Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Mufti vitabu vya biblia havijashushwa vimeandikwa na manabii na mitume..Nabii Musa ndie kaandika kitabu cha mwanzo na chenye habari za Adam.Na vitabu vyote vya biblia vimeandikwa havijashushwa..Baada Baada ya watu kuwa na uelewa WA teknolojia ndio vikajumuishwa Pamoja kama biblia.
Kwa hiyo kumbe sio neno la Mungu ni la manabii na mitume
 
Miongoni Mwa Makusudio Ya Suwrah:

1-Kuthibitisha kuwa wanaadam wote ni waja wa Allaah (ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰) [Al-Mukhtaswar Fiy Tafsiyr Al-Qur-aan Al-Kariym]
2-Kuthibitishwa kumwabudu Allaah (ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰) kwa ikhlaasw.
3-Kuwakumbusha waja kwamba wao ni waja, na Anaepaswa kuabudiwa na kuombwa msaada ni Allaah (ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰).
4-Kubainisha hali za watu na njia iliyonyooka.

(1 Mambo ya Nyakati 29:11-12)
"Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vyote vilivyomo mbinguni na duniani ni vyako. Ee Bwana, ufalme ni wako, nawe umetukuka, u mkuu juu ya vitu vyote. Utajiri na heshima hutoka kwako, nawe unatawala juu ya vitu vyote."

Na haya ni maneno ya nani?
Ulichojibu ni tofauti ndio shida ya kutumia Ai ikusaidie

Kwanza Aya ULIYOILETA ni tofauti na tulichokuuliza
 
TUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?

Mika 5:2 โ€“ "Lakini wewe, Efrata, ingawa u mdogo kati ya maelfu ya Yuda, kwako atatoka yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni tangu milele, tangu zamani za kale."

Isaya 9:6 โ€“ "Maana kwa ajili yetu Mtoto amezaliwa, Tumepewa mwanaume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani."
Unaishia kunitukana tu lakini ukweli yesu sio wa milele
 
Kwahiyo Yesu msaidizi wake ni Muhammadi ?
Imekaaje hii wakati Muhamadi ndiye m'bora wa Mitume ?

Inayumnikanaje Muhammadi awe msaidizi wa Yesu aliye tumwa kwa Waisraeli tu ?
Kwani Muhamadi naye ni Mwisraeli ?

Jamaa wanatapatapata sana ili kumnusuru Allah, Muhammadi na Dini.
Tusha washitukia kitambo sana.
 
Unaishia kunitukana tu lakini ukweli yesu sio wa milele
Kuna tusi hapa???

NARUDIA TENA

TUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?

Mika 5:2 โ€“ "Lakini wewe, Efrata, ingawa u mdogo kati ya maelfu ya Yuda, kwako atatoka yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni tangu milele, tangu zamani za kale."

Isaya 9:6 โ€“ "Maana kwa ajili yetu Mtoto amezaliwa, Tumepewa mwanaume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani."
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hilo swali hujanijibu ,kama kweli umejibu kopi hapa hayo majibu yaweke hapa
Nimekwambia walioviharibu wakaficha original ya vitabu hivyo so havipo kwa sasa.
Ila kesho utaniuliza tena ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
 
Kwahiyo Yesu msaidizi wake ni Muhammadi ?
Imekaaje hii wakati Muhamadi ndiye m'bora wa Mitume ?

Inayumnikaneje Muhammadi awe msaidizi wa Yesu aliye tumwa kwa Waisraeli tu.

Jamaa wanatapatapata sana ili kumnusuru Allah, Muhammadi na Dini.
Tusha washitukia kitambo sana.
UISLAMU NI DINI YA KUTENGENEZWA NDIO MAANA INA LOOPHOLES NYINGI SANA ,NA ILI ISIMAME IMEBIDI WAJILAZIMISHIE KWA WAYAHUDI NA WAKRISTO

HUWEZ KUKUTA MKRISTO AU MYAHUDI ANAJIHUSISHA NA QURAN ILI KUTHIBITISHA DINI YA KIKKRISTO AU KIYAHUDI

UISLAMU NI DINI ILIYOKUWA MANUFACTURED NA UROMA
 
Kuna tusi hapa???

NARUDIA TENA

TUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?

Mika 5:2 โ€“ "Lakini wewe, Efrata, ingawa u mdogo kati ya maelfu ya Yuda, kwako atatoka yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni tangu milele, tangu zamani za kale."

Isaya 9:6 โ€“ "Maana kwa ajili yetu Mtoto amezaliwa, Tumepewa mwanaume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani."
Sasa mla maharage ni nini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nimekwambia walioviharibu wakaficha original ya vitabu hivyo so havipo kwa sasa.
Ila kesho utaniuliza tena ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
Waliviharibu lini na kina nani ,ilikuwa mwaka gani

Ushahidi gani unathibitisha waliharibi

Mbona unajibu huku UNAKIMBIA
 
Sasa mla maharage ni nini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hilo ni tusi ? Mla MAHARAGE ni mtu tu wakwaida

Yaani unataka TUKUSIKILIZE WEWE na kina Mazinge wanauza mafuta na maji na kina Sharifu majini

Ila manabii wa Mungu tuwapuuze?
 
**** kitu gani kinachofanana na uroma
Uislamu ni dini ILIYOKUWA MANUFACTURED na UROMA ,

Padre Waraq na Sista Khadija mkatoliki ndio waliotumwa kuhakikisha mission inafanikiwa ,

Roma waliuunda uislamu kwa malengo ya kuiteka Yerusalemu,ila hawakujua uislamu utakuwa mkubwa hivi

Nakujuza uislamu ni dini ya Wakatoliki
 
**** kitu gani kinachofanana na uroma

Rizali kwa Tasbihi
Jumapili kwa ijumaa
Bikira Maria kwa Lutta Uzza na Manata
Kumbuka mama wa Yesu anaitwa Mariam.
Kuungama kwa Padre na kusujudia sanamu kwa kuungama na kulisujudia Jiwe Jeusi la Maka.
Kusali Novena na Kutufu

Kengere kwa Azana.
Kanzu kwa Joho

Baraghashia kwa Kofia

Kufunga ramadhani kwa kufunga Kwaresma.
Katekisimu kwa Qurani

Unataka nikupe mengine ?
 
Nimeshakujibu kuhusu kuwa muislam tena ni maamuz yako hainihusu
Hili swali unaliogopa ,yaani hapo unaona umejibu ?

Sasa Mimi nimekuuliza waliviharibu lini ,nyie mlijuaje na kipi kiliwafanya mjue Original ziliharibiwa na hizi zilizopo ni fake ,

Hizo Original mliziona wapi
 
Waliviharibu lini na kina nani ,ilikuwa mwaka gani

Ushahidi gani unathibitisha waliharibi

Mbona unajibu huku UNAKIMBIA
Walioviharibu ni wayahudi taurat baada ya Nabii Musa kufa na Injil ni baada ya Nabii Isa kufa
 
Rizali kwa Tasbihi
Jumapili kwa ijumaa
Bikira Maria kwa Lutta Uzza na Manata
Kumbuka mama wa Yesu anaitwa Mariam.
Kuungama kwa Padre na kusujudia sanamj kwa kuungama na kusujudia kwa Jiwe Jeusi la Maka.

Kengere kwa Azana.
Kanzu kwa Joho

Baraghashia kwa Kofia

Kufunga ramadhani kwa kufunga Kwaresma.

Unataka nikupe mengine ?
Yapo mengi sana akitaka Mimi nitamletea Tena kwa ushahidi

Akasome historia ,Rumi iliitaka sana Yerusalemu ,
 
Back
Top Bottom