Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

UKIMWI ni janga la Taifa, na unatisha sana, na ndio maana huu uzi unafuatiliwa na watu wengi zaidi kwa kuwa wengi wetu tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kwa ajili ya Ukimwi, na wengine bado wanaendelea kuteseka na ukimwi, ni vizuri watu wakapata mwanga mbadala kuhusu janga hili. Achaneni na fikra potofu eti mtu ukichangia uzi wa UKIMWI basi na wewe utaonekana na Ukimwi, wewe umejihakikishia kuwa huna ukimwi? Hata kama huna, una uhakika gani kuwa hutaupata? Tunakosa elimu kwa ajili ya mitazamo hafifu

Watu wanatamani kujua mengi kuhusu UKIMWI na ARV ila wanaogopa kunyoshewa vidole humu
 
Mimi nilikuwa sijui kuwa wagonjwa wa UKIMWI uwa wanameza vidonge kila siku, nilikuwa sijui kuwa waathirika wanatumia madawa hayo kwa maisha yao yote, ila nimeuliza kwa Deception na kaniambia na sasa ivi ninajua, kwa hiyo kwa kuwa nimeuliza kuhusu ARV basi warumi ana ukimwi? Mtajijua wenyewe mimi uwaga siogopagi watu when it comes kwenye issue za muhimu kama izi, acheni upumbavu fungukeni humu watu wajue..
 
Last edited by a moderator:
Kuna swali moja liliulizwa hivi:

Kuna mtu ametoa ushahidi wa rafikiake alianza kunywa arv baada yakusikia watu wakikanusha uwepo wa ukimwi nakushauli kupimwa ugonjwa husika
Akamshauli rafikie na kwenda kupima upya na kuanza batibabu akapona kabisaaa je huyo nae anapotosha?

Huyo mtu mwenyewe aliyetoa ushahidi huo ni huyu hapa chini:


Jibu la doctor lilikuwa hivi:


Tuchambue jibu alilotoa doctor sasa:

1."ukipima ukimwi"
-Huwa hawapimi ukimwi bali wanapima VVU/HIV.Na ndio maana napishana na doctor maeneo kama haya,yeye hajangundua bado.

2."kuna possibilty uambiwe unao wakati huna"
-Nadhani wenyewe mnathibitisha kwamba vipimo hivi ni feki.Hili nilishalizungumzia mwanzoni kabisa.Hata yeye mwenyewe anakubali hilo.Sasa uamuzi ni wenu wenyewe.

3."kuna uwezekano jamaa alikuwa hana"
-Kwa sababu amesema "kuna uwezekano", sasa na mimi nasema tuchukulie kuna uwezekano jamaa kweli alikuwa ana HIV.
Doctor inatakiwa ajibu swali hili huku akichukulia upande wa pili kwamba jamaa kweli alikuwa na HIV,maana amechukulia uwezekano wa upande mmoja tu,sasa inabidi achukulie na upande huu wa pili.Tunamsubiri.
 
tunawashukuru mods kwa kuturudishia uzi wetu, ngoja niendelee nilikoishia kusoma

jisomee mwenzangu, kama una swali uliza uwasaidie na wengine, maana watu wanaona aibu kuchangia na kuuliza maswali kwa kuogopa kuwa watahisiwa wana ukimwi, kuna baadhi ya watu wanakimbilia kwenye msg kuuliza maswali ila wengine wanasoma ila hawajajiunga humu, so mkiuliza maswali apa mtawasaidia na wengine uko, najua bwna Deception anapokea msg nyingi sana pm, ila kuna ambao hawana access na wanahitaji kujua apa na ndio maana huu uzi upo, watu wasiogope kuuliza maswali kuhusu ukimwi na arv.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu wakisikia neno UKIMWI wanabanwa na haja kubwa, wanaogopa inaweza wakawa wameathirika au wanajihisi wameathirika, njoo apa uliza maswali usaidiwe, ukikimbilia PM hautawasaidia wengine Deception naomba usitishe kwa muda huduma za PM, kama una maswali ya kawaida njoo uwanjani apa uulize ili mimi na yule tujue, jamii inahitaji kufahamu upande wa pili kuhusu Ukimwi na ARV, sio wote wenye access au kujua kutumia PM, mtu kajitolea kwa nini msiulize? Inaweza ikawa ndugu yako ana ukimwi, rafiki, jamaa au ata wewe, sio vibaya kuuliza, na kuuliza maswali haimaanishi kuwa umeathirika, ila ni Elimu tu ambayo kila mtu anatakiwa kuifahamu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna reply moja doctor alisema ARVs hazisababishi Ukimwi/AIDS.Mimi nikamwambia kwamba ARVs ndizo zinazosababisha Ukimwi kwa wale wanaozitumia baada ya muda fulani.Maelezo yangu kuthibitisha kwamba ARVs ndizo zinasababisha Ukimwi kwa wale wanaozitumia ni haya hapa chini:


Doctor alijibu hivi:


Tuchambue jibu la doctor:

1."Hata paracetamol ukinywa na pombe inasababisha liver toxicity"
-Hata mimi simpingi doctor kuhusu hili,lakini Je,jibu alilotoa linaendana na content ya maelezo niliyotoa mimi hapo juu?Hamuoni kwamba ilitakiwa apinge kwa hoja hayo niliyoeleza mimi badala ya kutoa mfano wa paracetamol?Je,ni kweli hajui kwamba mjadala wetu hapa ni ARVs na sio paracetamol?Je,watu hutumia paracetamol kila siku kama ilivyo kwa ARVs?Kweli yeye haoni kama kuna tofauti kati ya dawa hizi mbili?

2."Ukitumia dawa kuna sideffects always ambazo zinavumilika"
-Tuchukulie maneno haya "ambazo zinavumilika"
-Sasa twende kwenye hoja:
-Je,ugonjwa wa cancer unavumilika?
-Je,ugonjwa wa ini unavumilika?
-Je,ugonjwa wa figo unavumilika?
-Je,upungufu wa damu(anaemia) unavumilika?
-Je,ugonjwa wa moyo unavumilika?

Na ndio maana nilitaka jibu lake liegemee kwenye ARVs,na sio kutoa mfano wa dawa nyingine.Inatakiwa sasa ajibu kama kweli magonjwa hayo hapo juu ambayo husababishwa na matumizi ya ARVs yanavumilika.

3."Wewe ndio unadanganya watu"
-Sasa inabidi doctor aeleze kwa hoja ni wapi nimedanganya kwenye haya maelezo yangu ili ninyi wana JF muweze kumwamini na kujenga imani naye.
 
ahaaa...acha siasa kwenye medical unapotosha jamii na siasa zako zisizo na evidences...ikumbukwe virus hasa wenye RNA wana stage 6 za ukuwaji wao na ant virus...ARV kama ziduvudane ina inhabitor only 3 stages of virus kati ya 6 ndio sababu znashindwa kutibu HIV buli zina sogeza mda kwaku zuia hzo atua 3 za ukuaji...pia ikumbukwe kuwa kumuua HIV virus inakuwa ngumu kwasababu ana reverse...RNA material yake kwenye DNA yako kulazmisha replication ya more virus ivyo ili kuzuia replication nilazma ufanye kuuwa T-lymphocytes kwanza ndo uweze kuuwa new generation ya virus....ukiacha CD4 kuna CD8 cytotoxic ambazo hufanya kuuwa target infrcted CD4 naku sababisha upungufu wa kinga kwakuwa cd4 cells ztakuwa zna kisha due to repture after virises replication and cytotoxic...sasa kwa style hii kwanini CD4( kinga zisishuke) je utashindwa sema HIV ina leta AIDS.....!!??????????? tukrudi kwenye Arvs nina evidence tosha kuwa zna ongeza maisha(CD4) nshawahi kumu hufumia patient with HIV infection nakumbuka alikuwa na CD4 < 200 ila baada yakuanza ARVs dose zka rise na akatoka kwenye deadline ya AIDS.....!! mfano mwingne waku jiulza kwanini watu wenye HIV + baada ya CD4 kuwa <200 wanapata opportunity disease such us CANdIDIASIS.....TB....PNEUMOCYTIS CARINII...TAXOPLASMA GONDII...!!??? kama syo wana upungufu wa kinga mwilini such us T helper cells(CD4)...!!???....nakumbuka pia umesha wahi sema amna m2 aliye ona virus uki maanisha ni CONSPIRATORY THEORY..? jambo hili syo kweli deily watu wanawaona virus by using ELECTONE MICROSCOPE..... na ndio maana wakapata structure za virus + morphological future....
 

Ahsante kwa hoja yenye mashiko, tunamsubiria Deception tusikie kutoka kwake, bora ata wewe unaeleweka vizuri na hoja zako.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa hoja yenye mashiko, tunamsubiria Deception tusikie kutoka kwake, bora ata wewe unaeleweka vizuri na hoja zako.




 
Last edited by a moderator:

Naomba uwe makini na utumiaji sahihi wa lugha ya kigeni, sina uhakika kama ni Typing error, vinginevyo nimekusoma, bora ata wewe umekuja na pingamizi lenye mashiko
 

Uu Uzi umenifunza mengi huko hayo ma ARV ndo yanayowamaliza wengi aisee imagine daily mtu anayameza bila kuwa na side effects nilikuaga nawaza ila Leo nimepata jibu ndo mana wengi wanaotumiaga haya madawa siku akiugua kidogo tu basi kwaheri na kuna mda huwa zinawakataa.
 
Last edited by a moderator:
what do you mean,inawezekana kipimo kilikuwa feki au doctor haku interpret majibu au kufanya vipimo vizuri.
Remember,kitu hakiwezi kutokuwepo at the same time kiwepo.ufafanuzi plz!
Kipimo sio feki ila health personal wanaweza kukosea kuinterpret majibu vizuri kutokana na lack of skills/training.Kipimo kinaweza kufail kutokana na sababu kama sensitivity ya kipimo cha haraka kuwa chini au kutoa mixed up results na kusababisha kuwa interpreted kimakosa.Ni kawaida kwenye tests tofauti hata ya mimba inaweza ikupe false positive results.Na ndio maana ukipima HIV unashauriwa upime at least mara 3 na katika muda tofauti.Hata maabara kama unafanya experiment lazima uifanye mara 3 au zaidi ili uproove hypothesis yako na majibu yawe na uwiano in ratio at least 2:1.
Ni muhimu ukipima HIV upime mara tatu kwa nyakati tofauti na daktari ainterpret majibu yako.
 

Ahsante nimekuelewa sana apo kwenye kupima mara tatu kwa nyakakati tofauti , maana wengine wakishapima mara moja wakiona wanao basi wanakimbilia ARV wengine kujiua kabisa, na ndio maana Deception anapingana na ARV kwa upande mwingine, unakuta mtu anapima akikutwa na ukimwi basi anakimbilia ARV mwisho wa siku zinamuua nwenyewe ,so ni vizur watu wakawa na ufahamu kuhusu ARV kwa upande wa pili...
 
Last edited by a moderator:
NOTE: KWA WA WATUMIAJI WA ARV.

Mnapopewa hayo madawa yanakuwa wrapped kwenye mifuko maalumu, hivyo mnashauriwa mzitunze hizo dawa kwenye mifuko /container kama mlivyopewa, maana wengine wakipewa tu ARV wanatoa kwenye mifuko yake maalumu wanaweka kwenye makaratasi au vitu wanavyovijua wao kwa kuogopa watu kuwagundua kuwa wanatumia ARV, mwisho wa siku izo dawa haziwi DAWA bali zinakuwa SUMU matokeo yake yanakuua wewe mwenyewe,wataalamu wana maana yao walivyohifadhi hizo dawa kwenye hyo mifuko, hivyo unatakiwa uhifadhi umo umo, kama watu wakiona utajibeba vinginevyo una haribu virutubisho vya hizo dawa na kugeuka sumu, so watumiaji mzitunze ivooo, ndo maisha yenu hayo, nyie jishaueni mjifanye masista duu mnayaficha kwenye maziwa wengine kwenye boxer sijui mnajidanganya wenyewe, ukimwi si wako? Maisha si yako? KWa nini uogope? Mara wengine wanaficha ARV matakon* eeh jamani kweli? Kama unao best unao tu, cha muhimu ni kuhifadhi sehemu maalumu kama utakavyoelezewa na wataalamu

Maana wengine wanatembea na ARV kutwa wamezificha kwenye matak* au nguo za ndani, sasa jaman kweli? Na wengine kuzifua nguo za ndani ni mtihani wa taifa, sasa izo dawa zitakuwa dawa kweli au mnataka tu na mengine? ARV ndo mpenzi wako wa maisha ivo umtunze kama mboni yako nshamaliza

Cc: Gorgousmimi Deception Econometrician
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa hoja yenye mashiko, tunamsubiria Deception tusikie kutoka kwake, bora ata wewe unaeleweka vizuri na hoja zako.

inaonekana sumu ya uyo mweshimiwa ime kuingia sana....siwez sema ni mwongo bali naweza sema namchkulia kama m2 asiye jua akibishacho!!!
 
Last edited by a moderator:
inaonekana sumu ya uyo mweshimiwa ime kuingia sana....siwez sema ni mwongo bali naweza sema namchkulia kama m2 asiye jua akibishacho!!!

Nayajua mengi kwa kuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu, kila mtu humifunza kwa yale atakayo, naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa, LAKINI UELEWA NI JUU YANGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…