Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Ndugu yangu sio kila mwanamke ni wa kuoa wengine ni mashetani hawafai kuolewa na mtu anajikuta amezaa nae kwenye kipindi ambacho binti ana igiza tabia njema na kumbe ni nyokaKazaa naye, kwanini asimuoe? nyie ndo mnasaidia kuongeza watoto wa mtaani.
Anyways, fanya uende moja kwa moja ukakutane na katibu mkuu wa wizara yake, japo kuingia ni mbinde sana.
Uwe na documents za kusapoti ombi lako.
Ameshatuma barua lakini kushughulikiwa zina delay na mda uo afya yake ya akili ina athirika kutokana na anayofanyiwaDuh kwan yeye hawezi omba huo uhamisho?
Kama mzazi wala usisubiri sababu mwisho wa siku unaweza poteza mtoto wako , simama kama mzazi ndiyo maana kuna msemo mtoto hakui kwa wazazi wake. Onyesha nini maana ya kuwa mzazi. Msaidie mtoto wako.Pole sana haya mambo yapo sana makazini na sababu mbali mbali zingine umekataa kushiriki dili, umesimamia sheria na taratibu, pengine una elimu zaidi, pengine una bidii kazini yanaweza yakakukuta kama hayaHabarini za asubuhi wapendwa
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa wanamfanyia mambo mabaya na kukawa na hatari ya wao kumharibia kazi
Naomba kuwasilisha wakuu.
Kama mzazi wala usisubiri sababu mwisho wa siku unaweza poteza mtoto wako , simama kama mzazi ndiyo maana kuna msemo mtoto hakui kwa wazazi wake. Onyesha nini maana ya kuwa mzazi. Msaidie mtoto wako.Pole sana haya mambo yapo sana makazini na sababu mbali mbali zingine umekataa kushiriki dili, umesimamia sheria na taratibu, pengine una elimu zaidi, pengine una bidii kazini yanaweza yakakukuta kama haya
Mwambie amuoe huyo bintiHabarini za asubuhi wapendwa
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa wanamfanyia mambo mabaya na kukawa na hatari ya wao kumharibia kazi
Naomba kuwasilisha wakuu.
Hawezi kumuoa kwasababu binti mwenyewe hataki
Jamaa yupo wapAmeshatuma barua lakini kushughulikiwa zina delay na mda uo afya yake ya akili ina athirika kutokana na anayofanyiwa
Lakin mkuu hukumkataza kijana wako asijihusishe na ngono anapoenda huko ugenini?Nashukuru kwa ushauri wako kwaio niende tu nikashughulikie kumsaidia kuomba wamuhamishe kutoka hapo alipo kwasababu alipo ndipo yupo uyo mwanamke na ukoo wake wote ila yeye uko ni mgeni sio kwao
Fanya juu chini aondoke hukoUna
Hawezi kumuoa kwasababu binti mwenyewe hataki
Sawa sawa nashukuru sana
Ndugu yangu kijana alijua amepata mke kumbe amepata nyokaLakin mkuu hukumkataza kijana wako asijihusishe na ngono anapoenda huko ugenini?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kazaa naye, kwanini asimuoe? nyie ndo mnasaidia kuongeza watoto wa mtaani.
Anyways, fanya uende moja kwa moja ukakutane na katibu mkuu wa wizara yake, japo kuingia ni mbinde sana.
Uwe na documents za kusapoti ombi lako.