Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Mi nilifikiri umeweka biskuti lakini hazijadhibitishwa na tfda au tbs[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kama kitu kimekushinda si unaacha tu kwani umelazimishwa!! halafu mbona mnaandama sana pads za huyu mama nini shida mbona wabongo hatupendani!!
Naona wengi wanaogopa ule ubaridi kwakwel ndo maana wanauliza

Kama zina madhara zitaanza namm,natumia hadi pantliner alafu muda mwingine najihc kurelax[emoji6] Sana, Cjui ndo madhara yenyewe
 
Naona wengi wanaogopa ule ubaridi kwakwel ndo maana wanauliza

Kama zina madhara zitaanza namm,natumia hadi pantliner alafu muda mwingine najihc kurelax[emoji6] Sana, Cjui ndo madhara yenyewe
Mimi natumia hizo since mwaka gani sijui na sijawahi ku experience any bad reaction, tho kuna watu wanasema sijui zinavuruga siku sijui nini jamani si unaacha tu unawapisha wengine wanatumia, mimi nikitumia Always Ultra huo muwasho wake balaa ila siwezi kuwaponda Always eti sababu me zimenikataa.

After all njia nzuri ni vitambaa ila yurk yurk mambo za kufua kama mtu anaweza bora aende tu huko.
 
Back
Top Bottom