Je wanakula dawa kwa usahihi ndio swali?na kuna mtu hapo nimemuuliza kuhusu dawa zilizopo afrika na quality zake ww unadhani zina quality zinazopaswa kuwa nazo??Kitu kingine nikukumbushe dawa ya ukimwi haiponeshi hakuna dawa ya kuponya ugonjwa wowote wa virusi,dhumuni ya dawa za ukimwi ni kusaidia ugonjwa usiworsen ili wahusika waishi maisha marefu na bora.
-ARVs sio dawa ya ukimwi.Sijui kama umeng'amua nina maana gani.
-ARVs hazina faida mwilini zaidi ya hasara kwa kuwa hazina target.Target ya ARVs ni hewa,haipo,hakuna.Hakuna kirusi mwenye uwezo wa kushusha kinga.
Nitarudia hii mpaka mwisho wa maisha yangu kwa kuwa nina uhakika na ninachokisema.Ninyi madaktari mmepotoshwa kwenye suala hili,ninawasihi sana msidharau haya ninayosema,yafuatilieni,mnaua watu bila ninyi wenyewe kujua.
Najua hamkusudii kuua watu kwa ARVs,bali mmedanganywa.Pamoja na kuniona mimi sifai hapa jukwaani,lakini mkitoka humu tafuteni muda wenu kufuatilia ukweli huu.Hautapungukiwa kitu kama utafuatilia.
Mnaua watu wasio na hatia kwa kuwapa dawa zenye sumu ambazo hazitibu chochote.Mnafanya hivyo kwa kuambiwa tu na wakubwa zenu lakini hamjafanya utafiti.Kwa nini mnakuwa wagumu kuangalia na upande wa pili?
Hivi mnadhani Prof.Peter Duesberg ni chizi,mnadhani Prof.Kary Mullis ni Chizi?Mnadhani Mh aliyekuwa rais wa SA Thabo Mbeki ni chizi?Hawa ni watu wenye heshima zao,wanajua wanachokisema mbele ya jamii.Hivi mnafikiri kwa nini hawa watu hawafunguliwi mashtaka ya kupotosha jamii?Mmeshajiuliza swali hilo ninyi?
Hivi kwa nini hampendi kabisa kujiuliza?Mmepewa nini siku mliyokula kiapo cha udaktari mpaka muwe hivyo mlivyo?Msinifanye niwaweke kundi moja na wauaji waliotudanganya.
Kwa nini mna roho za kupinga tu pasipo kudadisi.Hivi hamuoni mikanganyiko inayotokea mtaani kila kukicha ambayo hamuwezi kuielezea kwa theory zenu batili?Kwa nini mnaegemea upande mmoja tu?Badilikeni ndugu zangu,msiwe wagumu kiasi hicho.