Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

"Aliutwaa mwili, akawa mwanadamu". Lakini haimuondoleo Umungu wake
Sawa, haimuondolei uumungu wake kwanini alikubali kufa msalabani

(Kumb la Torati 21:23)
Aliyetundikwa amelaaniwa na mungu

Mungu yupi alie mlaani tayari yeye ni mungu?
 
Hoja zipi hapo, kwanza Unajua Isa na Yesu ni watu wawili tofauti hawajuani kabisa ?
Kuna aliekwambia ni mtu mmoja?

Nabii issa hakusulubiwa kwa kuwa aliesulubiwa amelaaniwa na mungu

Ila Yesu amelaaniwa na mungu ndio maana akasulubiwa

Hasa watakuwaje mtu mmoja.?

Umekurupuka mkuu.
 
Kwa hiyo wewe ni miongoni mwao ndio maana unasema "uongo wetu"?
Lete ushahidi kuwa Allah sio Mungu
Nawewe Leta ushahidi kuwa Yesu sio mungu,,, Mimi sipinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu kwa kuwa hata Sheria za nchi yeti zinaruhusu mtu kuabudu chochote bila kukiuka Sheria za nchi Mimi naungana naninyi nyote nanaheshimu hizo Imani zenu.
 
Sasa kama unaungana na sisi sote kwa nini unataka nikupe ushahidi kuwa yesu sio mungu wakati wewe unaungana na mimi kuwa yesu sio mungu
 
Naweza kuungana na wewe unavyosema unaamini kitu usichokiona lakini kusema kuwa unaamini kitu usichokijua ni uongo

Utaamini vipi na kitu hukijui!!!
 
Sasa kama unaungana na sisi sote kwa nini unataka nikupe ushahidi kuwa yesu sio mungu wakati wewe unaungana na mimi kuwa yesu sio mungu
Nimekwambia Mimi sijapinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu, ninachotaka wewe uelewe nikwamba mungu wake ni yesu na anaamini huyo mungu wake atamfufua Muhammad,
 
Pakada jibu swali hili kimeshakulamba tayari
Kujifanya mtaalam kumbe hujui lolote one sasa ulivyodhalilika kwa kusema eti wanaosema Daudi alikuwa nabii ni waongo
Ni dhalilike Kwa mstari mmoja? Wewe vipi? Bible haikaririshwa mstari mmoja soma AGANO la Kale
 
Nimekwambia Mimi sijapinga kuwa Yesu sio mungu wala sijapinga kuwa Allah sio mungu, ninachotaka wewe uelewe nikwamba mungu wake ni yesu na anaamini huyo mungu wake atamfufua Muhammad,
Sasa mimi ndio nampinga kuwa yesu ni mungu na kwamba atafufua watu
 
Unaijua bible kuliko hata kitabu chenu kilichoshushwa mapangoni na mizimu na majini
Piga porojo weeeeeeeee lakini ukweli utabaki palepale ulikuwa hujui kuwa Daudi alikuwa nabii 😃
 
sisi tunamwabudu Mungu Aliye hai, Yehova. Ndiye aliyesema "msiabudu miungu mingine ila Mimi"

“Usiwe na miungu mingine ila mimi.

— Kutoka 20:3 (Biblia Takatifu)
Sasa kwa nini nyinyi mnampinga kwa kumfanya yesu mungu wakati mmeambiwa muwe na Mungu mmoja tu?
 
Back
Top Bottom