Ninazo na leo ni siku ya 11 natumia ndan ya mda sahihi tok nimepewaKama kweli ulienda kupata dawa za kufubaza uko salama. Ila kama umekuja kutafuta huruma humu nakuhurumia sana maana hata sekunde moja inatosha kirusi kuingia mwilini . Hiv sio mpaka mchubuko hata majimaji yanayopatikana kwenye k hubeba hivyo virusi. Kumbuka pia kucheki na Homa ya ini
Nakubal kaka maan nmekua na mawaz san, na toka mda ule hat ckutaka tena mawasilian nae mpaka leo...sitaki na sitotak hat kwa wengnPole mkuu, Naimani hautapata pia fikiria kwanini Mungu amekupitisha hapo ndani yako unajua vyema njia zako.
Mimi nilipitia hali kama yako na yangu ni hatari maana nilitembea nae zaidi hata ya mara 20+ ...bila kusalisali nisingekuja kujua, Ila pia mwisho nipo safi nikiona mada ya HIV moyo unashtuka sana hahahah ni kama mtu aliewahi kung'atwa na nyoka.
Kila sala ninayosali ya shukrani huwa namshukuru Mungu kwa hili...niliandikia uzi kwenye hii avatar yangu.
Hali hiyo lazima upitie.... Mimi mwanzo nilikuwa namuogopa Mungu anisamehe.... Ila niliomba sana nimsamehe na nimsahau sahizi sina mawasiliano nae pia usimnyanyapae....do your best kujibu jibu badae potea...Nakubal kaka maan nmekua na mawaz san, na toka mda ule hat ckutaka tena mawasilian nae mpaka leo...sitaki na sitotak hat kwa wengn
Navyo vinaweka vipini puani?
Mimi naimani haujapata mkuu ukipitia thread yangu utacheka kimuhemuhe kilikuwa kikubwa ila pia kuipunguza hiyo tension na mawazo uwe unapima pima after mwez pima, baada ya hapo miez 2 utajikuta tu mwili umetulia na hofu imeondoka...Nakubal kaka maan nmekua na mawaz san, na toka mda ule hat ckutaka tena mawasilian nae mpaka leo...sitaki na sitotak hat kwa wengn
Mzuri sana mkuu....Ila futa hii itamletea shida binti mkuu nawewe....Uko sahihi kaka unaona alivo, najuta san
Naamin kaka na hapo nyuma huo ulikua ndo mtindo wang lakn sijui hii cku ilikuaj, kun mda nasem bor hat sikuiy nisingekuwep ili kupishan nae kabs, na ndo ilikua mar ya 1 lkn nachokishukur ni mda pia hatukuzid hap na hat izo 2 nimekadilia tu maan nadhan hat hapo ckufik nkaw nmemalzMimi naimani haujapata mkuu ukipitia thread yangu utacheka kimuhemuhe kilikuwa kikubwa ila pia kuipunguza hiyo tension na mawazo uwe unapima pima after mwez pima, baada ya hapo miez 2 utajikuta tu mwili umetulia na hofu imeondoka...
Baada ya mwaka kupita nikiwa safi aiseh sikuamini Ila Mungu mwema.
Upo salama mkuu...kama ni hatari mimi ilikuwa kubwa zaidi maana nahisi hata dawa alikuwa hatumii vizuri, kuna muda alilazwa week means dawa hakuwa anazingatia ila nilipona...Naamin kaka na hapo nyuma huo ulikua ndo mtindo wang lakn sijui hii cku ilikuaj, kun mda nasem bor hat sikuiy nisingekuwep ili kupishan nae kabs, na ndo ilikua mar ya 1 lkn nachokishukur ni mda pia hatukuzid hap na hat izo 2 nimekadilia tu maan nadhan hat hapo ckufik nkaw nmemalz
As long as you engage to risk factor, uwezekano upoJe, inawezekana mtu kupata HIV, kwenye sex chini ya dakika 2?! Ikiwa ulikutana nae anatumia dawa na wadudu wake ni wachache?
🤣🤣🤣Unachukua tizi ya ARV haya bhana 🤣🤔🤔
maliza hizo PEP kisha rudi upime kaka... Pia jipe moyo mimi nilimconfront ndio akakiri anatumia dawa hapo nimelala naumwa malaria/homa nikachanganyikiwa nikaenda hospital njiani nikawa nasema nikiwa nimeugua basi ni kheri nijiue tu..Saw kaka
🫱🏽🫲🏼 nakubal kakaUpo salama mkuu...kama ni hatari mimi ilikuwa kubwa zaidi maana nahisi hata dawa alikuwa hatumii vizuri, kuna muda alilazwa week means dawa hakuwa anazingatia ila nilipona...
Usihofu ni hali ya muda tu,utakuwa sawa na kilakitu kitaendelea vizuri chamsingi kushukuru Mungu umeshtuka mapema....maana wengine tuliahtuka baada ya kuota ndoto tena miaka 2 ikiwa imepita
Kwanini asikwambie ili ujikingeCkujua ila bdae nkaambiw na bahat wakat wa sex nlikua nawah job ko nlisukum mar kam 5 nkawa nmemaliz kaka, nlivomuuliz akasem anatumia dawa na hat alipima wing wa wadudu uko chin san, pia aliezaa nae sio mgonjwa
Vipimo vipo mkuu...ukapimeNilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana