FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu wasiozidi 20, kuwaomba wasiingize nchi utumwani kwa kugawa bure rasilimali za taifa, lakini kwa dharau na kejeli kubwa ndio wanazidisha.
Au ni ule Mwenge unaozungushwa nchini kila mwaka ndio unapumbaza watu akili, what is the mechanism? Watu milioni 60 vs watu 20, where is the logic?
Au ni ule Mwenge unaozungushwa nchini kila mwaka ndio unapumbaza watu akili, what is the mechanism? Watu milioni 60 vs watu 20, where is the logic?