Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake.
Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo.
Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya, kazi kwako uliyekwanguliwa tako upige mayowe na kelele mitaani kuwa amekutafuna wakati yeye yupo kimyaaa.
Haya yanayoendelea Lebanon ni wazi Israel wapo mbele sana kiteknolojia. Vyombo vyote vya electronic vinavyopokea signal kuanzia decoder, Smart devices na kadhalika vinaweza kugeuka silaha ya maangamizi.
Soma Pia: Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran