Sasa Unawashauri Wale Wanandoa Ambao Wameamua Kwenda Kupima Ukimwi? Wasiende?....
Kupima VVU/Ukimwi ni utumwa wa kiakili tu,ni ignorance ndio inasababisha mambo yote haya.Ukijua ukweli kuhusu ugonjwa huu feki utajicheka saaana.Yaani ni sawa na wewe mwenyewe katika umri huo wa utu uzima halafu unaogopa kivuli chako.
Ngoja nikupe dokezo dogo sana hapa;
-Najua unajua ya kwamba antibodies/kinga ya mwili ndio inatulinda dhidi ya magonjwa yote.
-Najua mpaka sasa unajua ya kwamba vipimo vya VVU vinapima antibodies/kinga dhidi ya VVU/HIV na havipimi mwonekano wa VVU/HIV.
-Najua unajua ya kwamba mtu akiwa HIV+ maana yake mwili wake umetoa antibodies dhidi ya HIV,na akiwa HIV- mwili hauna HIV.
-Najua unajua pia ya kwamba sayansi ya ufanyaji kazi wa antibodies ndio basis ya all vaccines,vaccines zote zimetengenezwa kufuata sayansi ya antibodies,na ndio maana leo hii unaamini ukipewa chanjo ya tetenus basi hutapata tetenus kamwe.
Sasa basi;umeshawahi kujiuliza ni kwa nini na kwa vipi ukipimwa HIV+(yaani mwili umetoa kinga dhidi ya HIV feki),watakwambia kwamba umeathirika na wasikwambie kwamba you are safe kwa sababu mwili wako umejibu mapigo ya HIV feki?
Hili swali kwamba kwa nini hizo antibodies haziwezi kukukinga wewe dhidi ya HIV feki hata waliotudanganya hawawezi kulijibu.Ni madaktari weusi tu wanaojifanya wako kimbelembele/wapambe na wanajifanya wanajua zaidi ya mabwana zao waliotudanganya ndio hujifanya kujibu swali hili.Ukitaka ugomvi wambie wakupe any scientific paper published,hawana.
Zaidi ya yote,HIV hasababishi AIDS,ukitaka ugomvi hapa tena waambie wakupe scientific proof kwamba HIV anasababisha AIDS.Wanaosema kwamba hasababishi AIDS wana scientific paper/proof published.
Science politics ni mbaya sana.
...Na Vipi Mtu Ambae Aliyeugua Sanaa Na Akatanabahi Kuwa Inamladhimu Akachek Vipimo Vikuu Yani Ukimwi? Naye Huyu Wamshauri Vip?...
Mkuu unajua,watu wamesahau kwamba kuna magonjwa mengi sana halisi yanayotusumbua wanadamu.Ulishawahi kusikia mtu anaumwa sana halafu kila hospitali anayokwenda wanamwambia hawaoni tatizo?
Ulishawahi kusikia madaktari wanasema "this disease has unkown cause" Je,unaelewa maana ya hiyo statement?Maana yake ni kwamba cause ipo ila wao(madaktari) hawaijui.Mimi nikiwa karibu na mgonjwa kama huyo unayesema nitajua nifanye nini baada ya kumuangalia.Mara nyingi magonjwa ambayo sio infectious mfano,autoimmune disease,nk hospitali za kawaida hawawezi kuyagundua au kutibu.Na mwisho wake lazima madaktari watatafuta mhusika wa kumbwagia zigo hili na kusema kwamba yeye ndiye amesababisha,mhusika huyu ambaye ana bahati mbaya ya kusingiziwa ni HIV.Kwa mtu mwenye autoimmune disease,vitiligo and the likes,ni rahisi sana kumpima HIV+ kutokana na sayansi ya vipimo.Na watu wenye magonjwa kama haya watakapoanza kula ARVs,hawachukui muda mrefu,wanakufa.Sasa lawama ziko mtaani bwana;"jamaa ngoma ndio iliyomuondoa" au "aaah yule mshikaji si mambo yetu yale ndio yamemwondoa" nk.Upumbavu mtupu.Ujinga ni kitu kibaya sana,yaani unakuwa kama ng'ombe,huna consciousness.
Msingi wa afya ya binadamu uko kwenye damu,pH ya damu ndio mpango mzima.pH ya damu ikiwa mbovu unaweza kuumwa kila aina ya ugonjwa ambao upo duniani,ni chance tu.Weka pH yako sawa na hata kama utakuwa na magonjwa 20 kwa pamoja,yote yataondoka yenyewe,na utashangaa,hii ndio sayansi.
....Na Kuna Kipindi Walileta Hivi Vipimo Vya Kujipima Mwenyewe Vile VyA Kuonesha Mistari, Vimepotelea Wapi, UnawezA Kufahamu Kwa Nini Vimepotea?
Utakuwa unazungumzia rapid test.Rapid tests ni stimulants za kuwachomoa watu wenye HIV feki mafichoni ili waende kupima tena na kuanza kupewa ARVs ambalo hasa ndio lengo lao.Hakuna hata kipimo kimoja cha HIV ambacho kiko sahihi,vyote ndani yake vina siasa ya sayansi.Sina haja ya kujua kwa nini vimepotea kwa kuwa najua kwamba vipimo hivi vyote ni siasa tu.
Hivi wewe ukiambiwa mwili wako una kinga dhidi ya malaria si utafurahi sana?Lakini kwa nini ukiambiwa mwili wako una kinga dhidi ya HIV unalia sana na kama hamna watu karibu yako waweza kujinyonga?Hapa ndipo utakapojua kwamba HIV/AIDS is a mindset disease/is not real.Vipimo vya HIV vinapima kinga dhidi ya HIV na si vinginevyo.Kama mtu anaumwa sana lazima ukimpima utamkuta na ugonjwa fulani ambao tayari unajulikana na una tiba yake,ukimpatia tiba anapona kabisa.
Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system"
Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.
1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water
Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.
Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)
Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.
Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"
Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.
Haya sikiliza sasa;
https://www.youtube.com/watch?v=XSSpoFq7uhM