Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Halafu hawa ma dr wanatwist questions sasa hata ukimwi mnaita virus?? Go back to school na hapa debate si kuwa ukimwi hamna Gorgeous mimi ni kuwa HIV virus hasababishi ukimwi
 
Last edited by a moderator:

Na mimi naomba umpinge doctor Gorgousmimi anayesema ukimwi upo na arv hazina matatizo yeyote, naomba umpinge au ukubaliane nae kwa hoja, vinginevyo I'm out, i know how to google too
 
Last edited by a moderator:

Hujanipata kabisa.
Nilisema ningependa Dr gorgeousmimi awapinge hao gurus wa virology na fields zingine maana nimeona wameshindwa kuelewana na deception.
Sasa suala la kuona wengine hawajui kugoogle limekuwaje? Nina maswali tu yanayochanganya tu ndio ningependa kupata majibu au hata mitazamo ya learned felas maana I am just a laykaunga
 
Last edited by a moderator:
Na mimi naomba umpinge doctor Gorgousmimi anayesema ukimwi upo na arv hazina matatizo yeyote, naomba umpinge au ukubaliane nae kwa hoja, vinginevyo I'm out, i know how to google too
Kaunga walau anaonesha uelewa lakini ww ndo usha confirm kila kitu teh!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama hakuna VVU,,kutakuwa na ukimwi(AIDS) ndo hakuna na ndivo ulivyosema.

Kwa nn tunaambiwa tupime Ukimwi zaidi ya mara moja? Kwann vipimo vya HIV vinaweza kuonesha negative na baadae positive? Vipimo ivi vinaonesha uwepo wa kirusi(hiv) au kinaonesha upungufu wa kinga?(ukimwi).Naomba tuanzie hapa docta..!
 
Na mimi naomba umpinge doctor Gorgousmimi anayesema ukimwi upo na arv hazina matatizo yeyote, naomba umpinge au ukubaliane nae kwa hoja, vinginevyo I'm out, i know how to google too
Nahitaji facts zaidi ili niweze kuside. Nimechanganyikiwa.
Nina ndugu zangu waliofariki bila kutumia arv (zaidi ya 4 watoto wakiwemo)
Nina ndugu ambaye alikuwa vizuri hiv+ kwa miaka 12 akaanza kutumia arv hakuchukua miezi 4 akafariki
Nina ndugu mwingine alifiwa na mumewe na amekuwa kwenye arv kwa mwaka wa 4 sasa
Unaona dilemma yangu hiyo?
 
Last edited by a moderator:

HUyu ndie dokta niliyekuwa namhitaji sasa
 
Last edited by a moderator:
Kwa nn tunaambiwa tupime Ukimwi zaidi ya mara moja? Kwann vipimo vya HIV vinaweza kuonesha negative na baadae positive? Vipimo ivi vinaonesha uwepo wa kirusi(hiv) au kinaonesha upungufu wa kinga?(ukimwi).Naomba tuanzie hapa docta..!

Nilishajibu nyuma kasome acha uvivu Na retroviridae pia alishaongelea hayohayo.
 
Last edited by a moderator:

Umeandika vizuri, ila mimi sipingi uwepo wa ukimwi, binafsi najua upo na unaua, mimi nipo na ARV tu, uwe na ukimwi usiwe nao ila bado ntaendelea kusimama kwenye matumizi ya ARV, kuhusu kupinga ukimwi mimi sipo ndugu, mind you that, bado nahis ARV ni tatizo na sio UKimwi
 
Last edited by a moderator:
Halafu hawa ma dr wanatwist questions sasa hata ukimwi mnaita virus?? Go back to school na hapa debate si kuwa ukimwi hamna Gorgeous mimi ni kuwa HIV virus hasababishi ukimwi

Hebu kwenda huko kwani kuna mtu anayekaa na HIV-virus au tunasema ana ukimwi??Ukimwi unatoka kwenye nini then?
 
Last edited by a moderator:

Apa nakuelewa sasa, tuendelee
 
Ndio maana nasema isije wao ndio wakawa wamepumbazwa na mawazo mgando, maana wanayojua kuhusu ukimwi ata mimi na wewe tunayajua ,inshort hawana jipya,ngoja tumsikilize Deception maana yeye ana mapya zaidi
 
Last edited by a moderator:

Unaandika vizur, you caught my mind, I'm giving u a credit for that, ila nahis hawa madokta hawajui chochote bado, watakuwa wameakaririshwa kama mimi na wewe, yani wanavyojua wao kuhusu ukimwi ata mi na wewe tunayajua hayo hayo, Deception atleast ana mambo mapya, wacha tumsikilize
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba ampinge Dr Peter au Robert Willner
Dr. Peter anasema HIV yupo ila hasababishi Ukimwi afuatilie machapisho yake halafu ampinge...

Hawezi kufanya hivyo,hata hao waliogundua huyo HIV wanamkimbia Peter kwenye open debate.Kwakweli ni jambo la kushangaza sana hili katika historia ya sayansi,unakimbiaje kujadili hoja tofauti?

...Dr. Robert aliyesema hakuna HIV na akajidunga damu ya the so called HIV+ ambao ni AIDS patients.
Aachane na deception adeal na real scientists ambao wanaopinga hii kitu....

Wanazo hoja za kujibu huo mkanganyiko.CCR5?CXCR4? ahaa haaa....!

...Pia ampinge Dr Luc founder wa HIV anayesema kutest HIV+ sio lazima uumwe ukimwi. Na kwamba body immunity ikiwa nzuri baadaye waweza kukutwa negative na kwamba with good nutrition na antioxidant virusi wanapotea.

Hapa kwenye nyekundu wakijibu nitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…