.Nashukuru sana Ndugu Deception kwa kutuamsha kutoka kwenye usingizi mzito wa ugonjwa huu feki.
Binafsi imekua rahisi kukuamini kwa sababu mimi mwenyewe ni mfatiliaji wa mambo.mfano kuna research article moja iliyoandikwa na prof. mmoja wa ivory coast akielezea uowongo wa CDC kuhusu ebola na chanzo chake.ishu kama za uzazi wa mpango kwa wamerekani weusi na secrete agenda behind,global warming n.k....
Yote hayo yananiaminisha kuwa VITU VINAVYOONEKANA DUNIANI SIO KAMA VILIVYO.
Hongera kwa kuzinduka,hiyo ndio maana ya elimu hasa;
Unajua mambo haya mtu akiyaingilia kwa pupa anaweza kuishia kudharau tu na kuondoka zake,lakini ukijaliwa kujitolea ka muda kadogo tu kuupa nafasi ubongo wako kudadisi,basi utagundua mambo ambayo kukuwahi kuyafikiria na mambo yenyewe ni mazito kwelikweli.
Kwa mfano;Kuhusu ebola;
Kuna thread moja humu JF niliwahi kuwaambia watu kwamba Ebola ni ugonjwa feki pia na nikawaambia wana JF kwamba kamwe hawawezi kuja kupata Ebola.Watu wakacheka sana,mimi nikaenda zangu.
Pia hili la uzazi wa mpango;
ukiachilia mbali wamarekani weusi,tuzungumzie hapa kwetu maana ndio kunatuhusu.Kampeni zote za uzazi wa mpango kwenye vyombo vyetu rasmi vya habari mwisho wake zinaishia na kuhamasisha watu watumie vidonge vya uzazi wa mpango.Kumbuka kwamba kuna njia nyingi za kufanya uzazi wa mpango,lakini wameng'ang'ania kwenye hili la vidonge,je,unajua kwa nini?
Kwanza kwenye suala zima la uzazi wa mpango wana agenda nyingi,lakini kubwa kuliko yote ni kuuza dawa.Sasa ngoja nikwambie wanafanyaje hapa;
-Kwanza kampeni;"uzazi wa mpango jamani uzazi wa mpangoooo, uzazi wa mpango ndio mpango mzimaaaaaa"
-Pili;Wanawake wanazoea kusikia maneno hayohayo na mwishowe yanageuka kuwa kasumba.
-Tatu;Wanawake wanaambiwa njia rahisi na 'salama' ya uzazi wa mpango ni kutumia vidonge(contraceptive pills).
-Nne;Wanawake wanakubali kwa sababu ya kasumba,na wanaanza kutumia vidonge.Tayari biashara imeanza.
-Tano;Vidonge hivi ambavyo wanasema havina madhara vinasababisha cancer ya kizazi na cancer ya matiti kwa wanawake baada ya kutumika kwa muda mrefu kama zilivyo ARVs.
-Sita;Wanawake hawa hupelekwa Ocean Road kuhudhuria matibabu ambapo pale ndio kituo chao kikubwa cha kuuzia dawa za cancer.Biashara moja imezaa nyingine,vidonge vya uzazi wa mpango vimezaa biashara ya dawa za cancer(chemotherapy,radiations/mionzi).Kumuhudumia mgonjwa mmoja wa cancer Ocean Road si chini ya Tshs 2,000,000 kwa mwaka,na usifikiri kwamba anapona,haponi,bali hutuliza dalili tu.Mashine moja ya mionzi(Linear Accelerator) inauzwa Tshs 4,500,000,000(4.5 bil).
Idadi ya wagonjwa wa cancer Ocean Road inaongezeka kila mwaka kwa mwezi.Sasa hivi Ocean Road inapokea zaidi ya wagonjwa 400 kwa mwezi kutoka 3 kwa mwezi kipindi cha nyuma.Asilimia 80 ya wagonjwa hao ni wanawake, na asilimia kubwa ya wanawake hao wana cancer ya kizazi na cancer ya matiti.Fanya utafiti utajua hilo.Swali la kujiuliza;Kwa nini wagonjwa wa cancer wanaongezeka kwa kasi kubwa hivyo siku hizi?Na kwanini idadi kubwa ya wagonjwa hao ni wanawake?Je,kuna variable gani imeongezeka kwenye equation hii ya sababu za cancer?I hope jibu unalijua.
-Saba;Matumizi ya muda mrefu ya vidonge hivi huharibu kinga na hivyo hupelekea generation ya antibodies ambazo hu trigger vipimo vya HIV kutoa HIV+ results.Biashara nyingine hiyo imeshazalishwa ambayo ndio ninaizungumzia sasa.Fuatilia dozi kikopo kimoja tu cha ARVs(mfano,Tenofovir Disoproxil Fumarate) ni Tshs ngapi,piga mahesabu kwa mwaka vinatumika vingapi kwa mgonjwa mmoja halafu zidisha kwa wagonjwa 3,000,000 wa Tanzania,achilia mbali wagonjwa wapya wanaozalishwa kwa life style zinazosababishwa na kampeni zao feki.Pesa utakayoipata utashangaa.Na ndio maana wanazidi kuwekeza hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Na mwisho Global warming:
Hili nalo ni pana.Wanasema kwamba glabal warming inasababishwa na hewa ya ukaa ambayo inazalishwa na binadamu,yaani Anthropogenic global warming,kitu ambacho si kweli.Na mbaya zaidi ndivyo tunavyofundishwa mashule mpaka leo.Hadi leo watoto wetu wanalishwa sumu hii,na watu wengi wanajua hivyo.Wanang'ang'ania kusema hivyo kwa kuwa wana agenda nyingi sana nyuma ya pazia;
Agenda mojawapo ni ile ya kuweka sheria ambayo itazuia nchi zinazoendelea kama Tanzania kutoweza au kuwa na ukomo wa kujenga viwanda kwa maendeleo ya nchi.Nadhani watu wanaelewa kwa nini nchi zinazoendelea kama Tanzania zikiwa na viwanda vyake itakuwa ni tatizo kwa nchi na wafanya biashara wakubwa katika nchi zilizoendelea kama Marekani.
Al gore ndio world tycoon aliyeanzisha uzushi huu,na kwa sababu yeye ni mmoja wa wadau wa serikali ya marekani inayosimamia sheria za dunia hii,basi imekuwa rahisi sana kwa sheria hizi kupita na kukubaliwa na UN na kuwa enforced kwa nchi wanachama na hivyo elimu nzima kuhusu global warming ikaanza kufundishwa mashuleni ku brainwash watu.
Ndugu yangu tuna safari ndefu sana.Ukifuatilia mashuleni;Shule za msingi,sekondari na vyuo vikuu,utakuwa na huzuni sana kutokana na mambo yanayofundishwa kama kweli unajua uhalisia wa dunia hii ulivyo.Ni vizuri na wewe uka share na wana JF wengine ulichonacho ili kupunguza gape hili,kidogokidogo hujaza kibaba.Elimu ya kweli ndio itakayoiokoa nchi yetu na kuipeleka kwenye maendeleo makubwa.Kwa uelewa huu tulionao,maendeleo ni kama ndoto.