Nimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
Usifanye kienyeji wapate wahusika myajengeNimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
Muhimu ni ridhaa yao watoe ruhusa hata ukihamisha wewe,watu,au wao haina shida.Nikiongea na wahusika ili wahamishe wenyewe je?
Sio kawaida sana hii.. Kuna nini?Ulianzaje kununua kiwanja chenye makaburi?
Huo ni ushirikina mnataka mpatukuze ili iwejeBut still panaheshimika bado ndo maana ya nyumba ya milele.
Kaburi uondoa shaka ya asili ya mtu
Kwamba kwao ni pale na hili ndo kaburi la baba,babu yake.
Huo ndio ukweliMtu akishakufa amekufa
Embu ondoa uchafu huo
Labda kama unatumia kampuni hapo haizidi laki 3.Kiwanja cha milioni 3.5 nihamishe makaburi kwa milioni 6 = 9.5M,rudisheni pesa zangu.
Ushauri mbovu kutokea[emoji23]Mtu akishakufa amekufa
Embu ondoa uchafu huo
Linapokuja masuala ya sheria kaburi huwa ni shahidi pia Ili kuondoa shaka. mfano mambo ya uraia,siasa,ajira serikaliniHuo ni ushirikina mnataka mpatukuze ili iweje
Ushirikina hautendi Kazi bila Iman.Mfano kumuomba marehemu akusaide.Huo ni ushirikina mnataka mpatukuze ili iweje
Nimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
Mtatizo mengine huwaga mnajitaftia tu.
Makaburi si yakuish nayo, ni vile tu hii nchi mipango miji ni hovyo.
Kuhamisha makazi ya wafu huo ni upuuzi maana inakuwa ni dharau na kashifa, hata wew hupendi kusumbuliwa ukiwa umelala, je kwanini uwasumbue hao waliopp kaburin?
Uza icho kiwanja katafte mahala pengine, na nikuonye ole wako uharibu ama uhamishe hayo makaburi, majibu utayapata baada ya muda, na hakika utarudi hapa kutupa ushuhuda na kuomba ushaur wa jinsi ya kuwakimbia mizimu..ole wako kijana, be respectively kwa waliolala
Mhn.. SidhaniHakuna madhara... Watu wanafukua watu wa kale...
Toa muongozo...Mhn.. Sidhani