Una injili original tufananishe na hii unayosema imeharibiwa?Injili ya asili iliyoteremshwa kwa Nabii Isa (عَلَیهِالسَّلام) haipo tena katika umbo lake la awali.Maandiko yaliyopo sasa yamepotoshwa na kubadilishwa na wanadamu kwa nyakati tofauti.
Aidha Qur’an ni kitabu kingine cha Allah kama ilivyokuwa Injil asilia.
ACHA UPOTOSHAJIAllah ndio aliyempa Musa Taurati
Quran 7:144
(Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Musa! Mimi nimekuteuwa wende kwa watu na Ujumbe wangu na maneno yangu. Basi chukua niliyo kupa na uwe katika wanao shukuru.
Quran 7:145
Na tukamuandikia katika mbao kila kitu, mawaidha na maelezo ya mambo yote. (Tukamwambia): Basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake. Nami nitakuonyesheni makaazi ya wapotofu.
Ila kitu ambacho nyinyi wagalatia hamkijui ni kuwa Taurati ilikuwa Sheria Kwa Wana wa Israel tu
Na Quran ni Sheria Kwa ajili ya watu wote Dunia mzima labda ukatae wewe mwenyewe kuifuata
kama unao ushahidi wa kimaandiko kuwa Mungu aliyempa Taurati nabii Musa sio Mungu aliyempa Quran nabii Muhammad weka hapa tuone
kwa mujibu wa Biblia, Yesu atamfufua Muhammad na watu wote siku ya mwisho. Hili linaungwa mkono pia na Quran, ambayo inakiri kwamba Yesu alikuwa na uwezo wa kufufua wafu kwa idhini ya Mungu. Katika Ukristo, Yesu si binadamu wa kawaida tu, bali ni Mwana wa Mungu mwenye mamlaka ya uzima na mauti (Ufunuo 1:18).Ni kweli Mtume Muhammad ﷺ amefariki na hajafufuka na hatofufuka mpaka siku ya kiama na atakayemfufua ni Allah na si yesu ambaye ni binadamu kama yeye.
Kwahiyo Zaburi aliteremshiwa nabii Daudi? Daa jamani mie niishie hapa.Hakuna bible original ila vitabu ila kuna vitabu vitabu vya Allah ambavyo ni original kabla ya Qur'an navyo ni Zabur,Taurat na Injil
Hata hivyo, kutokana na uingiliaji wa wanadamu, vitabu hivi vilipoteza usahihi wa asili yake. Kwa sasa, nakala zinazopatikana za Taurat na Injili ni zile zilizorekebishwa na kuhaririwa na wanadamu, na hivyo haviwezi kuaminika kama vitabu vya asili vilivyoteremshwa na Allah. Kwa upande mwingine, Zabur, ambayo ni kitabu alichoteremshiwa Nabii Daudi عَلَیهِالسَّلام, haipo tena katika umbo lake la asili, na hivyo hatuwezi kuipata katika hali yake ya awali.
Una Zaburi ,Torati na injili original tufananishe na hizi unazosema zimechakachuliwa?au umekaririshwa na MASHEIKH ubwabwa kina Mazinge wauza maji na mafutaHiyo Biblia imetengenezwa kutoka kwenye scriptures za Zabur,Taurat na Injil.Ikaongezewa maandiko mengine mapya na pia kuondoa baadhi ya maandiko ili kukidhi maslahi ya hao watungaji wa hiyo biblia.
Sasa kwa kuwa biblia imetokana na vitabu vya kweli,kuna baadhi ya maandishi hayajapotoshwa na baadhi yake ni hayo.
Mudy kila aliyesimuliwa kuhusu wayahudi anamuita nabiiKwahiyo Zaburi aliteremshiwa nabii Daudi? Daa jamani mie niishie hapa.
Daudi alikuwa nabii? Mbona nyie waongo mpaka shetani anakuja kichwa nakujiuliza mmeyapata wapi haya!😭😭😭😭, Nàkuombea Mungu akuguse ili utoke kwenye hilo giza Totoro.
Tena Mungu tunaye msoma katika biblia na huyo Allah ni vitu viwili tofauti, hata huyo Allah atakuwa anawashangaa😅😅😅😅ACHA UPOTOSHAJI
1. Taurati ilipewa Israeli, lakini mpango wa Mungu ulikuwa wa mataifa yote kupitia Yesu.
2. Quran si mwongozo wa mwisho kwa wanadamu wote; wokovu uko kwa Yesu Kristo pekee.
3. Mungu wa Biblia na Mungu wa Quran ni tofauti, kwani mafundisho yao juu ya Yesu na wokovu yanapi
ngana.
Yaani wanachekeshaga hawa jamaa maana hata ukichukia utaumia moyo na roho, ngoja tuwaombee tu siku moja watatembelewa na nguvu ya YESU.Mudy kila aliyesimuliwa kuhusu wayahudi anamuita nabii
Jamaa wanapenda kujibebisha na kujinasibisha na Uyahudi na ukristoTena Mungu tunaye msoma katika biblia na huyo Allah ni vitu viwili tofauti, hata huyo Allah atakuwa anawashangaa😅😅😅😅
Waislamu kazi Yao ni kupigania dini tu😂 hapo anatetewa mtume,unatetewa uislam, wakati mtume aliwaandikia waislam kwamba Yesu ni roho wa MUNGU.Onyesha Ushahidi Kwa kupinga Hoja Sio Kuitoa Hoja Mashiko.iliyoletwa
Yah Yesu atafanya kitu, Mimi nilikuwa huko, na nawafahamu wengi tu Yesu amewatoa hukoYaani wanachekeshaga hawa jamaa maana hata ukichukia utaumia moyo na roho, ngoja tuwaombee tu siku moja watatembelewa na nguvu ya YESU.
Yaani wanajua kujipendekeza hao watuJamaa wanapenda kujibebisha na kujinasibisha na Uyahudi na ukristo
Amina, mie huwa nawahubilia wengine huniuliza basi nawambukiza upako, KRISTO YESU anazidi kutukuka.Yah Yesu atafanya kitu, Mimi nilikuwa huko, na nawafahamu wengi tu Yesu amewatoa huko
Yesu ni Jana Leo hata milele ,ndani ya Yesu ni rahaAmina, mie huwa nawahubilia wengine huniuliza basi nawambukiza upako, KRISTO YESU anazidi kutukuka.
Kwa nini mnaabudu miungu mingine sasaHamna kiitu hapo. Allah ni "miungu mingine" tuliyoambiwa tusiiabadu. KUT 20
Soma kwenye komenti za juuUna injili original tufananishe na hii unayosema imeharibiwa?
Wapi katika Qur’an imesemwa kuwa Yesu atafufua watu.kwa mujibu wa Biblia, Yesu atamfufua Muhammad na watu wote siku ya mwisho. Hili linaungwa mkono pia na Quran, ambayo inakiri kwamba Yesu alikuwa na uwezo wa kufufua wafu kwa idhini ya Mungu.
Mbona wenzako wanasema yesu ni Mungu?Yesu si binadamu wa kawaida tu, bali ni Mwana wa Mungu mwenye mamlaka ya uzima na mauti (Ufunuo 1:18).
Yesu ana majina mengi, pia ni Mungu ana Sifa zote za Mungu ,swali jingineMbona wenzako wanasema yesu ni Mungu?
Yesu ni Mungu 100% ni Mungu wa kurithi Uungu ,ana Sifa zote unazozojua za UUNGUWapi katika Qur’an imesemwa kuwa Yesu atafufua watu.
Umesema yesu alipewa uwezo wa kufufua watu kwa idhini ya Mungu kwa hiyo unakiri yesu sio mungu?