Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

Wabinafsishe na shirika la ndege Ningewaona ni ma jini asi
 
Hao majizi ya mali za umma wafilisiwe kabisa.
 
Kuliko kuwauzia waarabu bandari baada ya kukiri kushindwa KAZI,

Ni Afadhali wangekabidhi Nchi Kwa CDM idhibiti wezi na kuziba mianya ya wizi na kuongeza mapato ya nchi.

Hii Nchi Si Mali ya CCCm pekee 🙏🙏
HIVI KWA AKILI ZAKO UNAWACHUKULIA CHADEMA KIPOAPOA 😂😂 KALAGHA BAO JITIHADA ZOTE ZA CHADOMO NI ILI NA WAO WAPATE NAFASI YA KUKWIBA ZAIDI, OFISI TU, ZIMEWASHINDA ILA MAJUMBA DUBAI WAMENUNUA HAWAKO KIPOAPOA HAWA JAMAA.
 
KWA VIONGOZI WA TANGANYIKA INAWEZEKANA KABISA km Katiba iliyopo alifungwa na Watu 20 lakini leo INAWATESA Watu zaidi ya MILIONI 60
 
Utakuwa umekosea sana ukidhani ni watu 20 tu.Umewahi kufikiria wale walio nyuma yao?Umewahi kufikiria silaha zote zilizoingia nchini kihalali zinawalinda wao?
 
Ndo washaamua sasa na hamna mnaloweza kuwafanya zaidi ya kulialia humu
 
Utakuwa umekosea sana ukidhani ni watu 20 tu.Umewahi kufikiria wale walio nyuma yao?Umewahi kufikiria silaha zote zilizoingia nchini kihalali zinawalinda wao?
Silaha hizo hizo zinaweza kuwageukia wao katia muda na saa wasioijua, hivi unagawaje nchi bure?! Si bora angeiuza tugawane pesa?!

 
Sasa kama ukiwa Rais wa Nchi inashindwaje kusimami rushwa?,hivi kweli kabisa hata kwa MTU tahira unawwza ukamweleza na binafsisha jambo X kwa kuwa rushwa imekithiri tena ukiwa wewe ndio mwenye mpini wa kuweka order.

Jamani teteeni vitu vyenye mantiki basis,hata kama ukiwa chawa wa MTU sometime ruhusu akili kuwaza kidogo
 
Yule mungu wenu pamoja na mbwembwe zoote hufahamu palimshinda pia? Au unajitoa ufahamu?
Hufahamu yule DC wa kigamboni alivyongamua wizi wa mafuta nyakati zile za mungu wenu na akaishia kufukuzwa kazi yeye na mungu wenu akakaa kimyaaa kana kwamba hamna lolote!
 
Wanajua sana tu.
Yule aliwaanisha kabisa kama ndiye Mungu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…