Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Sasa kama unajua ukimwi upo na unaua unamsapoti vipi anayesema ukimwi haupo na hakuna HIV-virus?
 
Sasa kama unajua ukimwi upo na unaua unamsapoti vipi anayesema ukimwi haupo na hakuna HIV-virus?

Apo ndipo mnapomichanganya, mnajua mimi namsapot kila kitu deception,hilo tu ndio tatizo, mimi kuhusu ARV, nipo na deception kwa kweli, ila kwenye ukimwi bado naendelea kuona hoja zenu zipo vipi, yani bado sijashiba kuhusu ukimwi, na ndio maana nataka kuwasikia na nyie mna hoja gan mpya za kumpinga deception ila hamna, mwisho wa siku inabid niamini, maana kma madokta hamjui then kwa nn niendelee kuwaamin? Acha tu deception endeele kutudanganya kwa kwlli
 
Mimi nilishakujibu kuhusu ARV post za nyuma kama unakumbuka na nikakupa na mifano ya nchi nyingine na tukafikia muafaka actually in some way kwamba dawa za ukimwi na umaskini ni receipe for disaster lakini unavyoonekana yet umebase kwenye upande wa Deception halafu unashadadia watu wamsapoti Deception hakuna HIV/ukimwi!!Na nakumbuka pia niligusia kuhusu quality ya hizo dawa!!
 
Last edited by a moderator:
Warumi my dear, wengi wetu tunapenda sana Deception awe right hata hao madaktari nao wanapenda;...

Hapo kwenye nyekundu si kweli.

....Hata wafanyakazi wa tacaids nao wangefurahi kama huyu mdudu asingekuwepo...

Si kweli,halafu wakale wapi?

....Issue ni kwamba wengi wetu tumeona vifo na mateso mengi ya 'ukimwi' pasipo hata matumizi ya arv na pia tumeona wengi waliokuwa positive muda mfupi wakianza kunywa arv wanakufa. Sasa ndio hapo tunapochanganyikiwa....

Hapa kwenye nyekundu ndipo kwenye hoja zangu za msingi.Na jambo hili kama ungekuwa makini kufuatilia nimeshalijibu.Lakini hukuwa makini.
Niliwahi kuwaambia watu kwamba unaweza kuona kitu lakini usikielewe,na hii inatokana na uelewa wako kuhusu kitu hicho.Sasa basi,hao watu uliowaona wewe je,unajua sababu ya msingi iliyowaondoa hata kama hawakutumia ARVs?Sehemu kama hizi ndizo ngumu kwa watu kuzielewa kama watakuwa na bias.
Ukiona mtu amepata TB ujue alikuwa na upungufu wa kinga wakati anapata hiyo TB,kama huamini muulize Dr yeyote yule.Na si wagonjwa wote wenye TB wamepimwa HIV+,lakini kutokuwa HIV+ haimaanishi kwamba huwana upungufu wa kinga,umeelewa hapo.

Pia inabidi ufahamu kwamba dalili za TB zinafanana kabisa na zile dalili ambazo wewe umeambiwa ndio dalili za ukimwi,upo hapo?
-Kupungua uzito
-Kukonda sana
-Kukohoa mara kwa mara
-Homa za mara kwa mara
-Kukosa hamu ya kula
-Kuharisha au kutapika kutegemea na aina ya TB
-Kukosa nguvu

Je hata wewe huoni kwamba TB nayo ni ukimwi?Au ukimwi ni nini hasa?Unajichanganya wewe mwenyewe.Ukiwa na bias maeneo kama haya kamwe huwezi kuujua ukweli asilani abadan.
Sasa je,una uhakika gani kama kile ulichokiona sio TB au hakikusababishwa na sababu nyingine zinazofanana na TB?Acha bias kama kweli unataka kuelewa.

...3. Kungekuwa na scientific debate kati ya Wanasayansi wakubwa pro hiv na hiv denialists ingesaidia sana

We unachokoza watu sasa.Unafikiri hao wagunduzi wanapenda kujadili hoja tofauti na zao pamoja na kwamba hiyo wanayosema dawa ya HIV haijapatikana?Kwa kuwa dawa ya huyo HIV haijapatikana,wewe huoni kwamba ndio ungekuwa wakati muafaka kutoa nafasi kwa hoja tofauti kujaribu nafasi yao?Huoni kitu hapo?

Nikipata muda nitakuletea video yenye mambo mengi sana lakini pia utaona jinsi mgunduzi mmoja wa HIV anavyopinga kuulizwa maswali fulani fulani ambayo ni kinyume na theory rasmi.
 
Sio kweli.Antibiotic inamuua au kumdhoofisha bacteria na haihusiani na immune system.Kuna watu wana residriv urinary tract infection na wanatumia antibiotics for maintanance hawana matatizo na immune system.
 

Ningekuwa namshabikia deception peke yako wala nisingekuwa nakusikiliza na kuku quote, ila kwa kuwa napenda kusikiliza pande zote ndio maana uwa nakuhoji maswali ambayo mengi unayakwepa au kutoa majibu mepesi tofauti na deception anaingia ndani sana, ilo ndio tatizo, labda tu nyie hamjajua
 
Last edited by a moderator:
Yeye ndo anayepinga kama ukimwi haupo ndo ajitoe tuthibitishe mimi NASEMA UKIMWI UPO NA UNAUA NA UKIAMINI HAUPO NA UNAKUNYWA JUISI YA MAEMBE NAKUSHESABIA SIKU ZA KUISHI!!

Doctor try to understand Deception
Hajasema ukimwi haupo amethibitisha UKIMWI upo

Anachopinga yeye ni HIV kuwa inasabisha UKIMWI

Kwa akil ndogo tu;
UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini
Hivyo MTU akiwa na TB kinga inashuka means anakuwa na upungufu wa kinga ya mwili
MTU akiwa na cancer,pneumonia, typhoid au ugonjwa wowote na ukamsumbua kwauda mrefu lazima kinga ya mwili itashuka hivyo atakuwa na upungufu wa kinga mwilini lakin sio HIV+

Kwa elimu yangu ndogo ninaweza kasema MTU unaweza kuwa na UKIMWI pasipo kuwa na VVU

Ni mtazamo tuuuu..
 
Last edited by a moderator:

Pole baba kwa kujaribu kutuelewesha kadri uwezavyo, jinsi ulivyokuwa na uwezo mkubwa wa kutetea hoja zako pasipokujali changamoto zozote humu, na kwa kwa kujiamini, ndivyo ninavyozidi kukuongezea credit, angekuwa mwingine angekuwa kashakimbia, I salute you mkuu, Mungu akupe nguvu na kukulinda dhidi ya maadui, tunakuombea kwa kweli, maana umetufungua sana kwa namna moja au nyingine, apa ni hiyar ya mtu kwenda kulia au kushoto. Be blessed
 
:msela:nme vumilia ila mwisho nimejkuta uzalendo wanishinda...watu mnabomoa badala yaku jenga...juu ya swala lala HIV/Aids
 

Warumi na DR. bado mna miss point hapa.Wapi nimesemema ukimwi haupo?Mbona nilishamrekebisha Dr mara nyingi tu kuhusu hili,hivi hata kama suala hili dogo sana nashindwa kueleweka vipi kuhusu yale makubwa?Hebu angalia hapo chini Kaunga anasemaje.

You are better than this.
Deception hajasema ukimwi haupo. Amesema hiv ndio fake. Au pengine uelewa wako ni ukimwi = hiv na kwamba nje ya hiv hakuna ukimwi; tuweke sawa

Mmeelewa sasa?
 
Sasa HIV ni fake AIDs ni nini then?Unajua maneno yenu yanawafunga kamba wenyewe!

Yaani hata wewe huoni kwamba wewe ndio unajifunga?Sasa nimekuelewa,kwamba wewe unavyojua bila HIV basi hamna AIDS.Nimefurahi sana kulijua hilo.

Swali:
Kama kuna mgonjwa wa TB ambaye hajaanza dawa na anaweza kuambukiza wengine,na mgonjwa huyu akaishi karibu na watu wengine kwa muda fulani,kuna watu watapata TB lakini wengine hawatapata.

Kwanini wengine wasipate ilihali wote walikuwa wana interact pamoja na mgonjwa wa TB?
 

Sasa kama HIV haisababishi ukimwi.HIV ni nini then?
 
Last edited by a moderator:

Ok,sasa naomba unielezee hao ndugu zako waliofariki bila kutumia ARVs,je,walikuwa na dalili gani?Zitaje zote,usiache kitu.
 
CONSEQUENCES OF AIDS DENIALISM

In 2000, Duesberg was the most prominent AIDS denialist to sit on a 44-member Presidential Advisory Panel on HIV and AIDS convened by then-President Thabo Mbeki of South Africa.[37] The panel was scheduled to meet concurrently with the 2000 International AIDS Conference in Durban and to convey the impression that Mbeki's doubts about HIV/AIDS science were valid and actively discussed in the scientific community.[13] The views of the denialists on the panel, aired during the AIDS conference, received renewed attention.[38] Mbeki later suffered substantial political fallout for his support for AIDS denialism[39][40] and for opposing the treatment of pregnant HIV-positive South African women with antiretroviral medication.[41] Mbeki partly attenuated his ties with denialists in 2002, asking them to stop associating their names with his.[42]

In response to the inclusion of AIDS denialists on Mbeki's panel, the Durban Declaration was drafted and signed by over 5,000 scientists and physicians, describing the evidence that HIV causes AIDS as "clear-cut, exhaustive and unambiguous".[43]

Two independent studies have concluded that the public health policies of Thabo Mbeki's government, shaped in part by Duesberg's writings and advice, were responsible for over 330,000 excess AIDS deaths and many preventable infections, including those of infants.[12][13]

A 2008 Discover Magazine feature on Duesberg addresses Duesberg's role in anti-HIV drug-preventable deaths in South Africa. Jeanne Linzer interviews prominent HIV/AIDS expert Max Essex, who suggests that,

""...history will judge Duesberg as either "a nut who is just a tease to the scientific community" or an "enabler to mass murder" for the deaths of many AIDS patients in Africa.""
 

ulifikia muafaka na nani?


"In some way" he heee:Vipi kuhusu matajiri wanaokufa wakitumia hizo ARVs,unasemaje hapo?HIV ndio kaua,au vp?
 
.. Dr. Peter Duesberg huyo.. A mass murderer of innocent South Africans...

Kufata upepo uko kulimponza Thabo mbeki
 
Binafsi nimekuwa ni msomaji zaidi ya kuandika au kujibu,kuna wakati uzalendo umekuwa ukinishinda baada ya kuona watu either wanaamua kutokumuelewa Deception kwa makusudi au ni kwasababu uwezo wao wa kufikiri upo chini saaaana

Kuna wagonjwa wamekuwa na kansa na kwasababu hiyo wamekuwa na upungufu wa kinga mwilini,kuna mzee mmoja alikuwa na kansa na hili lilitokea na kwa maana nyepesi kabisa huyu mtu alipata ukimwi bila kuwa na HIV,leo hapa tunataka kuaminishwa kwa lazima kuwa ili uwe na ukimwi ni hadi uwe na HIV tena tunalazimishwa hivi na watu muhimu kabisa kwenye afya zetu,hii inasikitisha sana

Watu wanadhani kuwa watu wanaokubaliana na Deception wameamua tu kukubaliana nae tu hivi hivi kitu ambacho sio sahihi kabisa,jamaa ana pointi nyingi sana na anaeleza kwa upana unaostahili

Hebu fikiria tu alikuja hapa akaelezea ni kwa namna gani ARVs zinavyosababisha ukimwi halafu mtu anakuja na kusema "speculations",kweli?

Wakati mwingine inaboa sana,nilitarajia wangekuja hapa na maelezo ya kina na kuibua mjadala mkubwa na mzuri sana kwetu ambao hatujui haya mambo lakini naona kama kuna watu ambao hawajui kabisa wanachokifanya na kibaya zaidi wamesomea hii ni hatari sana.....

Naona kama vile huyu Deception kawazidi mbali sana .......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…