Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mkuu nimesoma post zako zote na kukuelewa,naomba unipe maelekezo ya kumuachisha ARV mtu ambaye tayari anazitumia
 
Na kwann awasisitizi katika kutibu magonjwa nyemelezi badala yake wanasisitiza matumizi ya ARVs? Kwan haya magonjwa nyemelezi hayatibiki?
Wanasisitiza matumizi ya ARV hasa kwa yule ambae kinga ya mwili imeshuka katika level ya chini sana ili asiweze kuwa attacked na magonjwa nyemelezi kiurahisi vinginevyo wengine wanasisitizwa kujiepusha na maambukizi mapya pamoja na kula vizuri
 
choice s your...syo lazma humuamini mtu au umkubali mtu..ila ukiangalia utaona ushabiki ni mkibwa na siasa ni nyingi kuliko evidence...ukiangalia hapo juu kwenye post zote utaona mkuu kaulizwa maswali mengi sana ana jitetea ni theory hataki jibu bali ana andka siasa nyingi na kukwepa kwingo...angalieni msiliwe kichwa...na pia naku shauri uache maandishi ya chuki maana naona una type viti vynye chuki wakato tupo kwenye ku elimishana..ni hayo tu mkuu.

Binafsi ninajua ukimwi upo na unaua sana, hakuna mtu atakayeweza kupingana na imani yangu, ndio maana kila mtu anaogopa ukimwi kwa sababu sio ugonjwa mzuri, umeua ndugu zetu na marafiki.

Tunajua tu mtu ukikutwa na virus utapewa dawa za kurefusha maisha basi, kuhusu mlo utajijua mwenyewe uko, na inavyosemekana hayo madawa ni makali sana especially usipozingatia mlo kamili, ambao watanzania wengi hatuwezi kumudu, sasa unamsaidiaje yule ambaye hawezi kujimudu na lishe bora ili dawa zisimmdhuru? Tumechoka kuona vifo vya waathirika wa UKIMWI ambao wengi wao ni maskini na wanaobaki ni wale wachache tu wenye uwezo wa kuishi maisha mazuri kwa kuzingatia mlo sahihi, kama kijana ninayejitambua, lazima tujue kiundani kuhusu UKIMWI na ARV.

Changamoto tulizoziona kuhusu ubovu wa vipimo vya VVU ni nyingi mno apa kwetu, kwa nini tuendelee kupoteza ndugu zetu kwa uzembe wa watu wachache?, kwa nini tusijue njia mbadala ya kuweza kuwaokoa ndugu zetu. Wengi wetu tunakufa kwa kukosa ELIMU juu ya afya zetu. Tunatakiwa kujua faida na hasara za ARV kwa sababu izo ndio dawa zinazoaminika na wengi kwa kupunguza virus vya ukimwi

Tatizo nyie hamtaki kabisa kuelezea ukweli watu wajue, haimaanishi watu wakijua ukweli basi ndio waache kutumia ARV, hayo ni maamuzi ya mtu binafsi atumie au asitumie. Tatizo lenu hamtoi maelezo mkaeleweka, hakuna anayewaelewa humu wala kuwaamini mnachokiandika, umejiuliza ni kwa nini?
 
Wanasisitiza matumizi ya ARV hasa kwa yule ambae kinga ya mwili imeshuka katika level ya chini sana ili asiweze kuwa attacked na magonjwa nyemelezi kiurahisi vinginevyo wengine wanasisitizwa kujiepusha na maambukizi mapya pamoja na kula vizuri

Mnawasaidiaje wale wasiojiweza kumudu mlo kamili ili wasidhurike na ARV? Maana inasemekana zile dawa ni kali mno kama hautokula vizur basi zitaleta shida kwa mtumiaji, mnavyosisitiza kuhusu mlo kamili mnawapa chakula au? Tumechoka vifo vya UKIMWI ambao wengi wao ni maskini wasioweza kujimudu na mlo kamili.
 
Afya Duni na Kutozingatia Afya Bora.. Hata Ukiugua Malaria Inakulaza Una Ukimwi kwa Jinsi nilivyomuelewa Deception

Ninachowashauri watumiaji wa ARV au wale ambao hawajaanza kutumia, wajiangalie mara mbili kama wanaweza kujimudu mlo kamili ili kuzifanya izo dawa kufanya kazi vizur bila kuleta madhara, vinginevyo njia ya Deception is the best kuliko ARV, ninaanza kuelewa kwa nn ARV zinaua, watu wengi pia hawana elimu kuhusu utunzwaji wa ARV, popote wanaweka, wengine wanaficha kwenye makalio na nguo za ndani kwa kuogopa watu kuwagundua kuwa wanatumia, mwisho wake zile dawa zinapoteza ubora wake na kugeuka sumu kwa watumiaji, mnawasaidiaje wale ambao hawana Elimu kabisa kuhusu ARV zaidi ya kuambiwa tu na daktar azingatie mlo kamili basi, uo msosi anaupata wapi? Wangekuwa wanawapa na chakula basi tuone kweli kama wanawajali hao waathirika
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: naa
Basi Kama. ni maisha Duni. Dawa ni Kula Vizuri na Wala Si Kunywa Madawa Kibao

Umeona eeh? Basi wangeacha kuwapa madawa ambao wanajua kabisa zinaenda kuwamaliza, wangetafuta njia mbadala, kama mlo kamili mnajua ni shida, mnawapaje madawa makali kama ARV kama sio wauaji? Tutawashtaki mnaua kwa makusudi gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni chaguo la mtu binafsi warumi lakini si sawa kupotosha watu.Yeye anapotosha watu na ideology zisizoexist na refer anayosema kuwa ukimwi hauambukizwi na hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi come on?Hakuna ukweli wowote hapo!!

Yeye amesema Amefanya Research na Amewahudumia Wagonjwa Wa ARV. Je wewe umehudumia wagonjwa Gani ili basi tupime Kidogo pande mbili
 
Last edited by a moderator:
madokta wamekimbia wanaenda kupekua notes@definition kala matapish yake kaenda kulala .aiseeee we deception ni mtu mbaya sana.umenifanya adi najichekea mwenyewe.jamaa wamekuja na miterminologies ya ajabu ili sisi tutoke kapa.lakini kumbe wamedandia treni kwa mbele.wanauliza vitu ambavyo vingi vilishatolewa ufafanuzi mda tu.nashindwa kuelewa ni wavivu wa kusoma au??kama wanashindwa kupitia uzi huu wa page 40 hayo mavitabu ya maugonjwa na maresearch wanapataga mda kwelibwa kuyapitia???

Kumbe hata ww umeliona hili, Kiukweli maswal mengi nliyoyaelewa yalishajibiwa mwanzo ukiacha hayo walouliza kwa miterminologies nisioielewa, Pia kupanick kwao kunanifanya nizid kumuamini Deception nlitegemea wao Kama madoctor ndo wajibu kwa hekima Na umakini ili kama kweli mkuu Deception anatuingiza chaka watukomboe, Kama wanakosa hekima ya kutuelewesha bila jazba no wonder watu wanapotoka kuchukua majibu ya hiv wanachanganyikiwa wengine had kujiua nna wasi wasi hata na ushauri wanaopewa baada ya kupewa majibu!
 
Last edited by a moderator:
We warumi toka katika uzi huu ..mbumbu hujui kaa kimya....VIRUSI VYA AIDS VIPO

kama kunywa dawa nyingi kuna side effect chunguza dozi za mtu anayeugua Tb tena ile chronic anapewa madawa mengi sana kushinda hata hizo ARV
 
Last edited by a moderator:
nimefatilia kwa uchache baadhi ya page za thread hii, na nimegundua yafuatayo.
1. asilimia 99 ya wafuatiliaji/wachangiaji ni layman wa mambo ya afya, na hasa HIV/AIDS. wanafanya kuburuzwa tu na hizo wanazoziita fact, ilihali hawaelewi foundation ya hizo "fact". and trust me, arguments za Deception haziko founded, wala haziko documented, na wala hawezi kuzi prove.
2. watu always wanatafuta the easiest way out, someone or something to put blame on. lets face the facts, ukimwi upo na unaua. hiyo iko proven beyond reasonable doubt
3. ushabiki maandazi hausaidii, tena kama unashabikia mtu kwa kuangalia volume ya maneno katika post zake, kwa concepts ambazo wewe na yeye wote hamzielewi.
4. kiasi napata picha kwanini babu wa loliondo aliweza kutushika masikio, sababu ya akili zetu mbovu. we are very easily manipulated, wala hatufikiri.
5. tusicheze na taaluma za watu, tena hasa when it comes to diseases with severe mortality and morbidity. tuwe na huruma na hawa wanaohangaikia maisha yao.
6. the subject of HIV is very broad, na sio rahisi kama wengine humu wanavyotaka kuamini. mi nawaita waganga wa kienyeji. sasa wewe nenda kavu uone kama hatukuziki. ni nani humu hajaguswa na ugonjwa wa HIV maishani? do you still think its a myth? acheni kuaibisha taaluma za watu kwa kumanipulate laymen
 
Binafsi ninajua ukimwi upo na unaua sana, hakuna mtu atakayeweza kupingana na imani yangu, ndio maana kila mtu anaogopa ukimwi kwa sababu sio ugonjwa mzuri, umeua ndugu zetu na marafiki.

Tunajua tu mtu ukikutwa na virus utapewa dawa za kurefusha maisha basi, kuhusu mlo utajijua mwenyewe uko, na inavyosemekana hayo madawa ni makali sana especially usipozingatia mlo kamili, ambao watanzania wengi hatuwezi kumudu, sasa unamsaidiaje yule ambaye hawezi kujimudu na lishe bora ili dawa zisimmdhuru? Tumechoka kuona vifo vya waathirika wa UKIMWI ambao wengi wao ni maskini na wanaobaki ni wale wachache tu wenye uwezo wa kuishi maisha mazuri kwa kuzingatia mlo sahihi, kama kijana ninayejitambua, lazima tujue kiundani kuhusu UKIMWI na ARV.

Changamoto tulizoziona kuhusu ubovu wa vipimo vya VVU ni nyingi mno apa kwetu, kwa nini tuendelee kupoteza ndugu zetu kwa uzembe wa watu wachache?, kwa nini tusijue njia mbadala ya kuweza kuwaokoa ndugu zetu. Wengi wetu tunakufa kwa kukosa ELIMU juu ya afya zetu. Tunatakiwa kujua faida na hasara za ARV kwa sababu izo ndio dawa zinazoaminika na wengi kwa kupunguza virus vya ukimwi

Tatizo nyie hamtaki kabisa kuelezea ukweli watu wajue, haimaanishi watu wakijua ukweli basi ndio waache kutumia ARV, hayo ni maamuzi ya mtu binafsi atumie au asitumie. Tatizo lenu hamtoi maelezo mkaeleweka, hakuna anayewaelewa humu wala kuwaamini mnachokiandika, umejiuliza ni kwa nini?

sijajua ni kwanini...!? pia naomba upangilie swali lako vizuri unataka ufafanuzi zaidi kuhusu HIV au ARV...watu hawawezi kuwa warahisi kuamini ma doctor bali hiwa rahisi kuamini maneno mengi yasiyo na uthibitisho...!! kazi kwenu ku hamua upande waku baki..
 
DISADVANTAGES OF USING ANTIRETROVIRAL DRUGS.

There are number of bad side effects of antiretroviral drugs (ARVs) that also depends with an individual body type and the level of hiv infection. The behaviour and side effects of antiretroviral drugs, ARVs, varies significantly and may be aggrevated by patient's nutrition as well as other health conditions.
I) Drug resistance to HIV.
The benefits of antiretroviral drugs are short lived when a single doze is used alone. The short term effects results when HIV mutates or changes it genetic structure, becoming resistant to drug. The structure of the virus’s enzyme changes if the virus mutates. Drugs no longer work against the enzymes, making the drugs ineffective against viral infection, and resistance sets in. Genes mutate during the course of viral replication, so the best way to prevent mutation is to halt replication. The most effective treatment to halt HIV replication is to employ a combination of three drugs.
ii) HIV drugs side effects.
There are unpleasant side effects of HIV drugs. Common side effects of antiretroviral drugs include; diarrhoea, fatigue, headache, nausea, kidney stones, abdominal pain, tingling or numbness in the hand an feet and anaemia. Some patients may develop diabetes mellitus while others will collect fat deposits in the abdomen or back, causing a noticeable change in body configuration. Some antiretroviral drugs produce an increase in blood fat levels, placing the victim at risk of developing hypertension, cardiovascular disease, and stroke.
iii) Cost of treatment.
The greatest drawback in the treatment of HIV AIDS is the high cost of treatment and low health care facilities, most of these HIV drugs are not reachable by the vast majority whose income is very low.
HOW TO REDUCE SIDE EFFECTS ASSOCIATED WITH ANTIRETROVIRAL DRUGS.

There are several measures and directions that can be taken inorder to reduce ARVs side effects or delay some of the side effects of hiv drugs. The most effective and recommended way of delaying or reducing HIV drugs side effects is to timely start medication. Note that medication with antiretroviral drugs should begin when the the CD4 cells are highly attacked ( indicator of hiv infection is reduction in the amount of CD4 cells) and the victim begin to feel weak and is now prone to other opportunistic diseases. Some hiv drugs side effects can be reduced or stopped by taking drugs that can counter attack specific ARV side effect, for example in cases where diarrhoea caused by antiretroviral drugs, it would be appropriate to take diastop or anti-diarrhoea drugs and electrolyte replacing drugs, pain killers to treat headache caused by intake of ARV drugs, One of the most common side effect of antiretroviral drugs is increase in weight as a result of deposition of fats in the adipose tissue especially in the back and abdomen area, there for it has been proved that hiv drugs fatten resulting to other highly dangerous side effects that are highly fatal and lead to chronic illness such as diabetes, stroke, cardiovascular diseases, hypertension are a few side effects of hiv drugs. In order to reduce accumulation of fat as a result of hiv drugs it is of much important for hiv patient to engage in some physical exercises, and thats plays a key role in ensuring hiv drugs side effects are minimised.
How to reduce side effects of hiv drugs also depends with the individual genetic make-up and life style. For example a group of people taking ARVs will have skin allergy caused by hiv drugs while others even after years of taking hiv drugs will never experience skin allergy associated to hiv drugs. HIV-AIDS smokers doubles the risk of experiencing hiv drugs side effects than non smokers. There are many limitations of hiv drugs / antiretrovirals. Lactating hiv mothers are advised not to breast feed for this does not only increase the chances of passing infection to the baby but also preven
 
Kumbe hata ww umeliona hili,kiukweli maswal mengi nliyoyaelewa yalishajibiwa mwanzo ukiacha hayo walouliza kwa miterminologies nisioielewa,pia kupanick kwao kunanifanya nizid kumuamini Deception nlitegemea wao Kama madoctor ndo wajibu kwa hekima Na umakini ili kama kweli mkuu Deception anatuingiza chaka watukomboe, Kama wanakosa hekima ya kutuelewesha bila jazba no wonder watu wanapotoka kuchukua majibu ya hiv wanachanganyikiwa wengine had kujiua nna wasi wasi hata na ushauri wanaopewa baada ya kupewa majibu!

Nilishamwambia yule daktari kuwa maelezo yake tu yanathitibitisha kuwa yeye ni mjinga kuliko mimi ambaye sio daktari, they are not professional at all,wanajibu kwa ku panick, si ajabu ndio maana wagonjwa wa ukimwi wanajiua, yani wana maneno ya kejeli na maudhi, utafikir hawajasoma kabisa, communication skills yao ni mbovu, uandishi mbovu, unaanzaje kumwamini huyo mtu? This is a big tragedy to our Nation, measures should be taken to stop this immediately, hii ni aibu ambayo haivumiliki.

inawezekana UKIMWI ukawa hauui, bali sisi ndio tunaojiua kwa upumbavu wetu wa kukosa maarifa
 
Last edited by a moderator:
We warumi toka katika uzi huu ..mbumbu hujui kaa kimya....VIRUSI VYA AIDS VIPO

kama kunywa dawa nyingi kuna side effect chunguza dozi za mtu anayeugua Tb tena ile chronic anapewa madawa mengi sana kushinda hata hizo ARV

Umaskini wa fikra ni mbaya zaidi kuliko umaskini wa kipato..
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nikasema kwamba kutokana na ufeki wa ugonjwa huu kuna mikanganyiko mingi sana,we mwenyewe umejionea au kusikia kama ulivyoeleza hapo juu.Maneno yako hapo juu hata wenyewe wanakubali kwamba si rahisi mtoto kuambukizwa na wametoa asilimia 98% kama mama atakula ARVs na 75% kama mama hatakula ARVs kuonesha uwezekano wa mtoto kuepuka maambukizi haya ambayo mimi kwangu ni feki.Hongera kwa kuhoji hilo,maana kujihoji ni mwanzo wa kuelewa ukweli.

Unajua mkuu,hawa jamaa wanajua hii ndio starehe ya watu wengi,na ndio maana wameng'angania kwamba unaambukizwa kwa njia hii kwa kuwa kila mtu akiambiwa anao atakuwa na uwezekano mkubwa kwamba alishawahi kufanya ngono hivyo hata mtu mwenyewe hatapinga akiambiwa kwamba anao.Mkuu wewe furahia maisha tu,wasitufanye tuwe watumwa wa asili yetu.Wanajifanya hao ndio miungu,tumeshabaini ukweli na tuko huru.

Hata ukiwa na manjonjo ya aina gani,fanya mbwembwe zote unazozijua duniani kwenye ngono,huwezi kupata ukimwi/VVU.Kuonekana kwamba una VVU ni matokeo ya vipimo feki na si kwamba kweli una VVU.VVU hayupo kiuhalisia hivyo basi ukimwi hausababishwi na VVU.Fuatilia vizuri post zangu utaelewa au watu kama mavado wanaweza kukusaidia pia.Ukijua sayansi inayotumika katika vipimo vya VVU utajua ukweli uko wapi.Na ndio maana niliwahi kusema kwamba,ukitaka ukimwi uishe,basi watu wasijitokeze kupima VVU,au wagome kabisa kupima VVU na badala yake mtu akiumwa apimwe ugonjwa wake halisi tu na kupewa tiba halisi kama zamani,hapo ukimwi utakuwa umeisha.Lakini kwa kampeni hizi feki za kutuonesha kama vile wanatupenda saaaana na wanajali saaaana maisha yetu,watu watapimwa VVU na vipimo feki,wataonekana VVU+ na hatimaye watapewa dawa za ARVs ambazo ndio hasa zinazosababisha ukimwi kwa wanaozitumia halafu tunamsingizia VVU.Ukijua mtego huu basi utakuwa umejikomboa na janga hili.Njombe wanaongoza kitakwimu kwa VVU/Ukimwi kwa sababu wanajitokeza sana kupima VVU,hawaogopi kupima na kuchukua majibu,hii ndio sababu kubwa na hamna sababu nyingine,lakini kwa mtu anayechukulia mambo kiurahisi hataelewa ninachosema,labda watu kutoka njombe waje kuthibitisha wenyewe hapa.

Mkuu kama ARV ndio inayo sababisha ukimwi je? ukijamiana na mtu anae tumia ARV? si utaupata ukimwi?
 
nimefatilia kwa uchache baadhi ya page za thread hii, na nimegundua yafuatayo.
1. asilimia 99 ya wafuatiliaji/wachangiaji ni layman wa mambo ya afya, na hasa HIV/AIDS. wanafanya kuburuzwa tu na hizo wanazoziita fact, ilihali hawaelewi foundation ya hizo "fact". and trust me, arguments za Deception haziko founded, wala haziko documented, na wala hawezi kuzi prove.
2. watu always wanatafuta the easiest way out, someone or something to put blame on. lets face the facts, ukimwi upo na unaua. hiyo iko proven beyond reasonable doubt
3. ushabiki maandazi hausaidii, tena kama unashabikia mtu kwa kuangalia volume ya maneno katika post zake, kwa concepts ambazo wewe na yeye wote hamzielewi.
4. kiasi napata picha kwanini babu wa loliondo aliweza kutushika masikio, sababu ya akili zetu mbovu. we are very easily manipulated, wala hatufikiri.
5. tusicheze na taaluma za watu, tena hasa when it comes to diseases with severe mortality and morbidity. tuwe na huruma na hawa wanaohangaikia maisha yao.
6. the subject of HIV is very broad, na sio rahisi kama wengine humu wanavyotaka kuamini. mi nawaita waganga wa kienyeji. sasa wewe nenda kavu uone kama hatukuziki. ni nani humu hajaguswa na ugonjwa wa HIV maishani? do you still think its a myth? acheni kuaibisha taaluma za watu kwa kumanipulate laymen

Wengi wameguswa na ndo maana wengi wapo humu tatizo tumechoshwa na vitisho vya huu ugonjwa pamoja na kujitapa na maendeleo ya sayansi eti tatizo linazid badala ya kupungua huoni kama something is wrong hapa? Wasomi wetu tunaowategemea ndo kwanza wamekarirshwa hawana juhudi zozote za kusaka ufumbuzi zaid ya KULAZIMISHA yale waliyomezeshwa, Ndio maana akija mtu na kitu tofauti ni rahisi watu kukimbilia huko maana haya ya kila siku hayajasaidia kupunguza tatizo ndo kwanza linazidi kwanini wasijaribu jipya wanalohisi linaweza kusaidia???
 
Back
Top Bottom