Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Sawa, haimuondolei uumungu wake kwanini alikubali kufa msalabani"Aliutwaa mwili, akawa mwanadamu". Lakini haimuondoleo Umungu wake
(Kumb la Torati 21:23)
Aliyetundikwa amelaaniwa na mungu
Mungu yupi alie mlaani tayari yeye ni mungu?