Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeanza kuzitumia 2015 mpk Leo![]()
Hizi pads huwa sijawahi kutumia kabisa. Lakini baada ya kutumia. Asee najuta maana zimenidhuru tu.
Sijui usalama wake ukoje.
Kwa kuzitumia ni nzuri na hasa ule ubaridi lakini kwa yaliyonitokea sio salama kwa matumizi .,labda Kama nimekosana nazo.
Je wewe ulishawahi kuzitumia na zikakuletea madhara.??
Vipi [nampapaa] ipo njema lakini?![]()
Hizi pads huwa sijawahi kutumia kabisa. Lakini baada ya kutumia. Asee najuta maana zimenidhuru tu.
Sijui usalama wake ukoje.
Kwa kuzitumia ni nzuri na hasa ule ubaridi lakini kwa yaliyonitokea sio salama kwa matumizi .,labda Kama nimekosana nazo.
Je wewe ulishawahi kuzitumia na zikakuletea madhara.??
Zinaniwasha na tumbo kuuma Sana. Na harufu ambayo. Sijawahi kuisikia katika maisha yangu kabisaNimeanza kuzitumia 2015 mpk Leo
Cjaona tatizo lolote,
Kwani Wewe zimekufanyaje?
Hata me huwa natumia always mda wote. Ila nilienda dukani nikakuta always zimeisha nikasema ngoja ninunue hizi. Asee balaa Lake nimeliona [emoji119]Sijawahi kutumia brand nyingine zaidi ya Always
Ndo nn sasaVipi [nampapaa] ipo njema lakini?
Infwakti, mimi ni dokta wa kina mama.
[HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] kwani nawe unatumiaga pads [emoji23]Vipi [nampapaa] ipo njema lakini?
Infwakti, mimi ni dokta wa kina mama.
Haujaelewa au majaribu?Ndo nn sasa
Umeamua kunitukana tu.[HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] kwani nawe unatumiaga pads [emoji23]
Labda sijaelewaHaujaelewa au majaribu?
HapanaUmeamua kunitukana tu.
baizawei, badili pads kama hazikuendei vyema, my waifu alizibadili pia.Labda sijaelewa
Hapana
Itabidi maana zimeinfanya nikakosa rahaNenda hospital
[emoji23] asante sanabaizawei, badili pads kama hazikuendei vyema, my waifu alizibadili pia.
Kwa usalama wa papa yetu lkn.
Poa. Labda nimekosana nazoNi nzuri hazina tatizo.