Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Ushahidi ndo huo umeshaupata sio wewe ukiambia lete ushahidi porojo nyiiiiiiingi ππππππ Eti malaika jibrili.
Kwa hiyo kumbe sio neno la Mungu ni la manabii na mitumeMufti vitabu vya biblia havijashushwa vimeandikwa na manabii na mitume..Nabii Musa ndie kaandika kitabu cha mwanzo na chenye habari za Adam.Na vitabu vyote vya biblia vimeandikwa havijashushwa..Baada Baada ya watu kuwa na uelewa WA teknolojia ndio vikajumuishwa Pamoja kama biblia.
Ulichojibu ni tofauti ndio shida ya kutumia Ai ikusaidieMiongoni Mwa Makusudio Ya Suwrah:
1-Kuthibitisha kuwa wanaadam wote ni waja wa Allaah (Ψ³Ψ¨ΨΨ§ΩΩ ΩΨͺΨΉΨ§ΩΩ) [Al-Mukhtaswar Fiy Tafsiyr Al-Qur-aan Al-Kariym]
2-Kuthibitishwa kumwabudu Allaah (Ψ³Ψ¨ΨΨ§ΩΩ ΩΨͺΨΉΨ§ΩΩ) kwa ikhlaasw.
3-Kuwakumbusha waja kwamba wao ni waja, na Anaepaswa kuabudiwa na kuombwa msaada ni Allaah (Ψ³Ψ¨ΨΨ§ΩΩ ΩΨͺΨΉΨ§ΩΩ).
4-Kubainisha hali za watu na njia iliyonyooka.
(1 Mambo ya Nyakati 29:11-12)
"Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vyote vilivyomo mbinguni na duniani ni vyako. Ee Bwana, ufalme ni wako, nawe umetukuka, u mkuu juu ya vitu vyote. Utajiri na heshima hutoka kwako, nawe unatawala juu ya vitu vyote."
Na haya ni maneno ya nani?
Unaishia kunitukana tu lakini ukweli yesu sio wa mileleTUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?
Mika 5:2 β "Lakini wewe, Efrata, ingawa u mdogo kati ya maelfu ya Yuda, kwako atatoka yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni tangu milele, tangu zamani za kale."
Isaya 9:6 β "Maana kwa ajili yetu Mtoto amezaliwa, Tumepewa mwanaume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani."
UTAKAPOJIBU HILI SWALI NITATANGAZA HUMU KUWA NIMERUDI KUWA MUISLAMU NA NITABUSU JIWE JEUSINimeshajibu na kukujibu unajizima data tu
Kuna tusi hapa???Unaishia kunitukana tu lakini ukweli yesu sio wa milele
Nimekwambia walioviharibu wakaficha original ya vitabu hivyo so havipo kwa sasa.ππππHilo swali hujanijibu ,kama kweli umejibu kopi hapa hayo majibu yaweke hapa
Nimeshakujibu kuhusu kuwa muislam tena ni maamuz yako hainihusuUTAKAPOJIBU HILI SWALI NITATANGAZA HUMU KUWA NIMERUDI KUWA MUISLAMU NA NITABUSU JIWE JEUSI
UISLAMU NI DINI YA KUTENGENEZWA NDIO MAANA INA LOOPHOLES NYINGI SANA ,NA ILI ISIMAME IMEBIDI WAJILAZIMISHIE KWA WAYAHUDI NA WAKRISTOKwahiyo Yesu msaidizi wake ni Muhammadi ?
Imekaaje hii wakati Muhamadi ndiye m'bora wa Mitume ?
Inayumnikaneje Muhammadi awe msaidizi wa Yesu aliye tumwa kwa Waisraeli tu.
Jamaa wanatapatapata sana ili kumnusuru Allah, Muhammadi na Dini.
Tusha washitukia kitambo sana.
Sasa mla maharage ni nini π€£π€£π€£Kuna tusi hapa???
NARUDIA TENA
TUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?
Mika 5:2 β "Lakini wewe, Efrata, ingawa u mdogo kati ya maelfu ya Yuda, kwako atatoka yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni tangu milele, tangu zamani za kale."
Isaya 9:6 β "Maana kwa ajili yetu Mtoto amezaliwa, Tumepewa mwanaume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani."
**** kitu gani kinachofanana na uromaUISLAMU NI DINI ILIYOKUWA MANUFACTURED NA UROMA
Waliviharibu lini na kina nani ,ilikuwa mwaka ganiNimekwambia walioviharibu wakaficha original ya vitabu hivyo so havipo kwa sasa.
Ila kesho utaniuliza tena πππ
Hilo ni tusi ? Mla MAHARAGE ni mtu tu wakwaidaSasa mla maharage ni nini π€£π€£π€£
Uislamu ni dini ILIYOKUWA MANUFACTURED na UROMA ,**** kitu gani kinachofanana na uroma
Mufti uwezo wako WA kuelewa maandiko ni mdogo sana..Omba darasa Kwa waliokuzidi...Na pia weka akili yako kwenye utayari WA kuelewa..Kwa hiyo kumbe sio neno la Mungu ni la manabii na mitume
**** kitu gani kinachofanana na uroma
Hili swali unaliogopa ,yaani hapo unaona umejibu ?Nimeshakujibu kuhusu kuwa muislam tena ni maamuz yako hainihusu
Walioviharibu ni wayahudi taurat baada ya Nabii Musa kufa na Injil ni baada ya Nabii Isa kufaWaliviharibu lini na kina nani ,ilikuwa mwaka gani
Ushahidi gani unathibitisha waliharibi
Mbona unajibu huku UNAKIMBIA
Yapo mengi sana akitaka Mimi nitamletea Tena kwa ushahidiRizali kwa Tasbihi
Jumapili kwa ijumaa
Bikira Maria kwa Lutta Uzza na Manata
Kumbuka mama wa Yesu anaitwa Mariam.
Kuungama kwa Padre na kusujudia sanamj kwa kuungama na kusujudia kwa Jiwe Jeusi la Maka.
Kengere kwa Azana.
Kanzu kwa Joho
Baraghashia kwa Kofia
Kufunga ramadhani kwa kufunga Kwaresma.
Unataka nikupe mengine ?