Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Me cogop na pm nshamfuata zaman sana

Ahahhah nimekushindwa tabia binamu, kwa raha zako jiachie, au kuna anayekulipia bundle wa kumhofia humu?, mi PM siendi wala nini, kila kitu nauliza apa apa mie ndio warumi mwingine copy,naanzaje sasa kumuogopa mtu kwa mfano? Mie uo ujinga sinaga ,nafanya vile ninavyojisikia
 
Hhaaaaa binamu na wakuache miaka miananeeee
 
Na mimi nimegundua kuna aina mbil za waathirika, waathirika wa UKIMWI na waathirika wa ARV, usiombe uwe muathirika wa ARV, bora uwe muathirika wa ukimwi kuliko arv.

Viva jf hakunaga kama jamii forum
Haya binamu katika ugunduz wako ulete facts apa sio maneno tu
 
Viva jf hakunaga kama jamii forum
Haya binamu katika ugunduz wako ulete facts apa sio maneno tu

Akha mkitaka ugunduzi mie nauza, sitoi huduma bure, nyie si mnamuonea deception wa watu anawapa tiba ata sh nkumi hamumpi baba wa watu loh kweli wabongo hatar, mi kila kitu nauza, ukitaka ushahidi na maelezo nitumie pesa kwanza
 
Naomba kujua....wakati tunapochangia damu huwa wanapima ile damu mara ngap ili kujiridhisha haina maambukizi!? Ninachofahamu huwa inapimwa inapotolewa kwa mchangiaji,,je ule utaratibu wakumpima mtu angalau mara tatu kwa kipindi cha miezi 3 hapa hautumiki? Au wanapochukua damu huwa wanaiweka maabara na kuipima mara tatu kwa vipindi vya miezi mitatu mitatu ili kijiridhisha kwamba damu haina maambukizi? Au inapimwa mara moja tu na kwenda kuwekewa wagonjwa? Kama ni mara moja tu na vipimo vyenyewe huwa havitabiriki je hakuna uwezekano wakuongeza maambukizi kwa njia hii?

Hili la kuchangia damu tungepata majibu mazuri kutoka kwa madaktari maana wao ndio kazi yao kila siku.Mimi siwezi kukujibu kwa kuwa sikuwahi kufanya utafiti huo.
Ila kuhusu kuongezeka kwa maambukizi(kama unazungumzia maambukizi ya HIV),mimi nina uhakika na ninajua kwamba hakuna virus mwenye uwezo wa kushusha kinga,hivyo basi hakuna kitu kinachoitwa HIV kiuhalisia.Kwa maana hivyo hutakiwi kuogopa HIV bali unatakiwa kuogopa maambukizi ya vijidudu vingine vya magonjwa ambavyo kweli vipo kiuhalisia kama typhoid,TB nk.Simlaumu mtu yeyote kwa kuwa mzito kukubali kwamba hakuna HIV,hata mimi nilichukua muda kidogo,lakini baada ya kufanya tafiti zangu nikagundua ukweli haraka sana.Na ndio maana nilishawashauri watu wengi humu kufanya tafiti za haya mambo niliyosema ili wajiridhishe,na nina uhakika lazima mtakubaliana na mimi,vinginevyo itabaki stori tu kwamba kulikuwa na mada kama hii JF halafu hukupata faida yoyote muhimu kwenye maisha yako.Nawasihi mfanye tafiti zenu binafsi ili mjionee wenyewe kama haya niliyozungumza ni kweli au uongo,bila tafiti hamuwezi kujiamini bali mtabaki kuwa mguu nje mguu ndani.Fanya tafiti ujue ukweli mmoja tu na uchukue maamuzi yatakayokukomboa wewe na familia yako,huwezi kufanya maamuzi kama hujiamini na huwezi kujiamini kama hujafanya tafiti.
Mimi nina uwezo wa kujidunga damu ya mtu ambaye anatumia ARVs kwa kuwa najua ukweli,Je,wewe unaweza?
 
Hivi ushawahi kusikiliza Hata Matangazo mkuu? Hata Matangazo yanakuambia mtu anayepata HIV si Amepata Ukimwi ila Magonjwa Nyemelezi kama TB n.k yakikupata ndipo unapata Ukimwi. Ndio maana Hata Deception anasema HIV ni Hewa Tu kinachotakiwa kuogopwa ni Hayo magonjwa Nyemelezi maana Bila Yenyewe kuwepo na HIV hayupo pia. Maana Bila TB kumshambulia Mgonjwa au Parasites wakasababisha aarishe Basi HIV hawezi kumfanya Mtu Chochote kile..

Ndo maana Wanatangaza Vita zidi ya Magonjwa Nyemelezi sana kuliko hata Huyo HIV mwenyewe.......

Hii inamaana HIV hajaqualify kuitwa Mdudu maana Hawezi Ku stand Alone akasababisha Mtu akafa ila Magonjwa hayo ambayo Ni Nyemelezi kama Vile TB ambayo inaweza Kumfanya Mtu akonde.. Akohoe mfululizo... Protozoa zitakazomfanya Aharishe sanaa.... N.k ndizo zinasababisha Na Wala Si HIV..

Mi ndo nilivyomuelewa Deception

Na Tukipambana Na Hayo tu Magonjwa Jua Kuwa tumeshamshinda HIV nguvu maana Hana Jeshi. Au mtu akipatwa na TB au Protozoa wa Kumfanya Aharishe Na Tukawatibu hao TB na Protozoa basi Mgonjwa Napeta

Umejitahidi kuelezea,lakini humo nilipoweka rangi nyekundu umechanganya.Kama mimi ningekuwa ni wale madaktari,ningekushinda kwa hoja kirahisi sana.Subiri summary ninaiandaa inaweza kukupa mwanga wa mambo yote niliyoeleza.Nimeshaligundua hilo mapema kwa watu wengi ndio maana naandaa summary.
 
Watakacho fanya wakiona unaumwa malaria mara kwa mara wanakurundikia ma ARVs as if ukishayameza haya madawa huta ugua tena maleria maishani mwako...

Hiyo kwenye rangi nyekundu ni point kubwa sana ila wewe hujui tu.Hivi ndivyo vitu ambavyo watu wanatakiwa kujiuliza kabla ya kuanza kutumia ARVs.Je,sitaumwa tena?Kama nitaumwa tena je,ARVs zina faida gani mwilini?
Unapewa ARVs na wakati huohuo unapewa dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.Hivyo zigo la dawa linakuwa kubwa sana.Ninyi hamjui tu kama hiyo ni biashara inayofanyika kwa kutumia uongo wa kisayansi.Viwanda vya madawa vinatengeneza tani za dawa kila siku,we unafikiri wataziuzaje kama hamna wagonjwa?
Na kama hamna wagonjwa je,watapataje wagonjwa wa kuwauzia dawa?Jibu lake ni kwamba ili wapate wagonjwa wa kuwauzia dawa inabidi wahamasishe watu mitaani ili waende kupima HIV,na wakati mwingine wanatoa rapid test ili watu wajipige short wenyewe ,majumbani mwao na kama watajiona ni HIV+ lazima watatoka vyumbani wenyewe kuelekea kwenye vituo vya afya kupima bila kulazimishwa huku hofu imewajaa,ukifika kituo cha afya ukipima na mihofu yako majibu hayooo HIV+ na unapewa zigo la dawa hapohapo bila kuchelewa eti wanasema "early HIV treatment is better",hawa wapumbavu nini?Kwani mwanzo hawakulijua hili?
Hizo ndizo njia zao za kupatia wateja.They don't earn money when you are well,so they must force you to be sick and your government will pay for you the money for buying ARVs.Na ndio maana biashara ya madawa hasa haya ya ARVs inafanyika kati ya serikali na viwanda vya madawa,sio viwanda vya madawa na wewe.Ndio maana serikali inapiga sana chepuo kwenye vyombo vya habari kutoa matangazo ya kupima HIV,matangazo ya uzazi wa mpango halafu wanalazima kinamama watumie vidonge,kwani kufanya uzazi wa mpango lazima utumie vidonge?kwani hakuna njia nyingine hata zile za asili?hawa pumbavu nini?

Na ninakuhakikishia pia kuwa dawa hizi za ARVs na vidonge vya uzazi wa mpango zinakuja kuzaa magonjwa mengine kama vile cancer,ukiwa na cancer watakupeleka paleee Ocean Road ukawe mteja wao kwa mara nyingine tena kutumia dawa za cancer,na huo ndio utakuwa mwisho wako halafu tunakuzika.
Hivi kuna mtu alishawahi kujiuliza kwa nini sasa hivi wagonjwa wa cancer wameongezeka sana hasa kina mama?Kama mtu haamini aende Ocean Road kufanya utafiti.Anyway,mambo ni mengi sana mnahitaji kuyajua.

...lazima wataalamu wetu wa afya wafikirie kuja na mbinu mpya...

Ng'o,haiwezekani kuja na mbinu mpya,we unafikiri mbinu hii ya sasa wamekosea?Hawajakosea bali wamedhamiria,lengo lao sio kukuponya bali lengo lao ni kukufanya uendelee kuwa mgonjwa ili waweze kukuuzia dawa.Wanaomiliki viwanda vya madawa ndio haohao wenye nguvu serikali ya marekani,na ndio haohao wanaochokozaga vita na nchi nyingine ili waende kuiba mafuta nk.Sasa hawa watu wanaua watu wengi sana vitani,kina mama na vitoto visivyo na hatia havijaonja hata utamu wa maisha,Je,watu hawahawa wanaweza kuwa na upendo na wewe tena mtu mweusi uliyeko bara chafu la afrika kiasi kwamba wakujali kwa kukubembeleza ukapima HIV na kufanya uzazi wa mpango?
Hii ni biashara bwana!!!
 
Kwa kweli huu uzi toka nikifuatilia, deception Ana point Za msingi kabisa, japo nimeona case Za waathirika, Kuna possibility ya kuwa arv ni shida. Maana mimi pia nina mfano halisi, Kuna mke wa kaka yangu alifariki kwa ugonjwa huu miaka kadhaa iliyopita kama 6 hivi, tukajua na bro ndo basi tena, but hamaki jamaa alienda Pima Ili aanze arv but majibu yalikuwa v-, so Kuna siri kubwa nyuma ya hili swala. So tufanye tafiti binafsi tujue ukweli. Na sio kuropoka bila uthibitisho, maana haswa watanzania ni wazuri katika hili.

Basi madaktari wakiona mambo kama haya huwa wanamsingizia mungu."Aah! unajua mungu ana maajabu yake bwana".Hizi ndizo fikra zinazowafunga milango yao ya fahamu na hivyo hawawezi kamwe kuwa na sababu ya kuangalia upande wa pili.

Hebu kamuulize daktari yeyote kwa nini imetokea hivyo halafu uje utuambie amesemaje.Nasubiri kwa hamu sana jibu lako.
 
Hiyo kwenye rangi nyekundu ni point kubwa sana ila wewe hujui tu.Hivi ndivyo vitu ambavyo watu wanatakiwa kujiuliza kabla ya kuanza kutumia ARVs.Je,sitaumwa tena?Kama nitaumwa tena je,ARVs zina faida gani mwilini?
Unapewa ARVs na wakati huohuo unapewa dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.Hivyo zigo la dawa linakuwa kubwa sana.Ninyi hamjui tu kama hiyo ni biashara inayofanyika kwa kutumia uongo wa kisayansi.Viwanda vya madawa vinatengeneza tani za dawa kila siku,we unafikiri wataziuzaje kama hamna wagonjwa?
Na kama hamna wagonjwa je,watapataje wagonjwa wa kuwauzia dawa?Jibu lake ni kwamba ili wapate wagonjwa wa kuwauzia dawa inabidi wahamasishe watu mitaani ili waende kupima HIV,na wakati mwingine wanatoa rapid test ili watu wajipige short wenyewe ,majumbani mwao na kama watajiona ni HIV+ lazima watatoka vyumbani wenyewe kuelekea kwenye vituo vya afya kupima bila kulazimishwa huku hofu imewajaa,ukifika kituo cha afya ukipima na mihofu yako majibu hayooo HIV+ na unapewa zigo la dawa hapohapo bila kuchelewa eti wanasema "early HIV treatment is better",hawa wapumbavu nini?Kwani mwanzo hawakulijua hili?
Hizo ndizo njia zao za kupatia wateja.They don't earn money when you are well,so they must force you to be sick and your government will pay for you the money for buying ARVs.Na ndio maana biashara ya madawa hasa haya ya ARVs inafanyika kati ya serikali na viwanda vya madawa,sio viwanda vya madawa na wewe.Ndio maana serikali inapiga sana chepuo kwenye vyombo vya habari kutoa matangazo ya kupima HIV,matangazo ya uzazi wa mpango halafu wanalazima kinamama watumie vidonge,kwani kufanya uzazi wa mpango lazima utumie vidonge?kwani hakuna njia nyingine hata zile za asili?hawa pumbavu nini?

Na ninakuhakikishia pia kuwa dawa hizi za ARVs na vidonge vya uzazi wa mpango zinakuja kuzaa magonjwa mengine kama vile cancer,ukiwa na cancer watakupeleka paleee Ocean Road ukawe mteja wao kwa mara nyingine tena kutumia dawa za cancer,na huo ndio utakuwa mwisho wako halafu tunakuzika.
Hivi kuna mtu alishawahi kujiuliza kwa nini sasa hivi wagonjwa wa cancer wameongezeka sana hasa kina mama?Kama mtu haamini aende Ocean Road kufanya utafiti.Anyway,mambo ni mengi sana mnahitaji kuyajua.

Ng'o,haiwezekani kuja na mbinu mpya,we unafikiri mbinu hii ya sasa wamekosea?Hawajakosea bali wamedhamiria,lengo lao sio kukuponya bali lengo lao ni kukufanya uendelee kuwa mgonjwa ili waweze kukuuzia dawa.Wanaomiliki viwanda vya madawa ndio haohao wenye nguvu serikali ya marekani,na ndio haohao wanaochokozaga vita na nchi nyingine ili waende kuiba mafuta nk.Sasa hawa watu wanaua watu wengi sana vitani,kina mama na vitoto visivyo na hatia havijaonja hata utamu wa maisha,Je,watu hawahawa wanaweza kuwa na upendo na wewe tena mtu mweusi uliyeko bara chafu la afrika kiasi kwamba wakujali kwa kukubembeleza ukapima HIV na kufanya uzazi wa mpango?
Hii ni biashara bwana!!!

Ok, nina swali kidogo apa linanitatiza,

1. Ninavyojua mimi ukishagundulika na HIV utapewa dawa za ARV pamoja na masharti ya kula vyakula maalumu pamoja na kufanya mazoezi na kunywa maji kwa wingi yaliyo safi na salama, mi nilihisi labda kwa kuwa ARV inapunguza makali ya hivyo virus pamoja na kuongeza maisha kama inavyosemekena, je? Kama izo ARV zinafanya izo kazi mwilini, kwa nini kuna masharti tena ya kula vyakula?, kwa nini usiruhusiwe kula vyakula vya kawaida kama watu wengine, kwa kuwa izo ARV zinaenda kuua wadudu Automatically? NIZIAMINI ARV AU LISHE BORA??, kama ARV zinafanya kazi hyo kwa nini wabaguliwe kula vyakula? Ni kwa ajili ya izo dawa ndio zinataka aina hiyo ya chakula au?

Mi nilijua ukipewa ARV utaambiwa urudi kwenu uendelee na maisha yako ule chakula unachotaka, kama mrenda, kunde, maharage, makande utajijua wewe, yani imradi tu uwe umeshiba na kunywa maji mengi kwa ajili ya dawa, je kuna mahusiano yeyote kati ya special diet na ARV? Deception, Deception Deception Deception
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu, lakini unampango wa kucompile hiyo research yako?

Yes,lakini bado nafikiria jinsi ya kufanya ili kiwafikie watu bila kuniletea madhara.Hii ishu inanitatiza sana kiusalama.Kuhusu kushtakiwa hilo halinipi hofu kwa kuwa najua nitashinda kirahisi sana,suala kubwa hapa ni usalama wangu,maana nagusa biashara ya watu tena watu wazito halafu mimi mwenyewe ni mlalahoi tu.
 
Yani bado narudi pale kwamba ndugu yetu kauliza mambo ya msingi sana. Na yawezekana umeshajibu huko awali na post ni nyingi, ila unazijua zako. Ishu ni kwamba, Kwa nini Bukoba walikufa sana kuanzia baba, mama, watoto, mahawara, n.k? tena kwa dalili zile zile? Nasikia pia wapo watu wanaoitwa carrier (sijui kama ni sahihi). Hawa wanaambukiza tu ila hawaugui HIV.

Unahitaji maelezo mapana sana hapa,inabidi niunganishe reply nyingi ili uweze kupata picha na sasa kuna page nyingi sana.Lakini pia,kwa kifupi,wakati namjibu yule jamaa mwingine nilizungumzia swali lako kwamba halina details za kunifanya mimi niweze kukujibu,umeeleza tu mtiririko wa watu kufa kwa dalili zinazofanana bila kutaja dalili zenyewe ni zipi ulizoziona?,ulikuwa mwaka gani?,wewe mwenyewe ulikuwa na umri gani wakati huo?,watu hao walikuwa na hali gani kiuchumi?,walikuwa wanaishi maisha ya namna gani(yaani tabia na utaratibu wao wa maisha)?,walipimwa ama hawakupimwa magonjwa yao?,kama walikuwa wanatumia dawa yoyote basi utaje ni dawa gani? nk.
Mambo haya nikiyajua ndio naweza kuelezea kwa ufasaha.Unajua watu wengi kasumba hii imewaingia vichwani kiasi kwamba wanaona kuna mambo ni vigumu sana kuyaelezea,lakini ninakwambia kwamba hakuna ugumu kabisa,kila kitu kinaelezeka kwa urahisi kabisa tofauti na unavyodhani na kwa hoja zenye mashiko bila kubabaisha.Kama ukinipa details hizo bila kudanganya na bila kutumia hisia zako binafsi na kufoji taarifa,basi nina uwezo wa kukueleza ni sababu gani iliyowafanya wafe hivyo kwa kufanana dalili.

Concept ya carriers sio valid kwa HIV.HIV ni jina alilopewa retrovirus ambaye alikuwapo enzi na enzi ili aonekane kwamba ana sifa ya kushusha kinga kama jina linavyojieleza lenyewe.Lakini ukweli ni kwamba,hakuna retrovirus yoyote duniani mwenye uwezo wa kushusha kinga.Hakuna scientific evidence yoyote inayoweza kuthibitisha kwamba HIV anashusha kinga.
Sasa basi,retrovirus huwa wana knobs/spikes ambazo ndizo huzitumia kuingia kwenye cell.Ili waweze kuingia kwenye cell inabidi cell yenyewe iwe na co receptor ya kuruhusu retrovirus ku attach knob yake kwayo na kuingia kwenye cell.Sasa kuna watu hawana hizi co receptors,na watu wa namna hii ndio huwa wanasema hawaugui,yaani hawadhuriki.Concept hii ni sahihi kwa retrovirus,lakini concept hii kuwa sahihi haimaanishi kwamba HIV ndio anasababisha kushuka kwa kinga.Kuingia kwenye cell na kushuka kwa kinga ni vitu viwili tofauti.

Kuna watu wawili wamegundua huyo kirusi,mmoja Ufaransa na mwingine Marekani.Baada ya kumaliza ugunduzi wao feki kila mtu akatoa jina lake kwa kirusi huyo,baada ya hawa watu kukutana pamoja eti wenyewe wakaona kumbe virusi hivyo viwili vinafanana na hivyo wakakubaliana kutoa jina moja na kukiita HIV.Kwa hiyo HIV ni jina tu waliloamua watu wawili tu kumpa huyu kirusi bila hata ku publish any scientific paper/proof ili wanasayansi wengine wenye uwezo kama wao na kuwazidi wao nao wachambue ugunduzi wao,hivyo walificha.Lakini baada ya wenyewe kusema genetic composition ya huyo kirusi hadharani ndio wanasayansi wengine kusema "ahaaaa,kumbe ninyi mmegundua retrovirus",wakaendelea kusema "kutokana na hiyo genetic comp ya huyo virus,basi ninyi(wakimaanisha wale wagunduzi) mnazungumzia retrovirus",wakaendelea kusema "Lakini mbona retrovirus wote hawana uwezo wa kusababisha AIDS?,hebu tuelezeeni wanasababishaje AIDS?"Sasa hapo ndipo ugomvi ulipoanza kati ya wagunduzi wa huyo HIV na wale wanasayansi wanaopinga.Mpaka leo hii tunavyozungumza hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuelezea kwamba HIV anashushaje kinga mbele ya jopo la wanasayansi wengine makini,hakuna.

Sasa kwa sababu hata wenyewe wanajua kwamba HIV hawezi kushusha kinga,ndio maana dawa wanazotoa za ARVs wamezitengeneza kwa kuweka composition fulani ambazo ndizo husababishwa yale magonjwa unayoyaona kwa mtu anayezitumia huku wewe ukidhani kwamba HIV ndiye anayesababisha,kumbe si HIV bali ni ARVs.Sasa kwa kuwa tumeshakuwa brainwashed akili zetu hadi leo tunaendelea kuamini kwamba HIV anasababisha AIDS.Ujinga huu unatufanya tumeze ARVs ambazo ndizo sababu halisi sasa zinazoleta magonjwa kwa mtumiaji.Sisi kwa ujinga wetu tunajua HIV=AIDS,kumbe ukweli ni kwamba ARVs=AIDS,hii ndio hatari inayojitokeza kama sayansi itatumika vibaya kudanganya watu.

Na hii imejidhihirisha na inaendelea kujidhihirisha kwamba HIV hawezi kusababisha AIDS na hata mtaani kuna mifano mingi tu inajionesha wazi.Pale penye mikanganyiko hawa jamaa wagunduzi huwa wanatunga theory za kuwafanya watu wasipoteze imani kutokana na mikanganyiko inayojitokeza,yaani kuwafanya watu waendelee kuamini kwamba HIV anasbabisha AIDS,hii mikanganyiko yote inatokea kwa kuwa kile walichosema hawa wagunduzi kuhusu HIV si kweli.
Anyway tuishie hapo,naenda kulala.
 
Ok, nina swali kidogo apa linanitatiza,

1. Ninavyojua mimi ukishagundulika na HIV utapewa dawa za ARV pamoja na masharti ya kula vyakula maalumu pamoja na kufanya mazoezi na kunywa maji kwa wingi yaliyo safi na salama, mi nilihisi labda kwa kuwa ARV inapunguza makali ya hivyo virus pamoja na kuongeza maisha kama inavyosemekena, je? Kama izo ARV zinafanya izo kazi mwilini, kwa nini kuna masharti tena ya kula vyakula?, kwa nini usiruhusiwe kula vyakula vya kawaida kama watu wengine, kwa kuwa izo ARV zinaenda kuua wadudu Automatically? NIZIAMINI ARV AU LISHE BORA??, kama ARV zinafanya kazi hyo kwa nini wabaguliwe kula vyakula? Ni kwa ajili ya izo dawa ndio zinataka aina hiyo ya chakula au?

Mi nilijua ukipewa ARV utaambiwa urudi kwenu uendelee na maisha yako ule chakula unachotaka, kama mrenda, kunde, maharage, makande utajijua wewe, yani imradi tu uwe umeshiba na kunywa maji mengi kwa ajili ya dawa, je kuna mahusiano yeyote kati ya special diet na ARV? Deception, Deception Deception Deception

1.Wenyewe wenye HIV wao,yaani wale wanaomiliki huyo HIV wanakwambia ARVs haziui HIV bali zinazuia HIV ku multiply/kuongezeka.

2.Hilo la kula vyakula bora nk,hao wahudumu kwenye vituo vya afya wanaliona si la msingi kuzidi ARVs,yaani msosi ni muhimu ila ni kama subsidiary halafu ARVs ndio lazima,kumbe ukweli ni kwamba msosi na mambo mengine kiafya ndio lazima halafu ARVs ni za kuzitupa kabisa tena 'dispose with care'.

Tena hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuelewa,we refer kwa yule mungu wa watu wanaoamini HIV anasemaje kuhusu misosi na mambo mengine.Kama mungu wao amesema vile,basi wote walio tofauti na yeye ni waongo.Hebu mfuatilie tena yule mzee urudie alichokisema.

"We can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system get rid of the virus within few weeks,if you have good immune system"
"This is the knowledge that is completely neglected,people always think of drugs(ARVs) and vaccine"
"You know health care institutions do not get this kind of advice(nutrition advice) because there is no profit"-Yaani hapa viwanda vya madawa haviwezi kukwambia ule chakula bora kwa kuwa ushauri huo kwao haulipi,na badala yake watasisitiza ule ARVs,na pia ukila vyakula bora na kufanya mazoezi hutaumwa mara kwa mara hivyo watakosa wateja.

Hayo ni baadhi tu aliyosema huyu mgunduzi.Akili kichwani.
 
Raper Easy E alikufa na ukimwi miaka ya 90.....michael johnson akajitangaza ana HIV na mpaka leo anadunda na dozi. kitu Cha maana ulichokiongea ni kimoja tu kuwa kama huli mlo kamili na unameza ARV lazima utakufa tu . Hakuna jinsi ya kuokoka . So badili heading yako andika ARV inasaidia unapopata mlo kamili. Basi . Usiongeze chochote .........Babu wa loliondo alianza hivi hivi akapata wagonjwa nchi mzima hadi nchi jirani....... Huyu sasa anakuja na style ya kuwa kafanya utafiti. Mimi namuuliza kafanya utafiti lini, wapi na chuo gani. Kama binafsi je ana vifaa. Wapi paper zake ili watu wazipitishe kisayansi . Paper huna unatumia paper za watu harafu unashauri watu waache kula dawa . Harafu kuna swali nilimuuliza akalikwepa kabisa .....ukimwi haupo tanzania wala africa peke yake . Ukimwi upo China ,India , Thailand , UK, Marekani tena upo mwingi sana washngton state . In short ukimwi upo dunia nzima . Sasa swali je huko wanatumia dawa za kupunguza makali yaani kama hizi ARV au hawatumii. Na kama hawatumii katika utafiti wako ambao sasa nauita FAKE je wanatumia dawa gani ? Mimi nimeshawahi kuona kwa macho yangu mchina anakunywa dawa same ARV lakini katoka nayo kwao China . Na anameza nadhani kila mwezi kidonge kimoja au kila mwaka na nilipomuhoji alisema atameza maisha yake yote . Bei yake ni kama dola 100 kwa kidonge ......achana na huyo . Kuna viongozi wa ngazi za juu na hata wabunge wangapi na wafanyabiashara wangapi wana HIV na wapo katika dozi hiyo hiyo ya ARV na wanadunda coz wana hela na wanafuatilia ratiba ya afya . Hawa watu wanaokufa wenye vipato vidogo ni kutokana na kunywa dawa bila chakula bora na hiyo inatokana na uchumi duni . Dawa yeyote ili ifanyekazi lazima iende na chakula bora otherwise itakutesa sana . Maana inaweza kuwa hata sumu . So ndugu please muogope Mungu wako . Acha kutafuta utajiri wa haraka haraka kupitia watu masikini kwa kisingizio cha eti umefanya utafiti. Kama umefanya utafiti weka paper upewe uprofesa . Achana na utapeli uchwara
 
Questions and Answers About AIDS
Dr. Raxit Jariwalla, professor of virology, is one of the world's leading researchers in the field of AIDS and nutrition. In this questions and answer section Dr. Jariwalla exposes the truth about the background of the ARV business with the AIDS epidemic.
More information
Back to introduction
Click here to read Dr. Raxit Jariwalla's biography.
Potential beneficiaries for whom these web pages were built: More
Does HIV exist?
Yes.
What does the diagnosis “HIV-positive” mean?
“HIV-positive” means that a person has antibodies to this virus – not necessarily the presence of an intact virus. The presence of antibodies to HIV only implies that the person at some earlier point was exposed to the virus.
Does HIV cause AIDS?
HIV has been linked to AIDS but, but there is no scientific evidence that it is the sole cause of AIDS. It is an undisputed scientific fact that it takes on an average 9 to 10 years (!) from HIV infection to the manifestation of the symptoms of AIDS in those who develop it. This is unlike other viruses such as measles or the flu, where it only takes a few days from the time of infection to the outbreak of the disease. These facts indicate that other factors contribute to AIDS development. They are discussed below.
Does everyone who is diagnosed “HIV-positive” develop AIDS?
No, not everyone does. There are many long-term survivors who had been diagnosed HIV-positive, but have remained free of AIDS symptoms for more than a decade. Based on WHO-Reports from 2001 about the annual appearance of new AIDS cases it can be estimated that the rate of AIDs development was 1.4% per year. This statistically says that from all people infected with HIV globally less than 20% develop AIDS even after a period of 13 years. This is particularly significant since at that time only a minority of the HIV-infected population was on ARV drugs.
Are there other causes of immune deficiency and AIDS?
Yes, there are. The most widespread cause of immune deficiencies is malnutrition, and in particular, insufficient intake of vitamins, minerals and other micronutrients. Scientific studies (Gray RH, 1983; Beach RS et al, 1992; Baum MK et al, 1995) have clearly shown that both, malnutrition derived from insufficient intake of protein as well as specific deficits in micronutrient intake (blood levels) have been linked to immune deficiencies, HIV-infections and AIDS.
What is “viral load” and does it correlate with the severity of AIDS?
Viral load is the concentration of the virus in the bloodstream. It is measured by quantifying the level of viral RNA in the blood plasma. Viral load has been thought to be a correlate of the progression of the AIDS disease; however, this relationship has been questioned.
So what is the significance of “viral load” and how does it relate to AIDS drug approval?
Initially, the measurement of viral load was introduced as a so-called “biomarker,” that is a measurable indicator for the successful suppression of the progression of AIDS disease. Soon thereafter it became clear that viral load was a poor substitute (surrogate) marker for AIDS. Nevertheless, early ARV drugs, such as AZT and nevirapine, were approved primarily on this criterion and even subsequent ARV drug approval has been based on it.
-
However, it was later recognized that patients taking ARVs and experiencing viral load reduction were not protected from developing AIDS. Today it is clear that viral load has been made a “surrogate marker” for the purpose of AIDS drug approval. Fact is, however, that viral load does not correlate with the progression of AIDS disease.
So what would be better “biomarkers” for AIDS?
AIDS is defined as an immune deficiency condition. The progression of this disease is best reflected by the status of immune cells in the blood in general comprising various types of white blood cells (leucocytes), including lymphocytes such as CD4 and CD8 cells, monocytes, macrophages and neutrophils.
Can ARVs cure HIV infections?
Anti-retroviral drugs (ARVs) are chemical compounds that were designed to inhibit steps in the multiplication of viruses of the same virus family (retroviruses). Fact is, however, that these drugs also affect the growth and multiplication of all normal cells in the body. ARVs can lower “viral load” in the bloodstream of a patient, however, these drugs do not eradicate the virus from the body and thereby eliminate the infection.
Can ARVs cure AIDS?
No, they cannot cure AIDS. At best, they keep HIV levels in check in the bloodstream, but they neither eradicate the virus nor rebuild (reconstitute) the immune system. Immune deficiency persists in the body even in the presence of ARV drugs. Infected persons remain susceptible to opportunistic infections, such as Tuberculosis, pneumocystis, fungal infections as well as other complications of AIDS
 
Back
Top Bottom