warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
hahahaha umoja ni nguvuuuuuuuuuuuuuu
Umeona eeh? Tuwe wapole sasa wasije kuharibu tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha umoja ni nguvuuuuuuuuuuuuuu
psychologically nimegundua zaidi ya watu 9 wana ukimwi wamechangia hapa...dahh ili ni janga la kitaifa...alafu sihitaj maswali sijbu
Kuna mtu ametoa ushahidi wa rafikiake alianza kunywa arv baada yakusikia watu wakikanusha uwepo wa ukimwi nakushauli kupimwa ugonjwa husika
Akamshauli rafikie na kwenda kupima upya na kuanza batibabu akapona kabisaaa je huyo nae anapotosha?
Deception
Bravoo!
Mkuu upo vizur.
Cheki hii true story iliyotwist brain yangu.
Kuna jamaa yangu mwaka 2013 mwishoni aliambukizwa HIV(feki) kwa makusudi na mwanamke wake wakati huo akitumia ARV kisha kumwambia akapime ili aanze dozi maana keshakufa. Akaanza kuharisha, mara kakonda, vipele havikuchelewa, Akanifuata kwa ushauri sababu alipanic, moja kwa moja kupima kweli akakuta anao (HIV+feki) wakampa hapo hapo dozi. tuliporudi nikamuacha home apumzike nikaenda kijiweni na kuwakuta jamaa (huwa wanaenda kwa madiba na kurudi) wakibishana juu ya aids.
Walisema muhimu ni kupima magonjwa haya; pneumonia, malaria,TB.usijaribu kumeza ARV! na ukiwa na moja kati ya hayo yatibu kisha kula mlo kamili ndani ya mwezi kisha kapime tena.! Basi nikampelekea jamaa yangu huo ushauri na kwa shingo upande akaufuata akaenda kupima kesho yake akakutwa na pneumonia akapewa dawa zake baada ya wiki 2 akaanza kula chakula kamili, matunda mengi.
Huwezi kuamini baada ya mwezi na wiki 1 tukaenda palepale alipopima na kukutwa yupo HIV- yenyewe wale wapimaji walishangaa maana walijua kafuata dozi ingine. Hivi sasa ameoa na ana watoto wawili as always yupo negative. Hapo ndipo nikaanza kuhisi conspiracy flani hivi.
Nina swali moja;
Kuna suala nahitaji ufahamu kidogo..
Je ukitembea peku na mtumiaji wa arvs kuna side effects? Kama zipo nitajie.
Kuna false positive results ukipima ukimwi kwahio kuna possibilty uambiwe unao wakati huna na kuna uwezekano jamaa alikuwa hana.Kama nilivyosema awali hakuna dawa ya kuponya magonjwa ya virusi kwasababu hasa RNA-virusi ni wajanja sana wanabadilisha genetic make up zao na ni njia ya kuimaliza immune system.
tunawashukuru mods kwa kuturudishia uzi wetu, ngoja niendelee nilikoishia kusoma
Hebu tuchukue mfano wa ARVs mojawapo inayoitwa Tenofovir Disoproxil Fumarate(TDF) ambayo inatumika na wagonjwa wengi wa AIDS,najua hapa nimekufikisha nyumbani kwako.
Dawa hii kwenye warning zake inasema "It can cause serious,life-threatening side effects.These include lactic acidosis and severe liver problems."
Najua unajua kwamba kiwango salama cha acid/alkali kwenye damu(yaani pH) ni 7.365,maana yake damu inatakiwa iwe slightly alkaline ili kinga ya mwili iweze kufanya kazi yake vizuri.Chini ya kiwango hicho ni majanga matupu,utakuwa na magonjwa yasiyohesabika na yasiyoisha mpaka unakufa.Najua mpaka hapa huna cha kupinga,labda urekebishe kidogo sana.
Sasa kama acid itajijenga kwenye damu yako,maana yake pH ya damu yako ita drop na kuwa chini ya 7.365.ARVs na specifically hii TDF ndivyo inavyofanya kwenye damu za wale wanaoitumia.TDF inaongeza kiwango cha acid kwenye damu.Acid ni sumu kwenye damu,acid inapokuwa nyingi INI haliwezi kufanya kazi yake inavyotakiwa na ndio maana kwenye dawa hizo severe liver problems imetajwa kama mojawapo ya effects.
Pia najua unajua ya kwamba kama damu ina acid nyingi,hewa ya oxygen inapungua sana hivyo seli za damu zinakosa oxygen ya kutosha kufanya kazi yake,najua unajua nini kinatokea kama seli za damu zitakosa oxygen.Hata wewe mwenye ukikosa oxygen unajua kitakutokea nini.Hapa najua huna hoja ya kupinga pia.
Sasa kutokana na ukweli huo,Je,ARVs hazisababishi mapungufu kwenye kinga?Na kutokana na effects hizo ndio maana magonjwa mengi sana huzaliwa kwa wale ambao wametumia ARVs muda mrefu.Baadhi ya magonjwa hayo ni kama vile;
-Cancer:Ukimpima mgonjwa yeyote wa cancer lazima utakuta damu yake ni acidic(yaani pH yake ni chini ya 7.365)
-Ini
-Figo
-Anaemia
-Heart disease
nk.
Fanya uchunguzi kwa wagonjwa wote waliolazwa mahospitalini(wanaotumia ARVs),lazima utawakuta na moja/mawili/matatu.... kati ya magonjwa niliyotaja hapo juu.
Kuhusu cancer,usifikiri kama zile NGO za mambo ya HIV/AIDS zilivyoanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya cervical cancer kwa wanawake ilikuwa ni coincidence.Hiyo cancer inasababishwa na ARVs,fanya uchunguzi wewe mwenyewe kama una muda.
Hivyo basi,nataka nikwambie kwamba ARVs zinasababisha AIDS,hii sio speculation ndugu yangu,its real.Kama unataka evidence tena kuhusu hizo side effects niambie nitakupa.
Hata paracetamol ukinywa na pombe inasababisha liver toxicity na watu wanafanya hivo all the time.Ukitumia dawa kuna sideffects always ambazo zinavumilika na ambazo zinazoweza kuwa weighed faida zake against benefits.Wewe ndio unadanganya watu.Kwani dawa zote zinakuwa metabolized kwa njia gani?
ahaaa...acha siasa kwenye medical unapotosha jamii na siasa zako zisizo na evidences...ikumbukwe virus hasa wenye RNA wana stage 6 za ukuwaji wao na ant virus...ARV kama ziduvudane ina inhabitor only 3 stages of virus kati ya 6 ndio sababu znashindwa kutibu HIV buli zina sogeza mda kwaku zuia hzo atua 3 za ukuaji...pia ikumbukwe kuwa kumuua HIV virus inakuwa ngumu kwasababu ana reverse...RNA material yake kwenye DNA yako kulazmisha replication ya more virus ivyo ili kuzuia replication nilazma ufanye kuuwa T-lymphocytes kwanza ndo uweze kuuwa new generation ya virus....ukiacha CD4 kuna CD8 cytotoxic ambazo hufanya kuuwa target infrcted CD4 naku sababisha upungufu wa kinga kwakuwa cd4 cells ztakuwa zna kisha due to repture after virises replication and cytotoxic...sasa kwa style hii kwanini CD4( kinga zisishuke) je utashindwa sema HIV ina leta AIDS.....!!??????????? tukrudi kwenye Arvs nina evidence tosha kuwa zna ongeza maisha(CD4) nshawahi kumu hufumia patient with HIV infection nakumbuka alikuwa na CD4 < 200 ila baada yakuanza ARVs dose zka rise na akatoka kwenye deadline ya AIDS.....!! mfano mwingne waku jiulza kwanini watu wenye HIV + baada ya CD4 kuwa <200 wanapata opportunity disease such us CANdIDIASIS.....TB....PNEUMOCYTIS CARINII...TAXOPLASMA GONDII...!!??? kama syo wana upungufu wa kinga mwilini such us T helper cells(CD4)...!!???....nakumbuka pia umesha wahi sema amna m2 aliye ona virus uki maanisha ni CONSPIRATORY THEORY..? jambo hili syo kweli deily watu wanawaona virus by using ELECTONE MICROSCOPE..... na ndio maana wakapata structure za virus + morphological future....
Ahsante kwa hoja yenye mashiko, tunamsubiria Deception tusikie kutoka kwake, bora ata wewe unaeleweka vizuri na hoja zako.
hili nitukio liminitokea mm nimekuwa na mahusiano mwanamke tangu mwaka 2012 mpaka leo huyu mwanamke miaka 10 iliyopita alipata maradhi ya hiv badae aliugua sana tena akapata matezi shingoni miguuni vidonda baada ya muda mwaka 2011 alianzishia dozi ya arvs code 171 mpaka leo anatumia hizo dawa binafsi nimekuja kuyagundua haya mwezi watatu kwa kipindi chote alinificha siku mikakati ya ndoa nikaanza kufanya ss baada ya kupeleka barua ya posa nikawa najiuliza mbona mimba akipata zina haribika nikaset cm yake iwe inarekodi maongezi ndipo nikaja kusikia kwa mdomo wake yy na mama yake wakilizungumza mama yake alikuwa anamuuliza je mwanaume anajua hali yko mawanamke akamjibu hajui nilishiwa nguvu baadae nikaja kupekua pochi yake nikakutana na vidonge vya arv nikamilisha upelelezi wangu nikatafuta siku nzuri tukaa sehemu nikamuuliza kweli alikiri ni hiv + niliumia sana ila nilikuta namsamehe nikaenda kupima mm nikajikuta nipo salama yani sina huo ugonjwa nikaa baada ya wiki nikarudi tena hosp nikapima nipo salama na dokta aliniambia nisiwe na shaka baada ya kupata juzi jumatatu ilikuwa zamu yake kwenda kuchukua vidonge nilamwambia tuende wote tukaenda mpaka hind mandal hosp kweli nililipa ili kupimwa cd4 zake mana mara ya mwisho aliniambia alipima zilikuwa 567 na nilipa sh 3000 kumuona dokta na kweli wakati ukafika tukaingia kwa dokta baada ya pale tukaenda chumba cha dawa tukapatiwa vikopo viwili wallah hapo nikawa nimepata jibu sahihi kuwa mwenzangu ni mgonjwa sasa kuna vitu.najiuliza nilikuwa naishi naye kiwembe chake ndio kiwembe changu mm namtindo wa kungata kucha na vinyaama vya vidole na mie Namchezo wa kuchezea kule kwa vidole mpaka ss sijaelewa nm mimetokeà na bado Ninaye huyo mwanamke sasa kutokana na elimu ya ndugu yetu Nitapenda nimshauri huyu mwanamke wangu akapime tena isije naye akawa analishwa madawa bila sababu
ahaaa...acha siasa kwenye medical unapotosha jamii na siasa zako zisizo na evidences...ikumbukwe virus hasa wenye RNA wana stage 6 za ukuwaji wao na ant virus...ARV kama ziduvudane ina inhabitor only 3 stages of virus kati ya 6 ndio sababu znashindwa kutibu HIV buli zina sogeza mda kwaku zuia hzo atua 3 za ukuaji...pia ikumbukwe kuwa kumuua HIV virus inakuwa ngumu kwasababu ana reverse...RNA material yake kwenye DNA yako kulazmisha replication ya more virus ivyo ili kuzuia replication nilazma ufanye kuuwa T-lymphocytes kwanza ndo uweze kuuwa new generation ya virus....ukiacha CD4 kuna CD8 cytotoxic ambazo hufanya kuuwa target infrcted CD4 naku sababisha upungufu wa kinga kwakuwa cd4 cells ztakuwa zna kisha due to repture after virises replication and cytotoxic...sasa kwa style hii kwanini CD4( kinga zisishuke) je utashindwa sema HIV ina leta AIDS.....!!??????????? tukrudi kwenye Arvs nina evidence tosha kuwa zna ongeza maisha(CD4) nshawahi kumu hufumia patient with HIV infection nakumbuka alikuwa na CD4 < 200 ila baada yakuanza ARVs dose zka rise na akatoka kwenye deadline ya AIDS.....!! mfano mwingne waku jiulza kwanini watu wenye HIV + baada ya CD4 kuwa <200 wanapata opportunity disease such us CANdIDIASIS.....TB....PNEUMOCYTIS CARINII...TAXOPLASMA GONDII...!!??? kama syo wana upungufu wa kinga mwilini such us T helper cells(CD4)...!!???....nakumbuka pia umesha wahi sema amna m2 aliye ona virus uki maanisha ni CONSPIRATORY THEORY..? jambo hili syo kweli deily watu wanawaona virus by using ELECTONE MICROSCOPE..... na ndio maana wakapata structure za virus + morphological future....
Mimi nilikuwa sijui kuwa wagonjwa wa UKIMWI uwa wanameza vidonge kila siku, nilikuwa sijui kuwa waathirika wanatumia madawa hayo kwa maisha yao yote, ila nimeuliza kwa Deception na kaniambia na sasa ivi ninajua, kwa hiyo kwa kuwa nimeuliza kuhusu ARV basi warumi ana ukimwi? Mtajijua wenyewe mimi uwaga siogopagi watu when it comes kwenye issue za muhimu kama izi, acheni upumbavu fungukeni humu watu wajue..
Kipimo sio feki ila health personal wanaweza kukosea kuinterpret majibu vizuri kutokana na lack of skills/training.Kipimo kinaweza kufail kutokana na sababu kama sensitivity ya kipimo cha haraka kuwa chini au kutoa mixed up results na kusababisha kuwa interpreted kimakosa.Ni kawaida kwenye tests tofauti hata ya mimba inaweza ikupe false positive results.Na ndio maana ukipima HIV unashauriwa upime at least mara 3 na katika muda tofauti.Hata maabara kama unafanya experiment lazima uifanye mara 3 au zaidi ili uproove hypothesis yako na majibu yawe na uwiano in ratio at least 2:1.what do you mean,inawezekana kipimo kilikuwa feki au doctor haku interpret majibu au kufanya vipimo vizuri.
Remember,kitu hakiwezi kutokuwepo at the same time kiwepo.ufafanuzi plz!
Kipimo sio feki ila health personal wanaweza kukosea kuinterpret majibu vizuri kutokana na lack of skills/training.Kipimo kinaweza kufail kutokana na sababu kama sensitivity ya kipimo cha haraka kuwa chini au kutoa mixed up results na kusababisha kuwa interpreted kimakosa.Ni kawaida kwenye tests tofauti hata ya mimba inaweza ikupe false positive results.Na ndio maana ukipima HIV unashauriwa upime at least mara 3 na katika muda tofauti.Hata maabara kama unafanya experiment lazima uifanye mara 3 au zaidi ili uproove hypothesis yako na majibu yawe na uwiano in ratio at least 2:1.
Ni muhimu ukipima HIV upime mara tatu kwa nyakati tofauti na daktari ainterpret majibu yako.
Ahsante kwa hoja yenye mashiko, tunamsubiria Deception tusikie kutoka kwake, bora ata wewe unaeleweka vizuri na hoja zako.
inaonekana sumu ya uyo mweshimiwa ime kuingia sana....siwez sema ni mwongo bali naweza sema namchkulia kama m2 asiye jua akibishacho!!!