Mkuu naomba unitoe tongotongo kuhusu kuhusu ukimwi na haya mambo;
1.Nini mkanda wa jeshi,kwa nini unatokea na nini kifanyike baada ya kutokea ....
Swali hili kuna mwana JF mmoja alishawahi kuniuliza.Fuatilia post yangu iko page namba 4,reply namba 68 utapata jibu lake.Soma na maelezo mengine pia kwenye reply hiyo ili uongeze uelewa wako.Pia reply namba 103 na 113 zote zipo page namba 6,hizi zitakusaidia kukuongezea maarifa zaidi.
....1.Kwa nini mtoto inasemekana anazaliwa na maambukizi ya ukimwi......
Umekosea jinsi ya kunukuu huo uongo.Uongo wenyewe uko hivi;"Inasemekana kuna watoto wanaozaliwa na maambukizi ya VVU/HIV".Ni maambukizi ya HIV na si maambukizi ya ukimwi.Sasa kuwa makini hapa upate elimu,na kama unamfahamu daktari yeyote unayemwamini nenda kamuulize haya ninasema hapa halafu msikilize atakujibu vipi;
Ukisoma reply zangu za nyuma utaona nasema kwamba HIV hasababishi ukimwi kama watu walivyodanganywa hivyo hata kama mtu akipimwa HIV+ sio ishu,ni ulimbukeni tu wa kukosa elimu.Utaona pia kwamba vipimo vyenyewe vya HIV ni feki na wameweka trick ya kisayansi ili vilete majibu wanayoyataka,hivyo mtu yeyote yule anaweza kupimwa HIV+ bila kujali kama yeye ni bikira, aliwahi kupata maambukizi au la,haijalishi,unaweza kuwa HIV+.Hivi wametumia akili nyingi sana kutudanganya kuanzia kwenye historia ya HIV,Hypothesis yake(yaani HIV anasababisha ukimwi),Vipimo vyake na dawa zake zinazotumika yaani ARVs,vyote hivi ni feki.
Sasa tuje kwenye swali la msingi;
Wenyewe wanasema hivi;Mtoto anayezaliwa kutoka kwa mama mwenye HIV ana uwezekano wa kupata HIV kwa 25% tu kama mama yake atakuwa hatumii ARVs,na ana uwezekano wa kupata HIV kwa 2% kama mama yake atatumia ARVs.Kuna watu humu wana akili za kupinga tu najua watapinga na hili pia,kabla ya kupinga angalia link hapo chini.Hizi ni data kutoka CDC marekani.Hawa jamaa wa CDC ndio walioanzisha ile slogan ya "ONE TEST TWO LIVES",hawa ndio wazee wa slogan za HIV/AIDS,slogan zote tunazozisikia zinaanzishwa na hawa jamaa ili kuturubuni akili.Hata sheria ya kupima mama wajawazito HIV kwa lazima hapa kwetu imeanzishwa na hawa jamaa.Nauliza swali "Eti hawa jamaa watakuwa wanatupenda eeenh,yaani wanatupenda mpaka wanatulazimisha kupima!!!,yaani wana upendo na sisi kuliko tunavyojipenda wenyewe"
Soma link hapo chini;
OTTL | Campaigns | Act Against AIDS | CDC
Mtoto kama mtu mwingine yeyote yule kama akipimwa HIV,narudia,kama akipimwa HIV kwa kutumia vipimo hivi ambavyo wameweka trick zao za kisayansi,ana uwezekano wa kumkuta na HIV.Lakini uwezekano huu hajalishi kama mama yake ana HIV au la.Narudia,mtoto kupimwa HIV+ hakujalishi kama mama yake ni HIV+ au la,sasa wewe mwenyewe unaweza kujiuliza kwa nini mtoto awe HIV+ wakati mama yake ni HIV-?Hizo case zipo nyingi tu.
Kama nikiambiwa nitoe uthibitisho,sitatumia data za zamani,nitaanza kufanya vipimo upya vya watoto wapya waliozaliwa kutoka kwa mama zao ambao ni HIV-.Lazima nitapata watoto ambao ni HIV+.Nadhani hapa utakuwa unanielewa nikisema kwamba kwa mtu kuwa HIV+ sio ishu,ni suala la sayansi ya vipimo tu na si uhalisia,na pia HIV huyo wanayemnadi hasababishi ukimwi kama wanavyosema,hivyo pia mtu kuwa HIV+ tena sio ishu.Mtu anadhoofu kwa matatizo halisi ambayo yapo kweli kiuhalisia na ukimpa tiba husika anapona kabisa.Ila mbaya zaidi ukimpa ARVs,ni suala la muda tu mtu huyu lazima afe kwa matatizo yafuatayo;
1.Ugonjwa wa moyo
2.Ini
3.Figo
4.Cancer yoyote
5.Upungufu wa damu
Kama huamini,fanya utafiti wako mwenyewe kwa watu waliozidiwa/wanaoumwa sana wanaotumia ARVs.Ukimaliza tafiti rudi tena hapa.
Kuna kina mama wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs na wanazaa watoto ambao hawana huyo HIV.Case hizi zipo nyingi mno.Hawawezi kuelezea kwa nini haya hutokea pia.Wanajifanya kuangalia upande mmoja tu.Kwa jinsi mtoto anavyokaa tumboni na anavyopata chakula kwa diffusion kutoka kwa mama yake na mambo mengine lukuki,bado mtoto anatoka hana maambukizi hata kama mama yake ni HIV+.Hili swali ushawahi kujiuliza?
Unajua hawa jamaa elimu wanayoingiza kwenye vichwa vyetu kupitia vyombo vya habari inafanya ubongo wetu ujiulize maswali fulani tu na si maswali ya aina nyingine,kwa kifupi tunasema wametu 'brain wash'.
Sasa ngoja nikwambie kwa nini wanalazimisha mama wajawazito ambao ni HIV+ watumie ARVs;
Jibu ni kwamba,wanajua sisi tutakuwa na mashaka sana endapo mama mwenye HIV atazaa mtoto asiye na HIV kwa kuwa hilo si jambo la kawaida,ofcourse,sio la kawaida na ndio uhalisia ulivyo kwamba case hizo zipo nyingi sana.
Sasa kama mama atatumia ARVs halafu atazaa mtoto ambaye hana HIV akili zetu zitakuwa tuned kwamba ARVs ndizo zimemuokoa mtoto,lakini ukweli ni kwamba hata mama asipotumia ARVs chance ni ileile.Chance ya mtoto kuwa HIV+ haichangiwi na mama kutumia au kutotumia ARVs bali huchangiwa na vipimo vya HIV.Fanya utafiti utajua tu.
.....3.Inasemekana ukisex na mtu ambaye ana maambukizi na ukawa na wasiwasi kwamba unaweza ambukizwa kuna dawa ukimeza (nafikiri ARV,sina hakika) ndani ya masaa 48 zinakinga,nini lengo lao hapa?
Dawa hizi zinaitwa PEP(Post/Pre exposure prophylaxis ),mojawapo ya dawa hizi ni truvada.Fahamu kwamba mkuu wa Centre for infectious disease control(CDC) mshenzi Antonio Faucci anataka dawa hizi ziwe zinatumika kila siku watu wanapotaka kujamiiana.Kuna jambo hapa muhimu,lakini refu kidogo ngoja nilipotezee.
Wanatudanganya kwamba ukimeza dawa hizi ndani ya masaa 72 zinakukinga dhidi ya maambukizi ya HIV.Mkuu hapa tunarudi kwenye concept ileile ya kuwapa mama wenye mimba ARVs ili kuzuia watoto wao wasipate maambukizi.Wanajua kwamba mtu anaweza kufanya ngono bila kinga na mtu mwenye HIV zaidi ya mara 200 na asipimwe HIV+,hizi wanatumia mwanya huu kurubuni akili zetu ili ukimeza dawa hizo halafu ukipimwa HIV- ushangilie kwamba dawa hizo ndio zime kusevu/kukuokoa na kwenye ubongo wako utajenga imani hiyo na hamna mtu atakayeweza kubadili imani yako hiyo.Kumbe HIV huyu feki kamwe haambukizwi kwa njia ya ngono kama tulivyodanganywa.
Lengo lao lingine ni lilelile maalum la kuuza dawa za ARVs.Na ndio maana Antonio Faucci anafanya kampeni ili dawa hizi ziwe zinatumika kila mara watu wanapotaka kufanya ngono zembe.Ila nimemsikia daktari mmoja hapa kwetu akipingana na maelezo hayo ya Antonio Faucci kwamba yeye, huyu daktari wa bongo hakubaliani na hilo kwa kuwa dawa hizi zinapotumika muda mrefu zina madhara hatari mwilini,nilifarijika sana kusikia anasema hivyo kwa kuwa sasa watanzania tunaanza kufunguka.Ningekuwa nakumbuka nakala ile ya gazeti la Mwananchi ningewawekea hapa msome wenyewe.
Ndugu yangu,haya mambo ni mazito na pia ni mengi sana na yote yana ukweli usiopingika ndani yake,inahitaji uwe jasiri wa kudadisi na kujitoa muda wako.Wachache sana wenye uwezo wa kufanya hivyo na ndio maana Ugonjwa huu wa ARVs/AIDS(sijakosea,ninamanisha kweli ARVs/AIDS na sio HIV/AIDS) hautaisha leo wala kesho.