Ulikuwa unakaa na pad muda gani? Hilo ndilo laweza kuwa tatizo.Mimi nimetumia HC sijaona tatizo lolote , nyuma nilikuwa natumia pad za free style na alwayz yani nilikuwa siponi fungus mara miwasho mara harufu mbaya nikaachana navyo baada ya kutumia hc niko murua na sihami
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna always moja ile ambayo pink yake imekolea sana inawasha balaa sijui ni ya nchi gani kuna siku nilivua chupi barabarani
Wanawake tuna taabu jamani!!!It's very true.. Mimi nikitumia days zinakua chache na hata utokaji wa damu flow inakua ndogo ukilinganisha ninapotumia pedi aina nyingine. kuna muda unataka kubadili pedi unakuta kitu holla...
halafu zina ubaridi fulani ile ukiivaa unasikia ubaridi wa haja huko chini
Na hiyo harufu na ubaridi ndio unaofanya zipendwe.Duuh mimi ndo kwanza nimeanza kutumia mwezi huu kuna mtu alinishauri ngoja nione na mwezi ujao ila nizipenda ile harufu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niendelee kuzijaribuNa hiyo harufu na ubaridi ndio unaofanya zipendwe.
Mie zilinishinda nikaachana nazo, nikarudi kwenye always, nimekoma kupapatikia pads mpya.
Na wewe uliona kama mtoa mada?Mie zilinishinda nikaachana nazo, nikarudi kwenye always, nimekoma kupapatikia pads mpya.
Nilikwenda only two days, alafu kuumwa tumbo sio kwa kawaida. Baada ya hapo na muwasho juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna always moja ile ambayo pink yake imekolea sana inawasha balaa sijui ni ya nchi gani kuna siku nilivua chupi barabarani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna always moja ile ambayo pink yake imekolea sana inawasha balaa sijui ni ya nchi gani kuna siku nilivua chupi barabarani
Mimi baada ya kusoma hapa ndo nimegundua kuwa nilienda siku chache. Mimi nilidhani kawaida maana hedhi ya mwezi huu ilikuwa ya maajabu..huwa naumwa tumbo nagaragara ila mwezi huu walaaa hata halikubipu sijui kwa sababu ya niniNilikwenda only two days, alafu kuumwa tumbo sio kwa kawaida. Baada ya hapo na muwasho juu.
Aiseee pole sanakuna always moja ile ambayo pink yake imekolea sana inawasha balaa sijui ni ya nchi gani kuna siku nilivua chupi barabarani
Mimi pia nilitumia mara mbili nikaachana nazo.Mie zilinishinda nikaachana nazo, nikarudi kwenye always, nimekoma kupapatikia pads mpya.
Nikivaa ped nyingine muwasho jamani...ule ubaridi wake nafikiri ni Mint.Siiachi ng'o,nyembamba...ina harufu nzuri na haiwashi.Nimetumia miaka sijawahi kupata shida yoyote!!
Hayo matatizo ni kwa baadhi yenu.
Sioni kama ni vyema kuhitimisha ati zinaharibu mzunguko wa hedhi hadharani.
Pia wengine tukitumia hizo always, freestyle na nyinginezo tunapata fangasi na miwasho mpaka michubuko.
Generally pedi zote usalama wake inategemeana na mwili wa muhusika
Rubiikimimi[emoji85]
Kwangu ndio Pedi bora tangu kuwahi kutumia tangu nianze mambo yetu [emoji2].Nikivaa ped nyingine muwasho jamani...ule ubaridi wake nafikiri ni Mint.Siiachi ng'o,nyembamba...ina harufu nzuri na haiwashi.
[emoji87] mie hizo mpaka kwenda swimmingMimi natumia OB ni za kuingiza ndani kabisa ya K kina baki kikamba tu then unavaa chupi kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani inachagua watu.Nikivaa ped nyingine muwasho jamani...ule ubaridi wake nafikiri ni Mint.Siiachi ng'o,nyembamba...ina harufu nzuri na haiwashi.