Hii mada ni nzuri kwa sisi wagonjwa watarajiwa (ofcourse kila mtu anaugua), sema mmeingiza ubishi wa kitaalamu mpaka mnatupoteza sasa.
Binafsi natumia dawa zote, za asili na hizi za Western, na zote zinanisaidiaga sana tu. Za kiasili nazitumia zaidi kama kinga, mfano ukitumia limao kama kinga kama Deception anavyosema ni kweli malaria unaweza usiisikie kabisa. Mi naweza kukaa zaidi ya miaka 2 bila kuugua malaria, naaminiga ni kwa sababu natumia sana limau pamoja na madawa mengine ya asili. Ikitokea nina malaria huwa natumia kwanza dawa za hospitali, nikimaliza dozi ndo naendelea na mambo yangu ya limau n.k.
Huwa naamini dawa za hospitali zinafanya kazi fasta, wakati hizi za asili ni slow, so za asili nazitumiaga kama kinga tu. Hivyo mimi kama mtumiaji naelewa vizuri anachozungumza Deception na pia naelewa vizuri wanachoongea kina georgeousmimi na madaktari wengine.
Kwahiyo badala ya kubishana mi ningewaomba chonde chonde mjikite kwenye kutoa uzoefu wenu ktk kutibu haya magonjwa ili mtusaidie sisi wagonjwa. Otherwise, mtakuwa mnatuchanganya zaidi na hayo maneno yenu ya kitabibu ndo kabisaa, mwishowe uzi utabaki wenu tu maprofessionals
Mkuu Deception usife moyo ukipata wasaa njoo utupe unachokijua
HAOO WANAOPINGA WATUMIE KAMA UBAO SISI ILI SISI TUNAOPENDA KUJUA PANDE ZOTE TOSOME
maana habali ya watu kupona ipo na ya watu kuishi navyo na hawatumii dawa ipo vilevile
Karibu
I thank God,kweli tumepotezana sana. Maisha yanakimbiza mno.
Hii kitu inachanganya sana na bahati mbaya wanasayansi hamtuelezi vizuri zaidi ya kutuongezea misamiati migumu migumu. Mbona std kama symphilis gono herpes na hata fungus inakuwa ni kama sheria mmoja akipata na mwingine anapata?
Mkuu Deception naomba kujua ni kwanini hata watu wenye uwezo wa kupata mlo kamili na kujitibu vizuri wanakufa wakipata maambukizi?
....Hata matajiri wengi tunaona wanakufa na kuacha pesa zap nyingi tu ilhali wanapata mlo kamili!!? Nisaidie bila kunirefer.
Amepotea kidogo bila shaka majukum
Ila kwa nilivo muelewa kutojua chanzo na kuamini tulivo aminishwa yaweza kua sababu kwa kuna mtu katoa ushahidi kwa rafiki yake kabisa na kwamaelezo yake hata waliompima mwanzo walishangaa wakizani amekuja kuongeza dozi kwa mimi sikatai mojakwamoja maana taalifa kama hizi zipo na wanapona kweli
Kuna mtu hapo amehoji ni kwa nini magonjwa mengine ya zinaa nikama shiria mmoja akiwa nao mwenzie lazima apate? kitu ambacho ni tofauti na hili janga kiukweli ingekua kama gono tungekufa karibia wote hawa wenzetu ni binaadam kwa nje lakin hawana tofaut na ibilisi maana hupanga mipango ya myaka mia na kuifanikisha baada ya kutimia
Safi sana mito;Wewe sasa umenielewa ,na umenielewa kwa kuwa umeshajijengea attitude ya kutaka kuelewa,hongera kwa hilo.Huwa najisikia raha sana kupata watu kama ninyi.Kama umenifuatilia sawasawa utaona kwamba mimi sipingani na kila tiba za magharibi,bali hupingana na baadhi ya tiba fulani tu za magonjwa fulani na si zote.Hata mimi huwa natumia tiba za magharibi wakati fulani kuwa dawa zake ziko katika concentrated form ambapo huleta majibu kwa haraka zaidi.
Na ndio maana nilitoa angalizo kwa mwana JF mmoja kwamba anatakiwa atumie limao kama kinga kwa sasa na si tiba,sikutaka kueleza mambo yote kwa nini nimemwambia hivyo,ila kama hata limao utalifanyia extract likawa kwenye concentrated form pia linaweza kutumika kama tiba kama zilivyo dawa nyingine za malaria.Ni kasumba za kimagharibi tu ndizo zimetuharibu.
Sasa madaktari wanakuja hapa wanakimbilia kupinga tu bila kuhoji,mimi nilitegemea nimepata watu waelewa wa kwenda nao sambamba kwenye uzi huu kumbe hawana tofauti na wale wengine wanaopenda kupinga bila kuhoji.Sisi inatuwia vigumu kutengeneza extract zetu wenyewe kwa sababu nyingi sana ambazo nikianza kueleza sitamaliza,unaweza kuandika kitabu.Wachina wana dawa zao za kutibu magonjwa mbalimbali kama malaria nk kwa kuwa wana uwezo wa kutengeneza hizo extracts,hivyo wachina wengi hawatumii dawa za magharibi.Watu wanakurupuka na kuja kupinga tu bila kuhoji,mbona mimi sikupinga tiba za magharibi zaidi ya hizi za magonjwa ya ki-propaganda?
Mimi niliona yule jamaa kafanya jambo jema kuwaita madaktari humu kumbe ndio wamekuja kuharibu tu,hawajui hata pa kuanzia kuhoji na badala yake hukimbilia kupinga mambo wasioyajua.Kweli wasomi ni wengi lakini waelimika ni wachache sana.
Naomba kuuliza jamani,nimeona post moja humu inasema juisi ya mboga za majani kama matembele na sipinachi ni nzuri sana katika mwili.hii juisi inaandaliwa vipi hadi kuitumia? Mkuu deception pamoja na wengine msikatishwe tamaa na watu wachache endeleeni kutuelimisha.na katika ile ishu ya limao nashukuru sana deception ulilielewa vizuri sana swali langu.sikumaanisha tiba unapokuwa na malaria ila ukishatumia dawa za malaria then utumie nini ili malaria isiwe yenye kurudia rudia.mkuu deception nashukuru kwa kunielewa na kunielekeza vizuri kabisa.usikatishwe tamaa na watu wachache.endelea kutufungua fahamu hao wataalamu sio rahisi kuongea ukweli kama unavyoongea wewe kwani wanalinda vibarua vyao.
mbona literature nyingine zinasema mtu anaweza kuambukizwa vvu kutokana na maji maji (fluids) kutokakwa mwili wa mwathirika hii imekaaje ?
mkuu nashukuru kwa elimu.Swali:inamaana vipimo vikionyesha HIV neg,nikaanza kutumia ARV'S baadaye nikipima ntakutwa na HIV+ au AIDS?Usaidizi tafadhali.
Dinazarde njoo uku usikie habari njema, zile ARV hazifai tena njoo tupate ushauri apa ooh tusije kufa kabla ya wakat sijui nani atawapa umbea humu
mito hawa watu wa humu I mean kina gorgeousmimi na Deception kila mtu anavutia kwake na hawataki kudebate.....
....... Kuna watu wameshacriticize hizo argument za Peter hasa ile ya Koch test...
.....Wanasema sasa hivi wanaweza kuisolate huyo HIV na anaweza ambukiza mwingine...
.....Shida ni hawa madaktari hawana mood ya kumcrush kwa point deception ndio maana anaonekana kushinda argument....
....wapendwa wetu na pengine sisi wenyewe tunaugua tunapimwa na kuambiwa tuko positive na tunakufa...
...Kukataa kuwa hakuna HIV haiondoi ukweli kuwa kuna kitu (bila kujali jina) kinanyong'oneza (to put it in a light word) afya za watu ni sawa na Kiranga et el anavyodai hakuna ushahidi wa uwepo wa Mungu; lakini haiondoi ukweli kwamba Mungu YUPO
Hii mada ni nzuri kwa sisi wagonjwa watarajiwa (ofcourse kila mtu anaugua), sema mmeingiza ubishi wa kitaalamu mpaka mnatupoteza sasa.
Binafsi natumia dawa zote, za asili na hizi za Western, na zote zinanisaidiaga sana tu. Za kiasili nazitumia zaidi kama kinga, mfano ukitumia limao kama kinga kama Deception anavyosema ni kweli malaria unaweza usiisikie kabisa. Mi naweza kukaa zaidi ya miaka 2 bila kuugua malaria, naaminiga ni kwa sababu natumia sana limau pamoja na madawa mengine ya asili. Ikitokea nina malaria huwa natumia kwanza dawa za hospitali, nikimaliza dozi ndo naendelea na mambo yangu ya limau n.k.
Huwa naamini dawa za hospitali zinafanya kazi fasta, wakati hizi za asili ni slow, so za asili nazitumiaga kama kinga tu. Hivyo mimi kama mtumiaji naelewa vizuri anachozungumza Deception na pia naelewa vizuri wanachoongea kina georgeousmimi na madaktari wengine.
Kwahiyo badala ya kubishana mi ningewaomba chonde chonde mjikite kwenye kutoa uzoefu wenu ktk kutibu haya magonjwa ili mtusaidie sisi wagonjwa. Otherwise, mtakuwa mnatuchanganya zaidi na hayo maneno yenu ya kitabibu ndo kabisaa, mwishowe uzi utabaki wenu tu maprofessionals
Kaunga njoo bwana, we ndo umesababisha jana nije kuutafuta huu uzi pale ulipomstua Asprin kule MMU
mito hawa watu wa humu I mean kina gorgeousmimi na Deception kila mtu anavutia kwake na hawataki kudebate. Ilibidi jana nifanye kazi ya kugoogle. Deception anatumia zaudi taarifa za Peter alizochapisha over 20 years ago na argument hizo hizo. Kuna watu wameshacriticize hizo argument za Peter hasa ile ya Koch test. Wanasema sasa hivi wanaweza kuisolate huyo HIV na anaweza ambukiza mwingine. Shida ni hawa madaktari hawana mood ya kumcrush kwa point deception ndio maana anaonekana kushinda argument. I understand that they are busy lkn kule mmu huwa wana spare enough time huenda kwa ajili ya kurefresh mind after a long day of work, kingine naelewa kuna specialisation kwa madaktari hivyo sio wote wana ulewa wa kina juu ya HIV. Generally wanapatiwa symptoms, vipimo na dosages and they are okay to go. So I excuse them.
Kuhusu deception na Peter na Thabo Mbeki, sisi watu wakawaida we have this simple but ugly realite ndugu na wapendwa wetu na pengine sisi wenyewe tunaugua tunapimwa na kuambiwa tuko positive na tunakufa.
Kukataa kuwa hakuna HIV haiondoi ukweli kuwa kuna kitu (bila kujali jina) kinanyong'oneza (to put it in a light word) afya za watu ni sawa na Kiranga et el anavyodai hakuna ushahidi wa uwepo wa Mungu; lakini haiondoi ukweli kwamba Mungu YUPO
Mkuu Deception ni kweli kabisa siyo wote watakuelewa na siyo wote watafuata kile unachosema. Sababu ni kwamba watu wengi hatuna kasumba ya kusoma zaidi ya kile tulichofundishwa, pia hatuna kasumba ya kuuliza nje ya kile tunachofundishwa. Mimi sina hata chembe ya udaktari, lakini haya matibabu ya asili nimeanza kuyafuatilia baada ya kuanza kujiuliza maswali mengi bila kupata majibu ya maana, nikawa na interest ya kusoma zaidi habari zake ndo nikagundua ni kinga nzuri tu.
Hizi dawa au kinga asili zinatumika pia hata kwenye mifugo. Kule jukwa la biashara kuna uzi umegusia tiba za asili. Sasa mimi kwa vile tayari nazitumia, sikupata tabu kuamini kuwa zinafaa kwa mifugo pia. Kifupi mi nafuga kuku, wachache tu kama mia hivi wa kienyeji kwa matumizi ya familia. Hawa kuku natumia sana kinga asili na wako poa, magonjwa ya mlipuko yanaibuka kuku wajirani wanakufa wangu wapo tu, nikiwaambia nachotumia hawaamini wanabaki kunishangaa tu. Ila napo inapotokea ugonjwa fulani naanza na hizi za madukani zinazofanya kazi fasta then naendelea na asilia zangu kama kawaida. Tena hata hivyo nimekunja kugundua magonjwa yanaibuka pale ninapozembea kuwapa kinga za asili au ninapokuwa nimesafiri kwa muda mrefu waliopo wakazembea kuwapa. Lakini ukiifanya kama sehemu ya diet mbona magonjwa utayasikia kwa jirani tu.