shida. Use whats suits your condition.

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Kabisa!!!

Rubiikimimi[emoji85]
 
Jaribu kugoogle "tampons women pads"
Hizo nazifahamu ila unajua utokaj wa damu hasa ktk siku ya kwanza na ya pili huwa nyingi zaid sasa hizo tampons hulowa haraka sometimes huweza kuvujisha blood

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hizo nazifahamu ila unajua utokaj wa damu hasa ktk siku ya kwanza na ya pili huwa nyingi zaid sasa hizo tampons hulowa haraka sometimes huweza kuvujisha blood

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
Hiyo damu yako tu!!
Na zinapatikana zenye uwezo wa kuhimili ujazo tofauti

Rubiikimimi[emoji85]
 
Ooh hata mim uwa napata shida nikitumia nakua kama navutwa na kitu ukeni sahv nimeacha kabsa nilihis labda Mimi nna matatzo lkn nikitumia pads nyingine sion hyo hali
 
Back
Top Bottom