Mkuu nachojua unaweza kupima na ukakutwa ni HIV+ lakini ukashauriwa usianze kutumia ARVs kwakua kinga yako haijashuka sana,,ila unashauriwa kujenga afya yako na kupima kiwango cha kinga yako mara kwa mara ili kujua siku unayoweza kuaanza kutumia ARVs...hii ikoje?
Samahani nilipitiwa kidogo;
Sina uhakika vituo ulivyotembelea wewe kutafiti.Lakini ninachojua mimi siku hizi wamebadilisha utaratibu.
Siku hizi ukikutwa tu HIV+ hapohapo unapewa zigo la dawa bila kujali kama kinga yako iko juu au la,labda vituo vingine ambavyo sijawahi kufika inaweza ikawa tofauti.
Na kuna uwezekano mkubwa wamefanya hivyo kwa uzoefu kwamba siku hizi watu wameuzoea ungonjwa huu(kwangu mimi ni feki) hivyo hata mtu akiambiwa ni HIV+ huwa hapati msongo sana kama kipindi kile cha miaka ya nyuma,huwa atachukulia poa tu ndio imetokea halafu anaendelea na shughuli zake,sasa watu kama hawa wakishauriwa kula vizuri kinga zao hazishuki chini ya kiwango cha kuanza kutumia ARVs kwa sababu hawana msongo wa mawazo.
Sasa hili si jambo jema kwa wauza ARVs kwa kuwa wale wanaotegemewa kinga zishuke ili waanzishiwe dawa kinga zao hazishuki hivyo wanakosa wateja.Na ndio maana wakaamua kuja na utaratibu mpya,ukipimwa HIV+ tu,unabebeshwa zigo lako hapohapo.Lakini kama kweli HIV angekuwa ndiye anayehusika kushusha kinga ya mwili,watu hawa lazima wangerudi mapema kuanzishiwa dawa,lakini ukweli hauko hivyo,na ndio maana kuna wakati nilisema kwamba kuna watu wengi sana duniani ambao wana HIV lakini hawana AIDS,kwa afrika peke yake ni 97%.Yaani 97% ya watu wenye HIV,hawana AIDS.Baada ya kupata takwimu hizi WHO wakaamua kubadili utaratibu.Hebu fanya tafiti tena halafu uje unijuze na mimi kama wamebadilisha tena.Lakini sasa iko hivyo.Ukiwa HIV+ hapohapo unaondoka na zigo lako la ARVs ukahangaike nalo.
Mwanzo waliweka CD4 zikiwa chini ya 250 cells/mm3,wakaona hailipi,wakapandisha kufikia 350 cells/mm3 nayo wakaona hailipi sasa wamepandisha kuwa 500 cells/mm3 sehemu nyingi tu.Wanabadilisha vigezo kila wakati ili kukidhi vigezo vya kutengeneza faida.
Na sasa hivi wameweka vigezo vingine ili kulazimisha watu waanze kutumia ARVs mapema,wameweka criteria kibao siwezi kuzitaja zote.Mojawapo wanasema inabidi uanze mapema ili kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine,hii sanasana iko kwa kina mama wajawazito,wanaonyonyesha,watoto chini ya miaka 5 nk,hapa hawajali CD4 zako ziko vipi.Pia kuna criteria kibao ambazo ukizifuatilia vizuri utaona kwamba kila mtu anaingia katika mkumbo huo wa kuanzishwa mapema ARVs.
Sasa jiulize,kwa nini criteria zibadilike kila kukicha ilihali ugonjwa huu una miaka mingi sana sasa?Kama uko vyema ni rahisi sana kugundua uongo wao.Na ndio maana huwa nasema suala hili ni pana sana,hawa jamaa wanafanya kazi usiku na mchana kutunga mambo mapya ili kutetea biashara yao.Kuna mengi sijayaeleza hapa kuhusu hili swali lako,lakini hayo tu niliyoeleza ukitaka kujua kwamba wametudanganya utajua tu kwa kujiuliza maswali ambayo hayana majibu na hata hao wenyewe hawana majibu.
Ngoja nikwambie kitu;Kwenye dunia ya leo haijalishi kama una evidence au la,haijalishi kama unachosema kina mantiki au la,kinachoangaliwa katika dunia ya leo sio ukweli ulivyo bali ni jinsi maslahi yalivyo.
Ukiwa kwenye panel unafanya debate na watu wanaokupinga halafu ukatoa evidence,wanaokupinga pia wanajua kwamba wewe unasema kweli na wanajua pia kwamba evidence unayotoa hapingiki lakini watacheka tu na kuendelea na shughuli zao kama ilivyo kawaida.
Ukijua ukweli wa mambo mengi ulivyo kwenye dunia hii ni raha kwako binafsi kwa kuwa utakuwa huru lakini kwa upande mwingi utaishi kwa majonzi sana kama kweli una upendo na wengine na unataka wengine wajue lakini hawakupi nafasi ya kukusikiliza au jamii inayokuzunguka inakucheka ili hali unachoeleza wewe ni ukweli mtupu.