Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.

Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
 
Hapa kwetu waziri ni koti la kisiasa tu. Hawana kazi yoyote yenye mashiko zaidi ya kuleta porojo za kisiasa tu.

Ukimsikiliza Pindi Chana anavyobwata wnaonekana kabisa hana anachojua kuhusu soka.
😂😂 Bora hata wewe umeweza kuvumilia na kumsikiliza kujua kuwa anabwata, mimi hata muda wa kusikiliza huo uchafu huwa sina.
 
Back
Top Bottom