Dada
Kaunga hapa kubishana ni kama unatwanga maji kwenye kinu hakuna haja ya kubishana na mtu ambae unajua hamtakuja kufikia muafaka....
Kwani wewe uliitwa ili uje humu kubishana?Au uliitwa ili ulete hoja za kisayansi ili watu wachambue zipi zina ukweli kati ya zile unazoleta wewe na zile ninazoleta mimi?
.....Vitu vingi anavyobishania bwana mkubwa ni speculations hana proofs kwahio mpaka hapo tu nimeona tutashindwana......
Uliomba proof nikakuwekea,hukuisoma,unasema ni speculations.Unaweza kuniambia proof ikoje ili nikuletee tena?
......si kweli kwamba dawa za HIV zinasababisha AIDs....
Bado mimi nitaendelea kukuheshimu kwa kuwa wewe ni daktari na una uelewa mkubwa kuhusu mambo ya madawa.Hivyo wakati unaongea na mimi inabidi ujue kwamba unaongea na mtu anayekukubali kwenye field yako.Lakini pale ambapo huna uelewa nako sina budi kukujulisha, kwa maana hakuna anayejua vyote.
Hivi hapo juu kwenye nyekundu umeandika wewe kweli?Sina uhakika ndio maana nakuuliza.Kwa elimu uliyonayo sikutarijia kama ungeandika hivyo.AIDS inatokea kama mtu ana mapungufu kwenye kinga yake,kuna vitu vingi vinavyoweza kuleta mapungufu kwenye kinga ya mtu,hapa ninazungumzia specifically ARVs.
Hebu tuchukue mfano wa ARVs mojawapo inayoitwa Tenofovir Disoproxil Fumarate(TDF) ambayo inatumika na wagonjwa wengi wa AIDS,najua hapa nimekufikisha nyumbani kwako.
Dawa hii kwenye warning zake inasema "It can cause
serious,
life-threatening side effects.These include
lactic acidosis and
severe liver problems."
Najua unajua kwamba kiwango salama cha acid/alkali kwenye damu(yaani pH) ni 7.365,maana yake damu inatakiwa iwe slightly alkaline ili kinga ya mwili iweze kufanya kazi yake vizuri.Chini ya kiwango hicho ni majanga matupu,utakuwa na magonjwa yasiyohesabika na yasiyoisha mpaka unakufa.Najua mpaka hapa huna cha kupinga,labda urekebishe kidogo sana.
Sasa kama acid itajijenga kwenye damu yako,maana yake pH ya damu yako ita drop na kuwa chini ya 7.365.ARVs na specifically hii TDF ndivyo inavyofanya kwenye damu za wale wanaoitumia.TDF inaongeza kiwango cha acid kwenye damu.Acid ni sumu kwenye damu,acid inapokuwa nyingi INI haliwezi kufanya kazi yake inavyotakiwa na ndio maana kwenye dawa hizo severe liver problems imetajwa kama mojawapo ya effects.
Pia najua unajua ya kwamba kama damu ina acid nyingi,hewa ya oxygen inapungua sana hivyo seli za damu zinakosa oxygen ya kutosha kufanya kazi yake,najua unajua nini kinatokea kama seli za damu zitakosa oxygen.Hata wewe mwenye ukikosa oxygen unajua kitakutokea nini.Hapa najua huna hoja ya kupinga pia.
Sasa kutokana na ukweli huo,Je,ARVs hazisababishi mapungufu kwenye kinga?Na kutokana na effects hizo ndio maana magonjwa mengi sana huzaliwa kwa wale ambao wametumia ARVs muda mrefu.Baadhi ya magonjwa hayo ni kama vile;
-Cancer:Ukimpima mgonjwa yeyote wa cancer lazima utakuta damu yake ni acidic(yaani pH yake ni chini ya 7.365)
-Ini
-Figo
-Anaemia
-Heart disease
nk.
Fanya uchunguzi kwa wagonjwa wote waliolazwa mahospitalini,lazima utawakuta na moja/mawili/matatu.... kati ya magonjwa niliyotaja hapo juu.
Kuhusu cancer,usifikiri kama zile NGO za mambo ya HIV/AIDS zilivyoanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya cervical cancer kwa wanawake ilikuwa ni coincidence.Hiyo cancer inasababishwa na ARVs,fanya uchunguzi wewe mwenyewe kama una muda.
Hivyo basi,nataka nikwambie kwamba ARVs zinasababisha AIDS,hii sio speculation ndugu yangu,its real.Kama unataka evidence tena kuhusu hizo side effects niambie nitakupa.
...Ukimwi haupo afrika tu upo hata mabara ya ulaya...
Ndugu yangu inabidi uzungumze kama daktari,nani amesema kwamba ulaya hamna ukimwi.Inabidi uwe unatofautisha kati ya Ukimwi na VVU/Ukimwi.Na wewe pia huoni tofauti hapo?
....Ukimwi upo kila mahala lakini umaskini wetu waafrika wakifirka,kielimu na kiuchumi unasababisha tunapukutika kama -----.Tubadilishe mitazamo yetu kwanza.
Tofautisha kati ya ukimwi na VVU/Ukimwi.Hiki ndicho chanzo cha hawa jamaa kutudanganya.Wametumia ukweli uliokuwepo katika maisha yetu(yaani ukimwi) tangu karne nyingi zilizopita kusema uongo(yaani VVU/Ukimwi).Uongo wao wameujenga juu ya msingi wa ukweli.Hawa jamaa wana akili kubwa sana ya kudanganya watu.