Sawa, haimuondolei uumungu wake kwanini alikubali kufa msalabani"Aliutwaa mwili, akawa mwanadamu". Lakini haimuondoleo Umungu wake
Kuna aliekwambia ni mtu mmoja?Hoja zipi hapo, kwanza Unajua Isa na Yesu ni watu wawili tofauti hawajuani kabisa ?
Nawewe Leta ushahidi kuwa Yesu sio mungu,,, Mimi sipinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu kwa kuwa hata Sheria za nchi yeti zinaruhusu mtu kuabudu chochote bila kukiuka Sheria za nchi Mimi naungana naninyi nyote nanaheshimu hizo Imani zenu.Kwa hiyo wewe ni miongoni mwao ndio maana unasema "uongo wetu"?
Lete ushahidi kuwa Allah sio Mungu
Hujaeleweka
nimekuambia huwezi kuamini kitu unachokijua nakukiona, bali utaamini kitu unachokisikia na hukijui na haujawahi kuliona.
Sasa kama unaungana na sisi sote kwa nini unataka nikupe ushahidi kuwa yesu sio mungu wakati wewe unaungana na mimi kuwa yesu sio munguNawewe Leta ushahidi kuwa Yesu sio mungu,,, Mimi sipinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu kwa kuwa hata Sheria za nchi yeti zinaruhusu mtu kuabudu chochote bila kukiuka Sheria za nchi Mimi naungana naninyi nyote nanaheshimu hizo Imani zenu.
Amina kubwa.Yesu ni Jana Leo hata milele ,ndani ya Yesu ni raha
Mbona sasa ulikuwa hujui kuwa Daudi alikuwa nabiiAmina kubwa.
Naweza kuungana na wewe unavyosema unaamini kitu usichokiona lakini kusema kuwa unaamini kitu usichokijua ni uongoNawewe Leta ushahidi kuwa Yesu sio mungu,,, Mimi sipinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu kwa kuwa hata Sheria za nchi yeti zinaruhusu mtu kuabudu chochote bila kukiuka Sheria za nchi Mimi naungana naninyi nyote nanaheshimu hizo Imani zenu.
Nimekwambia Mimi sijapinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu, ninachotaka wewe uelewe nikwamba mungu wake ni yesu na anaamini huyo mungu wake atamfufua Muhammad,Sasa kama unaungana na sisi sote kwa nini unataka nikupe ushahidi kuwa yesu sio mungu wakati wewe unaungana na mimi kuwa yesu sio mungu
Kwani wewe unamuamini Allah unamjua?Naweza kuungana na wewe unavyosema unaamini kitu usichokiona lakini kusema kuwa unaamini kitu usichokijua ni uongo
Utaamini vipi na kitu hukijui!!!
Nyie 😂😂🙌Injili ni hekaya za kutungwa na kusadikika tu.
Quran ni hekaya za kutungwa na kusadikika tu.
Mtume Muhammad hajawahi kuwepo na hayupo.
Hakuna Mungu.
Kwahiyo huo mstari mmoja umeubeba kichwani kabisa, soma vitabu vingine!Wewe ambaye haujui hata kuwa Daudi alikuwa nabii?
Ni dhalilike Kwa mstari mmoja? Wewe vipi? Bible haikaririshwa mstari mmoja soma AGANO la KalePakada jibu swali hili kimeshakulamba tayari
Kujifanya mtaalam kumbe hujui lolote one sasa ulivyodhalilika kwa kusema eti wanaosema Daudi alikuwa nabii ni waongo
Unaijua bible kuliko hata kitabu chenu kilichoshushwa mapangoni na mizimu na majiniMbona sasa ulikuwa hujui kuwa Daudi alikuwa nabii
Sasa mimi ndio nampinga kuwa yesu ni mungu na kwamba atafufua watuNimekwambia Mimi sijapinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu, ninachotaka wewe uelewe nikwamba mungu wake ni yesu na anaamini huyo mungu wake atamfufua Muhammad,
Kwa hiyo bado unakataa kuwa Daudi alikuwa nabiiNi dhalilike Kwa mstari mmoja? Wewe vipi? Bible haikaririshwa mstari mmoja soma AGANO la Kale
Piga porojo weeeeeeeee lakini ukweli utabaki palepale ulikuwa hujui kuwa Daudi alikuwa nabii 😃Unaijua bible kuliko hata kitabu chenu kilichoshushwa mapangoni na mizimu na majini
Sasa kwa nini nyinyi mnampinga kwa kumfanya yesu mungu wakati mmeambiwa muwe na Mungu mmoja tu?sisi tunamwabudu Mungu Aliye hai, Yehova. Ndiye aliyesema "msiabudu miungu mingine ila Mimi"
“Usiwe na miungu mingine ila mimi.
”
— Kutoka 20:3 (Biblia Takatifu)
Nakushukuru kwa kutambua kuwa yesu ni nabii aliyetumwa na si MunguHivyo wacha kujidanganya, Yesu ni Alfa na Omega, baada yake hakuna nabii mwingine aliyetumwa
Hana sina za uungu."Aliutwaa mwili, akawa mwanadamu". Lakini haimuondoleo Umungu wake