Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo ni Tampon kwa lugha ya kigeni.Mimi natumia OB ni za kuingiza ndani kabisa ya K kina baki kikamba tu then unavaa chupi kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mimi ndo kwanza nimeanza kutumia mwezi huu kuna mtu alinishauri ngoja nione na mwezi ujao ila nizipenda ile harufu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmm ndani ya k[emoji1324][emoji1324][emoji1324]Mkuu hizo ni Tampon kwa lugha ya kigeni.
Yeah, wanamichezo ndio hupendelea kutumia hizo kitu.Mmmmmmm ndani ya k[emoji1324][emoji1324][emoji1324]
Yeah, wanamichezo ndio hupendelea kutumia hizo kitu.
Wanawake mna changamoto sana na hii kitu yenu.
Sicheki hapa![]()
Yaan ww acha tu
3500-4000
Always nyongi sana ni fake. Especially hizi za kununua dukani kwa mangi. Bora kununua supermarkets kubwa zile wananunuaga kwa wholesale from viwandani. Always max karibia 90 percent zilizopo madukani ni feki. Kuna rafiki angu ana duka aliniambia feki wanachukua cheap afu wanauza bei ya zile original. So kwao ni faida bila kujali madhara. Yani you need to be extra carefully in buying hizi padskuna always moja ile ambayo pink yake imekolea sana inawasha balaa sijui ni ya nchi gani kuna siku nilivua chupi barabarani
8 nadhani
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her productsNimetumia miaka sijawahi kupata shida yoyote!!
Hayo matatizo ni kwa baadhi yenu.
Sioni kama ni vyema kuhitimisha ati zinaharibu mzunguko wa hedhi hadharani.
Pia wengine tukitumia hizo always, freestyle na nyinginezo tunapata fangasi na miwasho mpaka michubuko.
Generally pedi zote usalama wake inategemeana na mwili wa muhusika
Rubiikimimi[emoji85]