Yani bado narudi pale kwamba ndugu yetu kauliza mambo ya msingi sana. Na yawezekana umeshajibu huko awali na post ni nyingi, ila unazijua zako. Ishu ni kwamba, Kwa nini Bukoba walikufa sana kuanzia baba, mama, watoto, mahawara, n.k? tena kwa dalili zile zile? Nasikia pia wapo watu wanaoitwa carrier (sijui kama ni sahihi). Hawa wanaambukiza tu ila hawaugui HIV.
Unahitaji maelezo mapana sana hapa,inabidi niunganishe reply nyingi ili uweze kupata picha na sasa kuna page nyingi sana.Lakini pia,kwa kifupi,wakati namjibu yule jamaa mwingine nilizungumzia swali lako kwamba halina details za kunifanya mimi niweze kukujibu,umeeleza tu mtiririko wa watu kufa kwa dalili zinazofanana bila kutaja dalili zenyewe ni zipi ulizoziona?,ulikuwa mwaka gani?,wewe mwenyewe ulikuwa na umri gani wakati huo?,watu hao walikuwa na hali gani kiuchumi?,walikuwa wanaishi maisha ya namna gani(yaani tabia na utaratibu wao wa maisha)?,walipimwa ama hawakupimwa magonjwa yao?,kama walikuwa wanatumia dawa yoyote basi utaje ni dawa gani? nk.
Mambo haya nikiyajua ndio naweza kuelezea kwa ufasaha.Unajua watu wengi kasumba hii imewaingia vichwani kiasi kwamba wanaona kuna mambo ni vigumu sana kuyaelezea,lakini ninakwambia kwamba hakuna ugumu kabisa,kila kitu kinaelezeka kwa urahisi kabisa tofauti na unavyodhani na kwa hoja zenye mashiko bila kubabaisha.Kama ukinipa details hizo bila kudanganya na bila kutumia hisia zako binafsi na kufoji taarifa,basi nina uwezo wa kukueleza ni sababu gani iliyowafanya wafe hivyo kwa kufanana dalili.
Concept ya carriers sio valid kwa HIV.HIV ni jina alilopewa retrovirus ambaye alikuwapo enzi na enzi ili aonekane kwamba ana sifa ya kushusha kinga kama jina linavyojieleza lenyewe.Lakini ukweli ni kwamba,hakuna retrovirus yoyote duniani mwenye uwezo wa kushusha kinga.Hakuna scientific evidence yoyote inayoweza kuthibitisha kwamba HIV anashusha kinga.
Sasa basi,retrovirus huwa wana knobs/spikes ambazo ndizo huzitumia kuingia kwenye cell.Ili waweze kuingia kwenye cell inabidi cell yenyewe iwe na co receptor ya kuruhusu retrovirus ku attach knob yake kwayo na kuingia kwenye cell.Sasa kuna watu hawana hizi co receptors,na watu wa namna hii ndio huwa wanasema hawaugui,yaani hawadhuriki.Concept hii ni sahihi kwa retrovirus,lakini concept hii kuwa sahihi haimaanishi kwamba HIV ndio anasababisha kushuka kwa kinga.Kuingia kwenye cell na kushuka kwa kinga ni vitu viwili tofauti.
Kuna watu wawili wamegundua huyo kirusi,mmoja Ufaransa na mwingine Marekani.Baada ya kumaliza ugunduzi wao feki kila mtu akatoa jina lake kwa kirusi huyo,baada ya hawa watu kukutana pamoja eti wenyewe wakaona kumbe virusi hivyo viwili vinafanana na hivyo wakakubaliana kutoa jina moja na kukiita HIV.Kwa hiyo HIV ni jina tu waliloamua watu wawili tu kumpa huyu kirusi bila hata ku publish any scientific paper/proof ili wanasayansi wengine wenye uwezo kama wao na kuwazidi wao nao wachambue ugunduzi wao,hivyo walificha.Lakini baada ya wenyewe kusema genetic composition ya huyo kirusi hadharani ndio wanasayansi wengine kusema "ahaaaa,kumbe ninyi mmegundua retrovirus",wakaendelea kusema "kutokana na hiyo genetic comp ya huyo virus,basi ninyi(wakimaanisha wale wagunduzi) mnazungumzia retrovirus",wakaendelea kusema "Lakini mbona retrovirus wote hawana uwezo wa kusababisha AIDS?,hebu tuelezeeni wanasababishaje AIDS?"Sasa hapo ndipo ugomvi ulipoanza kati ya wagunduzi wa huyo HIV na wale wanasayansi wanaopinga.Mpaka leo hii tunavyozungumza hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuelezea kwamba HIV anashushaje kinga mbele ya jopo la wanasayansi wengine makini,hakuna.
Sasa kwa sababu hata wenyewe wanajua kwamba HIV hawezi kushusha kinga,ndio maana dawa wanazotoa za ARVs wamezitengeneza kwa kuweka composition fulani ambazo ndizo husababishwa yale magonjwa unayoyaona kwa mtu anayezitumia huku wewe ukidhani kwamba HIV ndiye anayesababisha,kumbe si HIV bali ni ARVs.Sasa kwa kuwa tumeshakuwa brainwashed akili zetu hadi leo tunaendelea kuamini kwamba HIV anasababisha AIDS.Ujinga huu unatufanya tumeze ARVs ambazo ndizo sababu halisi sasa zinazoleta magonjwa kwa mtumiaji.Sisi kwa ujinga wetu tunajua HIV=AIDS,kumbe ukweli ni kwamba ARVs=AIDS,hii ndio hatari inayojitokeza kama sayansi itatumika vibaya kudanganya watu.
Na hii imejidhihirisha na inaendelea kujidhihirisha kwamba HIV hawezi kusababisha AIDS na hata mtaani kuna mifano mingi tu inajionesha wazi.Pale penye mikanganyiko hawa jamaa wagunduzi huwa wanatunga theory za kuwafanya watu wasipoteze imani kutokana na mikanganyiko inayojitokeza,yaani kuwafanya watu waendelee kuamini kwamba HIV anasbabisha AIDS,hii mikanganyiko yote inatokea kwa kuwa kile walichosema hawa wagunduzi kuhusu HIV si kweli.
Anyway tuishie hapo,naenda kulala.