Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mkuu nashukuru kwa majibu mazuri, naomba kuuliza swali dogo la nyongeza;
Nahisi kuna sehemu nimechanganya, post zako kule nyuma nimeelewa kuwa kinachoreact kwenye kipimo ni aina flani ya protein tu ambazo mtu yeyote anaweza akawa nazo, hii virus yenyewe inaonekanaje mwilini ikiwa kinachoreact ni kuwepo kwa aina flani ya protein na wala sio HIV?
Nahisi kuna sehemu nimechanganya, post zako kule nyuma nimeelewa kuwa kinachoreact kwenye kipimo ni aina flani ya protein tu ambazo mtu yeyote anaweza akawa nazo, hii virus yenyewe inaonekanaje mwilini ikiwa kinachoreact ni kuwepo kwa aina flani ya protein na wala sio HIV?
Ndio kipo,kirusi kinachoitwa HIV kipo,ila hakuna kirusi chenye sifa ya kuitwa HIV.Ila historia ya ugunduzi wake ni very tricky na ina mikanganyiko mingi sana,sitaki kwenda huko sasa kwa kuwa wewe bado ni mchanga kwenye mambo haya,ukikomaa sawasawa labda.
Ndio,hakisababishi AIDS.
Retrovirus aliyepachikwa jina feki la HIV alikuwapo tangu enzi na enzi na aliishi na anaendelea kuishi kwenye host wengi akiwemo binadamu na hajawahi kusababisha ukimwi enzi zote hizo.Kutokana na probability ya kumpata huyu virus kwenye damu ni vigumu sana kuambukizwa kwa njia nyingine kama vile sex(inakaribia kutowezekana),njia ambayo ni typical ni ile ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto nayo pia ni ndogo sana.CDC report inasema mtoto ana uwezekano wa kupata huyu kirusi kutoka kwa mama kwa 25% tu,ambayo bado sio significant.Na hata ukiwa na huyu kirusi si jambo la ajabu au kutisha kwa kuwa hana uwezo wa kusababisha AIDS,na pia awali ya yote hudhibitiwa na kinga ya mwili.
Sisi tumekuwa brainwashed kuaminishwa kwamba huyu kirusi ndiye anayesababisha AIDS,kitu ambacho si kweli na kuna scientific proofs nying sana kuthibitisha hilo.Sisi kwenye miili yetu kuna bifidus bacteria ambao husaidia digestion,lakini siku Obama akisema kwenye TV fulani kwamba bifidus bacteria ndiye anayesababisha cancer ya utumbo wote tutaamini bila kuhoji kwa kuwa Obama kasema,siku nikitokea mimi kajamba nani nikipinga kwa vielelezo watu watasema napotosha.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa huyu HIV feki.Yupo maisha yote,lakini tumeanza kumwogopa mwaka 1984 alipotangazwa kwamba ndiye "probable cause of AIDS",aliyekuwa probable cause na watu wakaamini kwamba ni probable cause sasa hivi amekuwa real cause of AIDS.Kwa kweli inahitaji jitihada na upeo wa hali ya juu sana wa kuelewa ukweli wa jambo hili.