Ndio wanachosema hivo hakuna kirusi anayeitwa ukimwi sasa sijui hakuna virusi kabisa maana wapo wengi teh......Kuna kichocho naona :becky:
Yes,HIV KaungaNaamini ukimaanisha HIV na sio ukimwi
sifanyi editing yoyote muhimu umeelewa nasema nini!!!dr hapo kwenye nyekundu umeandika wewe?au ni typing error?fanya editing basi ili watu wasije kuwa na mashaka na wewe kwenye ufahamu wako kuhusu suala hili.inabidi ufanye haraka kidogo.
Tatizo mmeshaamua kubase kwenye upande mmoja Deception na blah blah zake ndo kafuzu maana anajua kuwapa illusions za ubongo!You might be right kabisa, ila tatizo lipo kwenu, nyie ndio mnatakiwa mtuelimishe sisi vizur, unadhani kwa nini watu wote humu wengi wanamwamin deception? Nyie hamna hoja kabisa mpo watupu kabisa, hilo ndio tatizo, yani mpo kiushabiki zaidi kuliko kutaka kututoa huu ukungu kwa vielelezo vya kuaminika
Your argument are so cheap doctor, is that all what you can ask? Kwa nini usituthibitishie wewe daktari uliyesoma kuhusu unayoyapinga? Kwa nn na wewe usituletee vithibitisho vyako vya kumpinga Deception? Vinginevyo apa sioni hoja yeyote, mara mia deception katupa ushahid kutoka kwa wataalamu wenyewe waliogundua ukimwi, je nyie madaktari mna hoja gani ya kisayansi ya kumpinga?
Yah mimi sijielewi na wanasayansi wote wanaopigana kuhusiana na vita ya ukimwi hawajielewi,wanaoresearch kutengeneza dawa ya kuua virusi hawajielewi....mnajielewa nyie wakina warumi au unaonaje??Halafu ka ulikuwa ukinisubiria ha ha ha nimekuja tu nawe umezuka looool mabwaku
Yeye ndo anayepinga kama ukimwi haupo ndo ajitoe tuthibitishe mimi NASEMA UKIMWI UPO NA UNAUA NA UKIAMINI HAUPO NA UNAKUNYWA JUISI YA MAEMBE NAKUSHESABIA SIKU ZA KUISHI!!
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??
Sasa kama hakuna VVU,,kutakuwa na ukimwi(AIDS) ndo hakuna na ndivo ulivyosema.mmh! hapa kuna walakini,pamoja na kukuelekeza kote kule lakini unarudia jambo lilelile,kwa nini Dr.?Narudia tena,mimi sikusema hakuna ukimwi bali nilisema hakuna ukimwi unaosababishwa na VVU/HIV,ukimwi na VVU/Ukimwi ni mambo mawili tofauti Dr.Au wewe huoni tofauti hapo?
Tatizo mmeshaamua kubase kwenye upande mmoja Deception na blah blah zake ndo kafuzu maana anajua kuwapa illusions za ubongo!
Unaonaje ujitoe mhanga mr Deception ka alivyosuggest retroviridae tupate vithibitisho kuhusu maneno yako?
You might be right kabisa, ila tatizo lipo kwenu, nyie ndio mnatakiwa mtuelimishe sisi vizur, unadhani kwa nini watu wote humu wengi wanamwamin deception? Nyie hamna hoja kabisa mpo watupu kabisa, hilo ndio tatizo, yani mpo kiushabiki zaidi kuliko kutaka kututoa huu ukungu kwa vielelezo vya kuaminika
NIMEWEKA LINK YA ARTICLE JUU kuhusu swali la mleta uzi uliisoma?Yote unayoyajua wewe kuhusu ukimwi tunayajua sana,na tumeshasikia vifo vingi sana vya ukimwi,tunataka hoja zenye mashiko, tunataka point zako na wewe, je ulifanya research au kusoma kuhusu UKIMWI na ARV ili utueleweshe vizur? njoo na ushahid kutoka kwa wanasayansi,ata ku google unashindwa? Kweli dokta? Unashindwa kuja na hoja zako za msingi na kuambatanisha na maelezo kutoka google or something? Maneno yako ni matupu sana, yapo uchi, yani kila mtu anayajua apa, unadhani sisi hatujui kuwa ukimwi upo? ,jengea hoja zenye mashiko uje apa
Nilete ushahidi mara ngapi wewe acha kujitoa faham!!Vithibitisho viletewe mara ngapi?Huyo deception kaleta vithibitisho gani vya kisayansi hapa zaidi ya speculatons?
Mimi naomba ampinge Dr Peter au Robert Willner
Dr. Peter anasema HIV yupo ila hasababishi Ukimwi afuatilie machapisho yake halafu ampinge.
Dr. Robert aliyesema hakuna HIV na akajidunga damu ya the so called HIV+ ambao ni AIDS patients.
Aachane na deception adeal na real scientists ambao wanaopinga hii kitu.
Pia ampinge Dr Luc founder wa HIV anayesema kutest HIV+ sio lazima uumwe ukimwi. Na kwamba body immunity ikiwa nzuri baadaye waweza kukutwa negative na kwamba with good nutrition na antioxidant virusi wanapotea.
Naamini ukimaanisha HIV na sio ukimwi
Sasa kama hakuna VVU,,kutakuwa na ukimwi(AIDS) ndo hakuna na ndivo ulivyosema.
Mimi naomba ampinge Dr Peter au Robert Willner
Dr. Peter anasema HIV yupo ila hasababishi Ukimwi afuatilie machapisho yake halafu ampinge.
Dr. Robert aliyesema hakuna HIV na akajidunga damu ya the so called HIV+ ambao ni AIDS patients.
Aachane na deception adeal na real scientists ambao wanaopinga hii kitu.
Pia ampinge Dr Luc founder wa HIV anayesema kutest HIV+ sio lazima uumwe ukimwi. Na kwamba body immunity ikiwa nzuri baadaye waweza kukutwa negative na kwamba with good nutrition na antioxidant virusi wanapotea.