Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Ni kweli umasikini wa watanzania unasababisha watu wanaugulia zaidi kuliko kawaida kwasababu mabara wengine watu wana ukimwi wanakula dawa na wazimaa..Na ukichunguza walio victims wengi ni wale wenye maisha duni.

Ndio maana Deception anasisitiza watu kutotumia ARV kwa kuwa misosi yenyewe shidaa,mtu kila siku anakula maarage plus mi ARV apo unatafuta nini kama sio kifo? Hao wanaotumia ARV wana uhakika na maisha mazuri, wanakula vizuri na wanapata maji safi na salama maisha yanaendelea, sasa sie maskini tunakazana na mi ARV.

Ni vizuri mtu anapokupa taarifa mpya basi uzipime kwa akili yako then muamuzi ni wewe either kufuata au lah, cha muhimu ni kupokea mawazo ya watu wengine na kujaribu kuyapima na kuyatafakari sio kupinga tu.
 
Last edited by a moderator:

Hilo ni chaguo la mtu binafsi warumi lakini si sawa kupotosha watu.Yeye anapotosha watu na ideology zisizoexist na refer anayosema kuwa ukimwi hauambukizwi na hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi come on?Hakuna ukweli wowote hapo!!
 
Last edited by a moderator:
Uwezekano upo kwa mwanaume,lakin Mwanamke hawezi kupona kwa sababu yeye ni mpokeaji,hivyo kuna uwezekano mdogo sana na iwe umefanya tendo kwa haraka na mara moja.ikitokea mara ya pili haiwezekani mtu kupona hapo.NAYO HII NI PROBABILITY SIO GUARANTEE KUWA UTA HAVE SEX NA INFECTED and PERSON NA USIPate,TUMIA mpira ambayo nayo bado kama mtu ni seriously affected bado unaweza kupata hata ukitumia mpira hasa kama not well and carefully used,issue ya msingi ni ku-abstain au kuoa/kuolewa baada ya kuchukua vipimo mara kadhaa na mwenzi wako
 
Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.

acha kukariri ukimwi hauambukizwi kwa michubuko tu. jiulize me mwenye ukimwi anamwambukizaje ke ukipata jibu ndo ivo hata kwa ke kwenda kwa me
 
Hilo ni chaguo la mtu binafsi warumi lakini si sawa kupotosha watu.Yeye anapotosha watu na ideology zisizoexist na refer anayosema kuwa ukimwi hauambukizwi na hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi come on?Hakuna ukweli wowote hapo!!

Ndio maana nasema sio kila unalolisikia apa basi ulifuate, ila unapima kulingana na uelewa wako, mi binafsi kuna sehemu kanifungua nilikuwa sijui kabisa, vitu vingine haviitaji degree kuelewa, mimi siwezi kumbishia Deception kwa kuwa sijui lolote kuhusu UKimwi, mwenzetu kafanya utafiti wake na baadhi ya video katuonyesha, tujaribu kupima na kuyaheshimu mawazo ya mtu, sijasema ukubaliane nae ila mtu kama hujui kitu ni bora ukasoma tu kuliko kubisha vitu ambavyo hatuvijui, Tupende kujifunza na kusoma vitu vipya, haimaanishi kumsikiliza mtu basi ndo ufanye kama anavyosema, uchaguzi ni wako. Ila inapendeza kusikiliza na kuuliza maswali yenye tija.

Binafsi najua ukimwi upo,kuna sehemu namuelewa sana huyu jamaa anavyopingana na uwepo wa ukimwi, sema tu watu tunashindwa kuelewa kutokana na mawazo mgando, hatutaki kufundishwa au kuelewa vitu vipya
 
warumi kuna watu wanasoma hapa na hawana uelewa kama wako.Wengine wanaamini kila wanaloambiwa na si sawa kupotosha watu na ukweli kama angelisema unayoyasema ww mm nisingebisha chochote my dia.Kama anasema hauambukizwi aseme unapatikanaje?Ni muhimu ukisema kitu ujue unasema nini na utaathiri vipi watu wanaokuzunguka!!na ndio maana mm sikuona umuhimu wa kujibizana nae coz najua anaspeculate tu.
 
Huyu jamaa ni binadamu kama mimi na wewe, lazima tukubali ana mapungufu yake kama binadamu, ila ana utashi na uelewa wa aina yake ambao mimi na wewe hatuna, kwa nini tusitumie huo utashi na uelewa wake na tukayaacha mambo yake ya kibinadamu, mi namuelewa sana anavyosema ukimwi haupo, ukikubali kufungua milango yako ya fahamu na kuwa na shauku ya kutaka kujua basi utaelewa, kuna sehemu naona kabisa apa sio sawa naacha nachukua yale ninayoyaona yananifaa,ila jamaa nampa salute sana, kuna vitu anataka kupandikiza kwenye mioyo ya watu waliokata tamaa baada ya kuathirika, ukibeba viatu vya jamaa huwezi kuogopa ukimwi japokuwa tunajua upo na unaua, ila kuna vitu flani ivi utakuwa umejifunza apa. Kuna vitu vya muhimu vya kujifunza apa.
 
HAIBADILISHI FACT ANAPOTOSHA WATU!!!!NO EXCUSES FOR THAT.Kuwapa mwanga waathirika wa ukimwi ni sawa lakini asipotoshe watu na kusema hauambukizwi kwa ngono watu wabinjuke wamalizane zaidi tu si ndio hasa ambao hawajaathirika.Unadhani hilo litasaidia jamii inayotuzunguka???No wonder watanzania wanakufa sana kwa ukimwi!!
 
Hilo ni chaguo la mtu binafsi warumi lakini si sawa kupotosha watu.Yeye anapotosha watu na ideology zisizoexist na refer anayosema kuwa ukimwi hauambukizwi na hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi come on?Hakuna ukweli wowote hapo!!

Kuna mtu ametoa ushahidi wa rafikiake alianza kunywa arv baada yakusikia watu wakikanusha uwepo wa ukimwi nakushauli kupimwa ugonjwa husika
Akamshauli rafikie na kwenda kupima upya na kuanza batibabu akapona kabisaaa je huyo nae anapotosha?
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri dawa zote zilizo Tanzania ni dawa zilizopitia minadhili yote yakifamasia kuwa dawa zinazofanya kazi 100%??zina active ingredient sahihi,katika kiwango sahihi,contents nyingine zipo sahihi na zipo approved na GMP?Umeshawahi kusikia kuhusu GLOBAL PHARMACY?
NB:Si dawa zote zinazopatikana ulaya zipo afrika mkuu!!

Kwa maana nyingine hapa Dokta unaelekea kukubaliana na hoja kwamba baadhi ya dawa zetu ni feki, na zinaletwa kwa sababu za kiuchumi zaidi kuliko kututibu
 
Dada Kaunga hapa kubishana ni kama unatwanga maji kwenye kinu hakuna haja ya kubishana na mtu ambae unajua hamtakuja kufikia muafaka....

Kwani wewe uliitwa ili uje humu kubishana?Au uliitwa ili ulete hoja za kisayansi ili watu wachambue zipi zina ukweli kati ya zile unazoleta wewe na zile ninazoleta mimi?

.....Vitu vingi anavyobishania bwana mkubwa ni speculations hana proofs kwahio mpaka hapo tu nimeona tutashindwana......

Uliomba proof nikakuwekea,hukuisoma,unasema ni speculations.Unaweza kuniambia proof ikoje ili nikuletee tena?

......si kweli kwamba dawa za HIV zinasababisha AIDs....

Bado mimi nitaendelea kukuheshimu kwa kuwa wewe ni daktari na una uelewa mkubwa kuhusu mambo ya madawa.Hivyo wakati unaongea na mimi inabidi ujue kwamba unaongea na mtu anayekukubali kwenye field yako.Lakini pale ambapo huna uelewa nako sina budi kukujulisha, kwa maana hakuna anayejua vyote.

Hivi hapo juu kwenye nyekundu umeandika wewe kweli?Sina uhakika ndio maana nakuuliza.Kwa elimu uliyonayo sikutarijia kama ungeandika hivyo.AIDS inatokea kama mtu ana mapungufu kwenye kinga yake,kuna vitu vingi vinavyoweza kuleta mapungufu kwenye kinga ya mtu,hapa ninazungumzia specifically ARVs.

Hebu tuchukue mfano wa ARVs mojawapo inayoitwa Tenofovir Disoproxil Fumarate(TDF) ambayo inatumika na wagonjwa wengi wa AIDS,najua hapa nimekufikisha nyumbani kwako.
Dawa hii kwenye warning zake inasema "It can cause serious,life-threatening side effects.These include lactic acidosis and severe liver problems."
Najua unajua kwamba kiwango salama cha acid/alkali kwenye damu(yaani pH) ni 7.365,maana yake damu inatakiwa iwe slightly alkaline ili kinga ya mwili iweze kufanya kazi yake vizuri.Chini ya kiwango hicho ni majanga matupu,utakuwa na magonjwa yasiyohesabika na yasiyoisha mpaka unakufa.Najua mpaka hapa huna cha kupinga,labda urekebishe kidogo sana.
Sasa kama acid itajijenga kwenye damu yako,maana yake pH ya damu yako ita drop na kuwa chini ya 7.365.ARVs na specifically hii TDF ndivyo inavyofanya kwenye damu za wale wanaoitumia.TDF inaongeza kiwango cha acid kwenye damu.Acid ni sumu kwenye damu,acid inapokuwa nyingi INI haliwezi kufanya kazi yake inavyotakiwa na ndio maana kwenye dawa hizo severe liver problems imetajwa kama mojawapo ya effects.
Pia najua unajua ya kwamba kama damu ina acid nyingi,hewa ya oxygen inapungua sana hivyo seli za damu zinakosa oxygen ya kutosha kufanya kazi yake,najua unajua nini kinatokea kama seli za damu zitakosa oxygen.Hata wewe mwenye ukikosa oxygen unajua kitakutokea nini.Hapa najua huna hoja ya kupinga pia.

Sasa kutokana na ukweli huo,Je,ARVs hazisababishi mapungufu kwenye kinga?Na kutokana na effects hizo ndio maana magonjwa mengi sana huzaliwa kwa wale ambao wametumia ARVs muda mrefu.Baadhi ya magonjwa hayo ni kama vile;
-Cancer:Ukimpima mgonjwa yeyote wa cancer lazima utakuta damu yake ni acidic(yaani pH yake ni chini ya 7.365)
-Ini
-Figo
-Anaemia
-Heart disease
nk.

Fanya uchunguzi kwa wagonjwa wote waliolazwa mahospitalini,lazima utawakuta na moja/mawili/matatu.... kati ya magonjwa niliyotaja hapo juu.
Kuhusu cancer,usifikiri kama zile NGO za mambo ya HIV/AIDS zilivyoanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya cervical cancer kwa wanawake ilikuwa ni coincidence.Hiyo cancer inasababishwa na ARVs,fanya uchunguzi wewe mwenyewe kama una muda.
Hivyo basi,nataka nikwambie kwamba ARVs zinasababisha AIDS,hii sio speculation ndugu yangu,its real.Kama unataka evidence tena kuhusu hizo side effects niambie nitakupa.

...Ukimwi haupo afrika tu upo hata mabara ya ulaya...

Ndugu yangu inabidi uzungumze kama daktari,nani amesema kwamba ulaya hamna ukimwi.Inabidi uwe unatofautisha kati ya Ukimwi na VVU/Ukimwi.Na wewe pia huoni tofauti hapo?

....Ukimwi upo kila mahala lakini umaskini wetu waafrika wakifirka,kielimu na kiuchumi unasababisha tunapukutika kama -----.Tubadilishe mitazamo yetu kwanza.

Tofautisha kati ya ukimwi na VVU/Ukimwi.Hiki ndicho chanzo cha hawa jamaa kutudanganya.Wametumia ukweli uliokuwepo katika maisha yetu(yaani ukimwi) tangu karne nyingi zilizopita kusema uongo(yaani VVU/Ukimwi).Uongo wao wameujenga juu ya msingi wa ukweli.Hawa jamaa wana akili kubwa sana ya kudanganya watu.
 
Ur funny no wonder hakuna daktari atakayebishana na ww.Tell me whats a virus na kwanini hakuna tiba ya kuua virusi?? na kuna sehemu umesema virus hana host nakukosoa virus anae host na inaweza kuwa different living organisms thats a host.Na kwanini unafikiri kuna CCR5 gene mutation?how does a virus reproduce Mr Deception?

Umeuliza hovyo maswali yako,uliza tena kwa usahihi.Sidhani kama utakuwa umeng'amua nina maana gani.
 
Mkuu nina swali hapo kwenye vipimo vya HIV kuwa ni feki naomba unifafanulie je walitumia vipimo hivyo mpaka sasa wafanyaje warudie tena kupima na kipimo sahihi? Na kipimo hicho sahihi ni kipi?

Ha ha haaa.Hakuna kipimo sahihi kwa kuwa hicho wanachokipima hakipo kiuhalisia.Huwezi kupima kitu hewa.Samahani kama utashindwa kunielewa.Ukinifuatilia,utaelewa tu.
 
Hata paracetamol ukinywa na pombe inasababisha liver toxicity na watu wanafanya hivo all the time.Ukitumia dawa kuna sideffects always ambazo zinavumilika na ambazo zinazoweza kuwa weighed faida zake against benefits.Wewe ndio unadanganya watu.Kwani dawa zote zinakuwa metabolized kwa njia gani?
 
Inaonekana huna utaalamu wowote kuhusu haya mambo, naona umeamua kubisha bila point za msingi, maana naona anakuelezea kwa undani ila wewe unajibu kimzaha mzaha bila mashiko yeyote
NIMEMUULIZA MASWALI YA MSINGI SANA ANAYAKIMBIA.NA WW ULIVYO NA UPEO MDOGO WA FIKRA UNAMTETEA LOL :becky:Uwe na usiku mwema 🙂
 
Kuna mtu ametoa ushahidi wa rafikiake alianza kunywa arv baada yakusikia watu wakikanusha uwepo wa ukimwi nakushauli kupimwa ugonjwa husika
Akamshauli rafikie na kwenda kupima upya na kuanza batibabu akapona kabisaaa je huyo nae anapotosha?
Kuna false positive results ukipima ukimwi kwahio kuna possibilty uambiwe unao wakati huna na kuna uwezekano jamaa alikuwa hana.Kama nilivyosema awali hakuna dawa ya kuponya magonjwa ya virusi kwasababu hasa RNA-virusi ni wajanja sana wanabadilisha genetic make up zao na ni njia ya kuimaliza immune system.
 
Back
Top Bottom