Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Jamani apa kuna ped zinaitwa afropeds za uganda zenyewe ni za kufua kam chupi ni nzuri hatari bei sh 25000ndani zip nne tu unatumia mwaka mzima uzur wake ni ukivaa dam yotew inakaa kat kat ko haikugus mapaja wala nn ukivua unaeza his hujableed ukiloeka ndio utaon dam nyingi tu uzur haziwash unatumia unaifua unaanika mm kwa sasa niko salam apo coz hamna chemical kat kat pale coz unafua kabla hujaanza kutumia na kuendelea ni nzurii mno ko ww bi dada em kanunue hiZo pedi tumia mwez mmoja utakuj niambia
Nimependa hii
 
fb807927787282384b376560129b7f7f.jpg


kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi
Sasa hii c ni pedi?!!
 
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her products
Naamini katika HC hata nikijua naenda kijijini nabeba za kutosha
 
bora nimepata uhakikia wa hii kitu,,nilitumia sikua zikawa chache sana si kama kawaida,,
 
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her products
Anakulipa gharama zote za nini sasa..za kununua viungo vipya au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati naanza kuzitumia kuna kipindi tumbo lilikua linauma sana na flow ilikua kubwa ila sikudani ni pad ndo inachangia huu uzi ndo umenifungua. mpaka sasa nazitumia na maumivu ya tumbo hayapo tena na siwezi kutumia pads nyingine zaid ya HC.
 
Miss Natafuta Taarifa Mkuu!!! Ulivuliwa njia ya wapi hako kananiliu Tafadhari....

KIMEO CHANGU
Mkuu unatamani hata mtu ambaye yuko kwenye hedhi akivua chupi...?

Kwakweli tuko tofauti,hakika ungekuwepo eneo hilo yawezekana ungeona damu ungesimamisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mara ya kwanza Leo nimezivaa Mara nakutana na huu Uzi.
Sasa nikawa najiuliza mbona Leo naumwa na tumbo hivi baada ya kusoma post kadhaa nikajua tatizo ni pedi za HC nimevua nikanunua nyingine sasa hivi ni Mubasharaa[emoji119][emoji119][emoji119]
 
1c6fa31564471b58b23dd270e2ecfb94.jpg

Hizi pads huwa sijawahi kutumia kabisa. Lakini baada ya kutumia. Asee najuta maana zimenidhuru tu.
Sijui usalama wake ukoje.
Kwa kuzitumia ni nzuri na hasa ule ubaridi lakini kwa yaliyonitokea sio salama kwa matumizi .,labda Kama nimekosana nazo.
Je wewe ulishawahi kuzitumia na zikakuletea madhara.??
 
Back
Top Bottom