The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kampeni pia umesahau Watanzania Familia zao/Watoto wao hata wakose Chakula au wakose kazi kwao sio muhimu sana muhimu ni Yanga na Simba zipate mafanikio.Huo ujinga haupo , bongo ni kupenda sifa tuu wala hamna la maana....
ππ Bora hata wewe umeweza kuvumilia na kumsikiliza kujua kuwa anabwata, mimi hata muda wa kusikiliza huo uchafu huwa sina.Hapa kwetu waziri ni koti la kisiasa tu. Hawana kazi yoyote yenye mashiko zaidi ya kuleta porojo za kisiasa tu.
Ukimsikiliza Pindi Chana anavyobwata wnaonekana kabisa hana anachojua kuhusu soka.
Mkuu nimejitahidi sana kuvumilia. Maana anatia kinyaa na anasababisha kichefuchefu anapoongeaππ Bora hata wewe umeweza kuvumilia na kumsikiliza kujua kuwa anabwata, mimi hata muda wa kusikiliza huo uchafu huwa sina.